Diamond Kununua Hummer ya Gwajima Kwa Mil 400

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna tetesi kuwa mwanamuziki diamond platnum amenunua hummer aliyokuwa akitumia mchungaji gwajima ambapo inasemekana kauziwa kwa bei ya kutupwa(haijajulikana bei gani). Tunasubiri tu baba ubaya atudanganye kaagiza ulaya milion 400.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wewe kijana wewe utafilisika sasa hv, huo mziki wako unaoimba siyo international, hauuzi dunia nzima wewe, tamaa hizi za nini? hammer? tulia kijana fanya ya maana!

    ReplyDelete
  2. eti jamani,hammer la nini tena,?huyu atajafilisika vibayaaaaaaaa,tupo hapa.

    ReplyDelete
  3. Nenda kamuulize mr nice mana mpaka kawa mr bad tulia fanya mambo ya maaana show off za nn

    ReplyDelete
  4. maisha mafupi mwacheni ale ujana

    ReplyDelete
  5. nani amewaambia yamaana bado hajafanya? kama wewe ni wa mia mbili mbili unataka kujenga mbavu za mbwa usilazimishe wa kupata mamilioni nae ajenge mbavu za mbwa. Wewe ni wa vitz, starlet corrola tuliaaaaaaaaaaaaaaaa kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Hammer ni za kama wao wenye nazo. Watu banaaaaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  6. aangalie acje angukia pua hao hao alonao karb saiv hawatakua nae karb tna akiangukia pua mr nice yuko wap

    ReplyDelete
  7. mhhhhhhh kama la chief kiumbe alishindwa kulilipa hummer la 400 million ataliweza. i dnt think so

    ReplyDelete
  8. wanapost picha insta wakitanga huu mjengo wangu mpya kumbe wanaishi nyumba za kupanga, video ya mil2 utasikia mili200

    ReplyDelete
  9. wanapost picha insta wakitanga huu mjengo wangu mpya kumbe wanaishi nyumba za kupanga, video ya mil2 utasikia mili200

    ReplyDelete
  10. ngoja atumie pesa bhanaaah,si anazitafuta mwenyew yan zake....

    ReplyDelete
  11. Duh.........!!!!!!!

    ReplyDelete
  12. ni kuna driving school anataka kuianzisha so anakusanya teaching aids

    ReplyDelete

Top Post Ad