Diamond:Japokuwa nina show Canada Tarehe 2 Lakini ilinibidi Kwanza Nilete Mzigo Kisha Ndio Nirudi Kuendelea na Shughuri Zangu!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond Platnumz akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere leo asubuhi (30.7.2014) kutokea Marekani ambako alishinda zawadi ya Mwanamuziki bora wa kiume wa Afrika Mashariki 2014.
Diamond: Japokuwa nina show Canada tareh 2 lakini ilinibidi kwanza nilete Mzigo nlioagizwa na Wananchi Nyumbani kisha ndio nirudi kuendelea na shughuri zangu!... Kama wasemavyo "There is no place like Home... Ever!"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

30 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. .noumer sana ....mzer. big... up

    ReplyDelete
  2. Ali kiba kajinyonge na kama

    ReplyDelete
  3. Hongera dai.lov u forever.wengine wainge na muache chuki binafsi!

    ReplyDelete
  4. Ali kiba bwana.mjiinga..eti amkubali kijana wakati hata mtoto mdogo anajua Diamond Ni mkali...kaza buti kaka.Hongera Sana..

    ReplyDelete
  5. Kwa lipi Ally Kiba akajinyonge...hakujinyonga mr Nice.....Ally Kiba hana makuu anajua kama dunia ni duara.....siku ikifika ya mwengine uyo mshamba wenu Domo ndio atakuja kujinyonga maana ata nyinyi mashabiki zake mtakuja kugeuka...maana wabongo ndivyo mlivyo

    ReplyDelete
  6. akuna kama dia sas cha msingi wakaze buti tu kama wanataka kumfikia

    ReplyDelete
  7. Hata Jay De kapata Tuzo na yuko kimya.Angekua amepata Diomond peke yake ndio pa singe lalika,na ashukuru ni tuzo ya East Africa Artist ingekua ni ya Africa kwa ujumla angelamba garasa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hongera kwa dada lady jaydee.piga kazi dada kimyakimya kinamshindo mkuu.na Dai humuoni jide nae anatuzo km yako.hongera ILA punguza mbwe mbwe kijana wanaokushabikia sasa ndio watakaokusema badae upepo ukigeuka.ali kiba luv u bro just the way u ar.very cool.

      Delete
  8. ali kiba ajinyonge na nn jamani ally k awawasha sana naona kila moja ana tym yake jamani kisha jide ya ya 30 kimya kimya hebu uswahili tuuu na tabia za mitaani zimewakola

    ReplyDelete
    Replies
    1. Watandale watandale......hapa ndo unatofautisha classic na local huyu mshamba bado.....na ndo maana walioandamana ni washamba wenzake na jobless huwez ukamkuta mtu na kazi yake akaandamane kwa kitu kama hicho

      Delete
    2. kweli mdau

      Delete
  9. hemu wacheni masifa humuwezii kaa bila kumtaja ally kiba mpuunzisheni ajinyonge kwani haja wahi kupokea tuzo ama mwafata mambo ya muziki sasa ali k kapata tuzo nyingi sana kama hamujui jide mweyewe kapata wala hajisifu mchewwwwwww

    ReplyDelete
  10. domo azipata sasa wenzake zimejaa makwao wala hawasemi wala kujionyesha ally k alipata ngapi hemu muna chuki na ally k ajiuma tu mwana wa watu mpende msipende ally k is da men nyie fans wa domo uwa ni matusi na kushabikia upuzi na ma team ushuzi na mavi

    ReplyDelete
  11. mbona hawa fanz wa domo uwa wamtaja ally k nyie kesheni kumtaja wakati hata shughuli hana na nyie kisha kweli hizo team ushuzi ni upuuzi tuuuuuu na upumbavu huyo domo ni attenion seeker mutajuaje kapata tuzo asipoionyesha.

    ReplyDelete
  12. Jamaaa kaenda pale Tandale aisee domo mwishooooooo. Kaenda kuwakusanya wapiga debe wenzake hahahahahahahaha

    ReplyDelete
  13. kama 2zo jde nae kabeba tofaut na domo n kwamba jde kazoea kubeba izo tuzo uyo domo mashkolo magen

    ReplyDelete
  14. poa sana dai endelea kuwabuluzaaaaaa!!! one lv.

    ReplyDelete
  15. anayesema ally kiba anamiliki tuzo nyingi wapi kweli unaweza ukawashabiki wa aliy k but u still no information of background za aliy k mim nachojua aliy k anamiliki tuzo mbili tu kubwa ya ndushelele na nainai as best colaboration with ommy dimpozi that over akitaka nyingine akaze buti atapokea kama diamondi

    ReplyDelete
  16. ALMAS NI LIMBUKENI,HIVYO TU.

    ReplyDelete
  17. Huu ushamba tuu. Kuonyesha tuzo barabarani!!!! Ndio maana hatufiki popote tuna tabia ya kuridhika mapema sana. Davido kapata tuzo kubwa lakini hajaitembeza hadharani. Ushamba mkubwa sijapata kuona. Ni kweli nampongeza kwani ametuwakilisha vyema.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama kuonesha tuzo barabarani ni ushamba, mbona waliporudi wale washiriki waliotolewa katika lile jumba la ngono 'big brother' Mwisho Mwampamba na Bhoke mlikwenda aiport na kujipanga barabarani kuwapokea na kuwashangilia, hivi walirudi na tuzo gani vile.......!? CHUKI BINAFSI HAIFAI, UMEKONDEANA KWA ROHO MBAYA....Hovyooooooooooo!

      Delete
  18. ana haki ya kusifiwa kwa alichofanikiwa kwa jitihada yake. tusiwe wachoyo wa kusifu na kupongeza

    ReplyDelete
  19. hapa anaongelewa diamond na sio ali kiba acheni chuki za bure

    ReplyDelete
  20. HEY ANNOY 9.03 I AM DA1 WHO SAID ALLY K ANATUZO NYINGI BEFORE YOU OPEN YOUR BIG MOUTH DO RESERCH N STOP BLAH BLAH BLAH WHILE U KNOW NOTHING MCHEEEEW DO U THINK ALLY K STARTED SINGING DUSHELELE N WAS KNOWN DO PROPER REASERCH N PROVE ME WRONG SHAME ON YOU

    ReplyDelete
  21. am sure alliy k anamili tuzo mbili kama uamini kamulize

    ReplyDelete
  22. WEWE ANNOY 7.55 INGIA GOOGLE ANGALIA ALI KIBA HOW MANY AWARDS HE HAS ITAKUJA KISHA ZI HESABU KISHA UTUAMBIE USIWE MTU WAKUONGE ONGEA TU BILA UHAKIKA MPUUZI WEWE

    ReplyDelete
  23. kumamae waziwanda nyie mashoga mnao fumuliwa malinda na domo ushoga umemzidi kwenye 2zomliona abavyoongea alli k kiboko nomasana

    ReplyDelete
  24. Ali kiba upo juuuuuuuuuuuuuuuuuu.zaidi napenda Sana mziki Wako. Huyo domo cjui Dai Ndo nani au ndo mtu anayeitwa wemaaa???????? Cc huku tunamjua Ali kiba tuuuuuuuuuuuuuu. Penda Sana kibaaaaaa.

    ReplyDelete
  25. Dai hawakuwezi wache waprovok hiyo ni tabia ya wanaadamu wasiopenda maendeleo

    ReplyDelete
  26. HIS PROVOKED WID WAT WHILE ITS DA FACT TRUTH HURTS MY DEAR ALLY K YUKO JUU TUU SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete

Top Post Ad