Hatimaye Penny Aliyekuwa Mchumba wa Diamond Avalishwa Pete ya Uchumba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mtangazaji maarufu nchini VJ Penny ambaye alikuwa mpenzi wa Diamond Platnumz amechumbiwa.  Kupitia Instagram Penny ameweka picha akiwa amevaa pete ya uchumba  na  kuandika  ujumbe  huu: “Road trip ….site her we come…cc @halimakimwana1.”

Pia juzi  tulisikia   kuwa Penny amechumbiwa ingawa hatukupata habari kwa kina mpaka Penny mwenyewe alipoweka picha Instagram  akiwa  amevaa  pete  ya  Uchumba.
VJ Penny ambaye  inadaiwa alikuwa chaguo la kwanza la mama Diamond Platinumz ameweka picha hiyo siku moja baada ya Wema Sepetu kupost picha nyingi kwenye Instagram akiwa na mama Diamond kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa na kuzipa caption mbalimbali huku nyingine zikiwa na vijembe.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Peny fanya yako achana na mambo ya mitandao, kama umevishwa pete hongera kama hujavishwa ni ya kuzugia tu, ni wewe na nafsi yako, ushauri wa bure piga kimya huna haja ya kuweka wazi mambo yako, wabaya na wazuri ni hao hao.

    ReplyDelete
  2. hajavishwa pete wala nini hilo ni dili la yeye na hali,ma kiwana kujibu mapigo ya Wema kuposti mapicha kibaooo ya kwake na mama mkwe,Penny anasubiri movie iishe arudi kwa diamond ,mark my word.leo tarehe 12.7.2014,mkanda wa movie ya Wema na diamond bado hujaisha ,ukiisha utamuona Bi Penny ndani ya sinza kwa mama mkwe Bi sandra.Penny hakumuacha Diamond,ndio maana badooo anaweweseka,Diamond ndio alimuacha Penny baada ya Wema kumpiga chini Tajiri wa ikulu aitwae Clement.

    ReplyDelete
  3. Wema chiziiii unamuacha Clement kisa diamond?clement alikupa manufaa kibaooo,mpaka ukaitwa Madame.mpyuuuuuu!

    ReplyDelete
  4. Mi ndo maana sitaki ushoga Wa kibongo Ni kuzungukana,mwaka 2006 Wema alishinda u miss tz na joketi akawa mshindi Namba 3,kwahiyo Wema na joketi ka urafiki kalikuwemo.haya joketi akaja tembea na Domo wakati anajua waziiii Domo alikuwa na Wema ,haya penny na Wema walikuwa mashoga,Mapicha kibaoooo wamepiga pamoja,haya penny akajatembea na huyohuyo Domo ,yaani tuombe Mungu wasije pata vipindupindu,hii hatari,Haya kuna kijana mmoja anaitwa Rummy anahela balaaa kawazunguka wanawake ambao woteee Ni marafiki.disgusting!!!arggghhh!!!!!

    ReplyDelete
  5. Wewe unayesema wema kamuacha ck aliyemuwezesha kama mchezo wa kikubwa alikuwa haridhiki afanyenye mwache ale kitu rohi inapenda na inaridhika ndio maana wenye pesa wanatumia pesa nyingi kuhonga wanajua uwanjani zero au labda pipi kijiti hakumfikisha akarudi kwa chibu wake

    ReplyDelete
  6. Wema Ni kunguru afugiki Ata umpe nn atulii!! Ata umfurahishe vipi kitandani awezi kutulia Ni mtu anayependa sifa Sana Hilo ndo tatizo kubwa la huyo wema! Na ataangaika Sana umri ndo huo umemtupa mkono na kwa domo asitegemee ndoa kabisa; afikirie domo Ni kiasi gani anampenda mama yake! Ataoa mke mama yake atakayempenda!

    ReplyDelete
  7. Le mutuz unashusha hadhi ya uanaume.wewe kujibishana na wanawake.kusifia matajiri wa mjini.utafir......kaka.jaribu kuishi kama mwanaume.unashindwa hata na ray c.umeona alivyomjibu Tid ki utu uzima.na ray c kwako ni mwanao.ushauri wangu kwako ni kubadilika tabia uendane na tabia za kina pinto.matelephoni 'au wao wanakutia tu''maana ungekuwa hutiwi kama mwanamke usinge kuwa una uza sura na kuamka asubuhi kujipiga picha kushindana na wanawake mitandaoni ''hata aibu huna? humuheshima hata Baba yako? kiruu'' na kwa taarifa yako Flora Lyimo humuwezi na japo wa darasa la saba' tena ushawahi kusema yeye ni chizi 'sasa wewe si ndiyo chizi zaidi yake '' wacha usenge una bowa sana

    ReplyDelete
  8. Penny hy miguu bora ungevaa socksi

    ReplyDelete
    Replies
    1. no mwanzo alikuwa anatumia cream kujichubua,sikuhizi kachengi anakula vidonge kujichumbua kwahiyo hayo masugu ya miguuni yooote kwishney.

      Delete

Top Post Ad