Kajala 'Wema ni Mnafiki Kabisa. Upatanisho Wetu ni wa Uongo'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Musa Mateja na Shakoor Jongo
STAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja ameibuka na kusema kuwa ushosti wake na Miss Tanzania 2006/07, Wema Sepetu, uliorudishwa hivi karibuni baada ya kuwekana sawa ni wa kinafiki huku akidai Wema ni kigeugeu.


Akizungumza kwa kujiamini mbele ya waandishi wetu, juzi Jumatano pande wa Mikocheni jijini Dar es Salaam, Kajala alisema: “Wema ni mnafiki kabisa. Upatanisho wetu ni wa uongo. Mimi moyoni nimeondoa kinyongo lakini mwenzangu naona kama bado ana donge moyoni.”

Kajala alisema hayo alipoulizwa na Risasi Jumamosi, sababu ya kutoonekana kwenye tukio la futari lililofanyika nyumbani kwa mama mzazi wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ambaye ni mkwe wa shosti wake huyo.

Katika tukio hilo, mama Diamond alifanyiwa sapraizi ya nguvu alipokabidhiwa gari kali aina ya Toyota Lexus Harrier kama zawadi ya bethidei yake, ambayo ilitolewa na meneja wa Diamond, Babu Tale kwa niaba ya mwanamuziki huyo ambaye alikuwa safarini nchini Marekani.

“Tunakubaliana kuwa kitu kimoja lakini mwenzangu anaonekana ana kinyongo. Hebu angalia, anawezaje kuacha kunialika kwenye shughuli muhimu kama ile kama kweli tumepatana? Mbona amealika watu wengi lakini mimi ameniacha? Wema aache unafiki bwana.

“Mbaya zaidi, hivi juzi tu ameweka picha ya msichana mmoja anayekaa China, huyu mdada anaitwa Sabrina, niliwahi kugomabana naye, lakini yeye amemuweka Instagram na kumwandikia maneno kibao ya kumsifia akim-wish happy birthday, hapo si kama ananisimanga? Wema si mkweli,” alisema Kajala.

Akizungumzia ishu hiyo, siku ya tukio Wema alisema: “Ukiniuliza kuhusu Kajala kutokuwepo hapa, kwa kweli utakuwa kama unanichanganya tu maana leo sijashika simu muda mrefu sana.
“Hata ujio wangu hapa nilikurupushwa, ndiyo maana sijakumbuka kumuita Kajala, lakini tuko vizuri na mara ya mwisho tumeongea jana (Jumapili) usiku tu,” alisema Wema.
GPL

Quote of The Day:
“Each day means a new twenty-four hours. Each day means everything's possible again. You live in the moment, you take it all one day at a time, You try to walk in the light” 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwani lazima kajala aalikwe wamepata ndio wakikutana sehemu moja mambo poa wapige stori kama zipo kama hamna basi kila mtu aiishe maisha yake ushoga ushogare uiishe kabisa

    ReplyDelete
  2. Anavyofanya Wema ni sawa sawa, maelewano yarudi katika kusalimiana na mkikutana mahali popote ni mazungumzo ya kawaida tu tena yaishie hapo hapo. Ukaribu kama ule wa zamani kulala pamoja, kuvaliana nguo, kutembeleana/kualikana majumbani HAPANA. Hata yeye Kajala nae pia ni mnafiki na haaminiki tena.

    ReplyDelete
  3. mnafiki baba yako mzazi,,mshenzi mwanamke usie na haya malaya mnuka mavi ya chini.....

    ReplyDelete
    Replies
    1. mdau mbn matusi tena duuuuuu! mi napita

      Delete
  4. Nana kaslim anajiita vee cash

    ReplyDelete
  5. wema na kajala wote ni mkundu hata uchache hauishi harufu pumbavu nyie

    ReplyDelete
  6. Sasa unafiki wa Wema ni upi!! Kwani lazima Kajala ualikwe kwenye shuhuli zinazo muhusu Wema?? Ebu jiangalie

    Wewe wa kulalamika eti Wema anamuwish mshari wako happy birthday?!
    Wewe Kajala sindio ulikuwa cloz na Penny wakati ni mgomvi wa wema!?? Ebu jaribu kukuwa basi khaa..

    ReplyDelete
    Replies
    1. anoni 2;17 una maakiliiii mpaka kupitiliza,wolper na penny ni maadui wa wema lakini kajala kafanya ushoga nao lakini hilo hakumbuki,kajala mkundu kweli.

      Delete
  7. Nachokaga Tu mnavopanik wahusik wametulia duuu,kwel u guys u better mind yo busness.... If u mind others bussness ur ownbusness will become bunkrupt

    ReplyDelete
  8. mnaochangia mada za udaku nyote machoko kama hao mnao wachangia mada!

    ReplyDelete
    Replies
    1. na ww utakuwa nani xaxa hahahahahaha watu wengine bhana!

      Delete
  9. Kajala anatia kichefuchefu

    ReplyDelete
  10. Kajala anatia kichefuchefu

    ReplyDelete
  11. Kajala acha uchawi. Na wewe andaaa sherehe yako na usimualike. Kwani ni lazima kualikwa kwenye mnuso wa mtu mwingine?????........Jifunze kuishi maisha yako. Mtu mzima hovyoooooooo......

    ReplyDelete
  12. Soo what?????wemaa hatutaki ww unahangaikaaaaa

    ReplyDelete
  13. Oh kamweka sijui Sabrina na ku m-wish happy birthday. So what??...Kwa nini na wewe usiweke picha ya Clement na ku wish yeye happy birthday??? Mwisho wa matatizo na sio kubakia hapo unalialia....hovyooooooo

    ReplyDelete
  14. Halafu oh tulikubalia sijui tulipatana kwani huyo ni dadako au amekuwa shemeji yako. Huyo ni mtu baki mliyekutana naye katika mihanya ya kawaida. Kwa acha hiyo tabia ya kujipendekeza kwa saaaanaaa.....Jamani watu jifunzeni kujitegemea katika maisha yenu. Msitegemee saaaanaaa marafiki. Urafiki huwa una mwisho eehhh.....

    ReplyDelete
  15. ilo li nana junior limebadilisha jina tu lakni domo lake chafu liko palepale, pumbavuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad