Kingwendu Atoa Kauli Baada ya Habari Kuzagaa Mtandaoni Kuwa Mke Wake Kabakwa na Njemba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muigizaji wa filamu za Kiswahili, mchekeshaji Kingwendu yuko katika wakati mgumu baad aya mkewe kubakwa na jirani yake wakati akiwa amelewa pombe. 
Muigizaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa alizipata habari hizo wakati ambapo yuko safarini na majirani walimueleza kilichotokea kuwa mkewe na jirani huyo aliyembaka mida ya saa tano usiku wote walikuwa wamelewa. 

”Kama ulivyosikia hiyo habari, mimi nilikuwa sipo ndo nimerudi jana, nataka nianze kufuatilia sheria sema sasa hivi nimefiwa na dada yangu tunapeleka msiba kijijini na baada ya hapo ninapumzika kesho tu halafu ninasafiri Nairobi, nikirudi Nairobi tarehe tano kuanzia tarehe sita ndo naanza kufuatilia.” Amesema Kingwendu. 
Mchekeshajihuyo ameumizwa na kitendo hicho na ameamua kufuata taratibu za kisheria ili haki itendeke. 

“Kutokana na kitendo alichokifanya na mimi nimejisikia vibaya, inanibidi nimtafute huyu bwana nimpate ili nimpeleke mahakamani, mke wangu bado niko naye, sema huyu jamaa aliyefanya unyamaa huu yupo jirani. Mke wangu alikuwa amelewa na jamaa naye alikuwa amelewa. Mke wangu sijui alikuwa anatoka wapi saa tano usiku ndo akakutana na huyo jamaa, majirani ndio walivyoniambia hivyo, walinipigia simu wakati nipo Shinyanga huko.” 
Source: Bongo5
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani alifanikiwa kula tunda au....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jamaa anatoka na mkeo sasa uende mahakamani kufanya nini? Mjinga ww mxiiiiu

      Delete
    2. Ngoja akajichoreshe mahakani,mwamke mwenyewe hana akili kabisa,mlevi wa pombe za kienyeji,Pumbavu zake.

      Delete
  2. hili li picha la kingwedu linanichefua balaa,kwani hakuna picha nyingine za kuweka?disgusting

    ReplyDelete
  3. Wanawake bwana,akienda klabuni kulewa anabakwa ,akienda kanisani kwa Gwajima analiwa tigo,tufanyeje wajameni?

    ReplyDelete
  4. hatari kwl. duh kigwendu kHz unayo.

    ReplyDelete
  5. Hivi kabakwa kweli au walikuwa wanashuti muvi

    ReplyDelete
  6. sasa huko mahakamani unataka haki gani upewe kwani mwezio kajionea haupo kachepuka kaa umuulize mkeo vizuri labda amekuchoka

    ReplyDelete

Top Post Ad