Maiti na Viungo vya Binadamu Vyakamatwa Kwenye Mifuko ya Rambo Maeneo ya Bunju-Picha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mpaka tunaondoka eneo la Tukio Miili ilikuwa imechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa Uchunguzi zaidi, Taarifa kamili italetwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es salaam.


Endelea kufuatilia hapa. 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Naona kuna gloves. Hivyo vitakuwa viungo vya binadamu vinavyotumiwa na wanafunzi wa udaktari kufahamu baadhi ya vitu kwenye mwili wa binadamu kama mifupa na misuli. Lakini ngoja tusubiri ripoti ya polisi kwa uhakika zaidi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wendomjinga kuliko wote duniani

      Delete
    2. Sawa mwenzio ni mjinga kuliko wote duniani. Ila we ni mburula kuliko wote duniani. Kwani kipi kibaya alichokisema 11:04. Kwa hiyo unataka kubisha kuwa madaktari wanafunzi hawatumii maiti kujifunzia.

      Delete
  2. Mungu wangu ni Tanzania yetu au naota, maana nimekurupuka kwenye ucngizi. Inatisha na bora iwe kama mdau Wa 11:4 alivyosema!

    ReplyDelete
  3. hata kama ni miili inayotumika kwa kujifunza ni lazima itumiwe na izikwe kwa heshima bwana. ama Tanzania inaelekea kubaya sana watu wakuwa hawana kabisa ubinaadamu. Wanashinda hata Israel sasa

    ReplyDelete
  4. dunia imekwisha kama ni uchawi ubinadamu hamna

    ReplyDelete
  5. kimbien ndugu zangu mimi naogopa mpaka mana maiti zaid ya 50 zimeonekana mahala huko dar ninaogopa eeh mungu tusaidie

    ReplyDelete
  6. Mungu tusaidie na utuhurumie inatisha sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa duuh

    ReplyDelete
  7. Hao ni cadava. Huwa wanatumiwa na wanafunzi wa medical doctor kujifunzia.iyo miili huwa inatakiwa ichomwe baada yaatumizi yake. Hicho chuo waliotupa hovyo wamekosea sana.

    ReplyDelete
  8. DUNIA HAIISHI ILA SISI NDO TUTAIACHA DUNIA.

    ReplyDelete
  9. Kufa lazima uwe unajifunza au unafunzwa

    ReplyDelete
  10. Ebu acha ujinga hata km ni kadava nani kakwambia usme we umesoma chuo gani cha medical mpk unaongea ujinga uo

    ReplyDelete
  11. JAMANI NA HAYO MAGLOVES NI YA NINI KAMA SIO WANAFUNZI HAO BAADA YA KUJIFUNZA KUTOKA MIILI YA YA WAFU WAKAONA WAKAYATUPE HUKO BILA KUTUMIA USTARABU WA KUZIKA HIYO MIILI KWANI HAPO UKWELI NI HIZO GLOVES

    ReplyDelete

Top Post Ad