MAJANGA! Misukule ya Gwajima Yatinga Polisi…Ndugu kuitwa ili kuthibitisha vifo vyao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada  ya  hivi  karibuni  kutoa  waraka  mzito  unaowalenga  watumishi  wa  mungu  kwa  kile  alichodai  kuwa  ni  ukiukwaji  wa  sheria  za  mungu, Nabii Hosea  Chamungu  ametangaza  rasmi  kuiwasilisha  ripoti  ya  misukule  feki  mikononi  mwa  jeshi  la  polisi  ili  hatua  za  kisheria  zichukuliwe….

Akiongea  kwa  kujiamini, Nabii  Cha Mungu  alimuonyesha  mwandishi  baadhi  ya  picha  za  misukule  ikiwmo  iliyowahi  kuonyeshwa  ndani  ya  kanisa  la  ufufuo  na  uzima  linaloongozwa  na  mchungaji  Josephat  Gwajima…..

“Unapofanya  kazi  ya  mungu  hutakiwi  kuwa  mwoga  kwa  lolote  kwani  yeye  ndiye  anayetulinda  sisi  sote, kondoo  wa  bwana  wamekuwa  wakipotea  siku  hadi  siku  huku  wachungaji  tukiwaangalia  bila  kuwaokoa.Mimi  sikubaliani  na  hii  miujiza  ya  kutoa  misukule  inayotangazwa  kila  siku  wakati  hatujui  hao  misukule  walifia  wapi….

“Baada  ya  kufunuliwa  na  mungu  juu  ya  jambo  hili, nimeanza  kukusanya  taarifa  kuhusiaa  na  hili  jambo  na  tayari  uelekeo umeshapatikana, watu  hawataamini  siku  nitakapoliweka  wazi  hili  suala  kwani  nitaliomba  jeshi  la  polisi  liwashitaki  wote  waliorubuniwa  na  kujifanya  misukule  pamoja  na  wale  walioinjinia  ishu  nzima.Kama  kuna  watu  wenye  uwezo  wa  kufufua  watu  kwa  nini  vifo  vinaendelea  kutokea  kila  siku?”,alisema  Cha Mungu

Cha  Mungu  alidai kuwa  zoezi  hilo  litafikia  hitimisho  mwishoni  mwa  mwezi  ujao.
Aidha, alitoa  wito  kwa  ndugu, jamaa  na  wazazi  ambao  kwa  namna  moja  au  nyingine  wamehusika  na  kuficha  siri  za  ndugu, jamaa  au  watoto  wao  waliojihusisha  na  zoezi  la  kumdhihaki  Mungu  la  kujifanya  wao  ni  misukule  wangali  wakijua  si  kweli  wajisalimishe  kabla  hajawaumbua….

“Nitakapokamilisha  details  nitawataja  kwa  majina, mahali  walipo  na  jinsi  walivyohusika, kwa  wale  ambao  wanaogopa  vitisho  waje  nitawaombea  na  roho  ya  woga  itaondoka  na  hakuna  atakayewadhuru,” alisema

Jitihada  za  kumpata  mchungaji  Gwajima  kuongelea  suala  hilo  ziligonga  mwamba  kutokana  na  simu  yake  kutopatikana.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na hata wewe nabii cha Mungu inakuhusu nini kama sio wote ni wamoja tu?
    Kila mtu atawajibika mwenyewe mbele ya Muumba siku ikifika,na kila mtu atabeba mizigo yake mwenyewe,wewe kipi kinakusumbua?
    Na wachungaji wazinzi,wezi,nk nao utuorodheshee ukianza na wewe mwenyewe.Huna wema wowote bali una lako jambo,na muda si mrefu tutasikia kwani Mungu
    atatuonyesha tu.

    ReplyDelete
  2. NA HUYU NAE NI WA KANISA GANI?

    ReplyDelete
  3. Usimnyooshee mwenzio kidole cjui mnanini makanisa mapya huwezi sikia roma wakimsema kkkt au au moroviani kumsema anglicana au roma au sabato na wengine ile watu wapya mliowekeza kwenye imani ni shidaaa

    ReplyDelete
  4. Nabii Hosea unachotakiwa ni kuhubiri kwa waumini wako kama
    kuna tofauti unayoiona na
    kufundishwa tofauti na biblia,
    kwa nini mnalumbana hali wote mnamtangaza Yesu?wizi mtupu.

    ReplyDelete
  5. wameshawaloga waumini waooo,bado watu wanajaa kwa Gwajima,na tuhuma zote za kuvunja ndoa ya Flora mbasha,.......ujumbe kwa Mr Mbasha,nakuomba tena sanaaaaa,anza maisha yako menginemachana na Flora HaKuTaKiiiiii,utaja pata balaaaa ooohooo,kwani ndoa ni kitu ganiiiiiiii cha kungangania hivyoooooo,???????????ndo maana wana ndoa wengiiii wamepata maambukizi ya ukimwi kwa kungangania kwenye ndoa za mashaka,kisa wanaogopa ugumu wa maisha kuanza maisha upyaa.siku hizi si kama zamani ndoa ailazimishwi,mwanamke au mwanaume kagoma kurudi kwenye ndoa achana nae tafuta pengine.Mbasha trust me utapata mke wa maana tu,achana na bazazi Flora.ameshatamka akutaki tena na ndoa aitaki tena,na kashaanza maisha yake upyaa ndo maana unamuona kapanga nyumba na anaishi kivyake na mtoto wake.na kwakuwa unatuumiwa umebaka,talaka kutolewa kanisani ni rahisi(kama kweli umebaka)na kama kweli umebaka Flora nae amechangia kakuacha mwaka mzima,nyumbani wewe na shemejio yeye yuko hotelini anakula bata na mchungaji wake,anategemea nini?uingereza kasomeshwa,gari la milion 100 kanunuliwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hawezi kuishi bila
      Flora,kasema mwenyewe mbasha kwa kinywa chake,na machozi kama lis...........

      Delete
  6. Huyo nabii chamungu ni Shetani kavaa mwili tunadhani ni mtu kumbe joka la kuzimu! kazi yake kuharibu na kupotosha wanadamu wamuache Mungu!
    Hutafanikiwa wewe mjumbe wa Lucifer umelaaniwa rudi kuzimu!

    ReplyDelete
  7. Wewe chamungu jina k
    lenyewe linaonyesha wewe ni asi persee! Ungekuwa nabii unge omba kanisa lako lijae washirika! Unaona wivu wewe Unakondoo 13 wakati manabii wengine wana kondoo maelfu

    ReplyDelete
  8. yaaani hawa wachungaji ni waganga wa kienyeji na pia ni wachawi,halafu wanajifanya ni watu wa mungu ili wapate pesaa!!!! hasa huyo kwa GIMA watu wanasema hayo maji ya baraka anayowapa watu wanywe ni makombe ya kichawi yanayokufanya wewe uwe tuuu unaenda kanisani kwake kila upatapo pesa na umpe kama sadaka,kwa kifupi ni TAPELI MKUBWA anawaibia watu pesa kwa njia ya mazingara na pesa yote inaishia kutomba TOTOZ,..ni bora AUWAWEEE!!!

    ReplyDelete
  9. Mungu atawaadhibu kutokana na matendo yao,,, utawadanganya wanadamu lakini kamwe huwez mdanganya mungu aliyekujua tangu hujazaliwa

    ReplyDelete

Top Post Ad