Maskini Happiness Magese Atumia Mipira Kupata Haja ndogo Baada ya Kibofu Kuwa na Hitilafu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Happiness Magese anasihi wanawake kucheki afya zao mara kwa mara wasije wakakutwa na tatizo kama lake la ugumba ambalo limeharibu na kibofu chake na kupelekea hata kushindwa kukojoa kwa njia ya kawaida na badala yake anatumia mipira, ni vema kuchek afya mara kwa mara.
Quote of The Day:

“The sky has never been the limit. We are our own limits. It’s then about breaking our personal limits and outgrowing ourselves to live our best lives.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

32 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwani jaman ni mgumba?

    ReplyDelete
  2. Mungu akuponye

    ReplyDelete
  3. Pole sana na hongera kwa kuwa Muwazi, ni wachache sana wenye moyo kama wako, Mungu ni mwema atakuepusha na maradhi yako.

    ReplyDelete
  4. Pole,lakini tushukuru yote ni mipango ya aliyetuumba

    ReplyDelete
  5. Ilibide awe muwazi. Angejifanya kuficha at the end of the day story inge leak ndio angeipata habari yake. Sasa hiyo yoote ni kuogopa Scandal isije mgeukia. Kumanyoko zake anacheza offensive na kutafuta huruma.

    ReplyDelete
  6. Usijali utapona tu,tunakuombea na Mungu wetu ni mwema

    ReplyDelete
  7. Halafu huo mkojo anaukojolea wapi? Dar es Salaam ama New York???? Halafu ni lazima ijulikane kuwa yeye sio mtu wa kwanza wala hata kuwa wa mwisho kukojolea through urinal tubes. Ni kihele hele chake kupiga hizo pics na kuziachia kwenye mtandao. Attention Seeker as usual.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaani wewe hapojuu hujafa hujaumbika nadomo lako wewe mwakahaujaisha huu.katubu lasivyo usishangae kujikuta watofauti.umemzihaki happy umesahau nawe ni binadamu nakwambia ukatubu hio statement yako ife lacvyo u will be in trouble kwanjia yoyote ile.cjakupenda kbsa shame on u.happy polesana ILA yamungu nimengi yataisha hayo trust on him tu.

      Delete
    2. Hilo ndilo tatizo la kuendekeza mambo ya Dunia na kumsahau Mungu. Na pia ndio tatizo la kujiona uko above Mungu. Unaweza kunipenda ama kunichukia lakini Mungu ni mkubwa na anatujua sisi watoto wake ambao ni binadamu. Unaweza kuona hata ukweli wa mambo katika hizo picha. Badala hata ya kuvaa gauni lenye heshima ili kujisetiri. Ndio hivyo unavyoona anatuonyesha Mapaja yake. Mungu hapendwezi na hilo. Ni watu wangapi wagonjwa ambao wanatumia Catheter bags lakini wanavaa hospital gowns kwa kujisetiri. Wewe ni nani kutoa judgment juu ya maoni yangu. Kumbuka ya kuwa sisi wote ni watoto wa Mungu. Basi japo angepiga picha na Biblia pembeni kuliko kutuonyesha hivyo vipaja kama vya Kuku wa kienyeji. Muogopeni Mungu nyie uzao wa siku hizi. Acheni kuendekeza tamaa zenu za hapa Duniani. Tena unikome kabisa wewe anonymous 10:37 PM. Unikome kama ulivyolikoma ziwa la mamako. Mbweha mkubwa weeee..........

      Delete
  8. Pole sana mipango ya mungu tunakuombea wanawake wenzio

    ReplyDelete
  9. Acheni basi kuongea vibaya mpeni pole mwenzenu na kumuombea kwa Mungu apone. Hujui wewe kesho yako itakuwaje maana hujafa hujaumbika. Upone katika Jina la Yesu

    ReplyDelete
  10. pole Happiness mungu akusimamie upone haraka

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli kabisa tumtakie kila la kheri apone Haraka kwa kudra zote za Mwenye Rehema. Ili akiishapona aende akaendeleze lile gurudumu la Maendeleo pale Mtwara kwa kuendeleza ujenzi wa vile Vibanda vya Kuku vya Wanafunzi kusome. Bwana ahidimiwe.Amen!

      Delete
  11. pole happy.....ni mitihani ya dunia iyo..

    ReplyDelete
  12. Huyu nae kutumia catheter Mbona Si jambo la ajabu?mi Si mgumba lakini nishawahi kutumia mipira 3days,mlango Wa kibofu ulijifunga,siku ukipima ukakutwa HIV positive njoo umu uje utujuze.(msonyo)

    ReplyDelete
  13. Ugumba na matatizo ya kibofu Ni vitu viwili tofauti

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inawezekana tatizo la kibofu likawa ni mojawapo ya complications zinazoendana na ugonjwa huo. Otherwise huo ugonjwa ni very common hapa Duniani. 176 million ya wanawake na wasichana wako affected na huo ugonjwa Dunia nzima. 8.5 million ni Norh America pekee na over 2 million ni UK. Kwa hiyo kimsingi ni ugonjwa ambao ni so common. Huyu msichana amekuwa akipiga picha na kuzi post pale Instagram yuko ana party na virafiki vyake feki viNigeria pale New York. Kumbe wakati ana party wakati huo huo kibofu chake cha mkojo kimeziba. Sasa sijui alikuwa anamdanganya nani kwa kuzi post zile picha pale Instagram eti ana party yuko kwenye good time kumbe ni muathirika wa endometriosis. Sasa leo hii anatafuta pole tena ya kutojisetiri na kutuonyesha vipaja vyake vya Kuku wa kienyeji hapa. Kama sio kutafuta huruma na kiki ni kitu gani???.....Anataka watu watishike na hiyo Catheter tube even if is some new. Huyu hana lolote zaidi ya kutafuta attention. Ni attention seeker. Halafu labda anategemea Umoja wa Mataifa watamchagua awe Balozi wa ku present huo ugonjwa Duniani. Watu wanavyojua kutafuta kiki kiulaini namna hiyo bila kuzifanyia kazi heeeeeee anafikiria hiyo chance ataipata kiulaini kiasi hicho hata haya hana. Mtoto wa kike Jifunze kujisetiri na ukishapona nenda pale Mtwara kaendeleze vile Vibanda vyako vya Kuku kwa sababu that's the only thing you deserve in this earth.

      Delete
  14. Magonjwa mengine mnakjinadi Mkipata HIV mjinadi pia.kuna sababu ya Happiness kujitangaza Si bureeeee Huyu dada is smart,kuna kitu anakitaka Kama Si UN basi kwa kikwete

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa anajaribu kuwazuga baadhi ya waTanzania wachache wajinga wasiolewa huo ugonjwa. Hiyo yote ni kutaka kutuambia ya kuwa yuko so exceptional yaani hakuna wagonjwa wengine zaidi yake. By the way ameshindwa kutuambia jinsi alivyokuwa hana ile Medical Insurance. Kwa sababu hata ukiziangalia hizo picha hayuko kwenye Hospital gown wala Hospital bed. Yaani kapigika mpaka amekosa ile Medical Insurance ya ku cover ugonjwa wake. Anaonekana yuko kwenye kitanda cha chini cha kienyeji kama vile Msukule.

      Delete
  15. loo.. poor yu.. God is great utapona mwaya!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unafikiria ingekuwa wewe ndio unaumwa hivyo angekujulia hali..maviii wewe huwajui hawa ma celebrity uchwara wa Bongo. Asinge hata bother. Kwanza hakujui na wala asingetaka hata kukujua.

      Delete
  16. Na kwa kweli akija kuumwa HIV/AIDS ama Hepatitis C au Gonorrhoea aje ajinadi the same way anavyojinadi na hiyo Endometriosis. Aje forward na kutuelezea jinsi ambavyo amepigika mpaka amekosa ile Medical Insurance. Na ni kwa nini ameamua kwenda kutibiwa Local. Cheza na United States wewe........

    ReplyDelete
    Replies
    1. mdau inaelekea wewe ni msomi,ebu nielezee ugonjwa wa hepatiti c na B please.unakuwaje?

      Delete
  17. Pole mwaya! Lakini wadau hicho kijitanda unaweza jigeuza kweli!! Yaani da!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ataweza wapi. Hana hata Medical Insurance. Cheza wewe.........

      Delete
  18. Hahahahahahahahahah

    ReplyDelete
  19. pole happy mungu akuponye

    ReplyDelete
  20. pole xana mwaya mungu yupo utapona tu ila uciache kumuomba mungu na kuangaikia dunia hii ndio mana balaa zinatukumba coz tumemsahau mungu kabsa wanadamu tutubu nakumrudia mungu

    ReplyDelete
  21. Pole sana H app mungu atakupa nafuu.

    ReplyDelete
  22. Nitakurudishia afya asema Bwana wa Majeshi. Mwambie Mungu inatosha akurehemu, imo nguvu katika kukiri kwa kinywa chako. Tafadhali, fanya ibada sana na huu ndio wakati muafaka wa kumrudia Mungu Happy. Mungu yuko kwa ajili yako wewe nami, anataka tumwangalie yeye tu asiyeshindwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad