Ndoa ya Lucy Komba na Mzungu Wake Yaingia Mizengwe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Gladness Mallya
HUKU akiwa kwenye vikao vya maandalizi ya harusi na Mzungu, staa wa filamu Bongo, Lucy Francis Komba (pichani na mchumba wake), amejikuta katika wakati mgumu baada ya habari kudai kwamba, mchumba wake huyo amemwambia ili ndoa ifungwe lazima aoneshe cheti cha kipimo cha Ukimwi kwanza.

Chanzo chetu cha habari kikizungumza na Amani juzi, kilisema kwa sasa Lucy anahaha kutafuta cheti feki cha kipimo hicho kwa kwenda hospitali mbalimbali ili anunue kwa gharama yoyote lakini imeshindikana.
“Ukweli Lucy anahaha kutafuta cheti cha Ukimwi, mchumba anasubiri akione vinginevyo hawatafunga ndoa,” kilisema chanzo.

Ilidaiwa kuwa, mpaka sasa Lucy ameshafika kwenye hospitali tatu kubwa mbili, TMJ na Marie Stopes ili kufanya maarifa lakini imeshindikana.

Baada ya kupata habari hizo paparazi wetu alimtafuta Lucy ambapo alikuwa na haya ya kusema: 
“Si kweli! Hao wanaosema hivyo ni wanafiki, sijui wanataka nini maana kila siku wanazusha mambo ya ajabu. Kwanza mimi huwa sitibiwagi kwenye hospitali hizo ulizozisema, natibiwa Regency.

“Kuhusu  kupima Ukimwi, mimi na mchumba wangu tulishapima hukohuko kwao Ulaya (Denmark) ndiyo maana tukaanza taratibu za ndoa.

“Namshangaa sana huyo aliyesema hayo hata kama ni mtu wangu wa karibu, mimi huwa simwelezi mtu mambo yangu binafsi kwa sababu duniani hakuna rafiki wa kweli, rafiki anakuchekea machoni lakini wote ni wabaya,” alisema Lucy.

Amani lilifika kwenye hospitali hizo lakini kukakosekana ushirikiano kwa madai kwamba, hakuna utaratibu wa kumtaja jina mgonjwa kama alikwenda kutibiwa.
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani watu wabaya wanamuonea wivu dada wa watu wanataka kumchafua tu hamna lolote. Kama wewe umechunda sali mungu atakupa wako sio kumchafulia mwenzako mwambie mungu na mimi nataka mchumba kama wa lucy tena azidi mara mia utaona kama hujibiwa funga sali usiku wa manane kaa usubiri muujiza wako my dear

    ReplyDelete
  2. Replies
    1. Wewe kichaaaa acha matusi. Huo mdomo wako unahitaji sala maalum na maombezi. Mungu akusamehe.

      Delete
  3. tena huyo Vee Cash ama Nana Junior ana mume na watoto lakini kutwaaa kwenye mablog kutukana,mi mwanzo nilijua katoto ka secondari kumbe mke wa mtu,laana tupu.

    ReplyDelete
  4. bora Lucy umegundua mapemaa,marafiki wote wa bongo movie ni ushuzi,kuna mdada hayuko bongo movie hila anapenda kujipa kiki na yeye kuonekana ni star,haya alikuwa na bwana yake muuza sembe ya mahindi ,hela alikuwa anachezea balaaa,leo kempiski,kesho serena,kesho kutwa china, basiiii marafiki zake wakamzunguka na bwana mwenyewe Rummy kitombiiiii balaaa,

    ReplyDelete
  5. lucy na wewe usije kula madonge ya kujichubua mzungu kaupenda uo mpingo,kesho na kesho kutwa mweupeeeeeeee,Big NO.

    ReplyDelete
  6. Kuma. Mboro. Mkundu. Utamu

    ReplyDelete
  7. mbona matusi huyo nana nae si alee watoto matusi ya nini huku kama alishapima umbea wa nini mwacheni akanyonye nyeupe za wabongo zimemchosha

    ReplyDelete

Top Post Ad