RIYAMA: 'Ukinitokea' Sina Hiyana. Nakukalisha Chini Tuzungumze

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

STAA wa filamu Bongo, Riyama Ally amesema katika maisha yake hajawahi kumtukana mwanaume pindi anaponitokea hata kama hamuhitaji, anamjibu kwa busara.

Akipiga stori na paparazi wetu, Riyama alisema yeye yupo tofauti na wasichana wengine ambao wamekuwa na tabia ya kuwatukana wanaume pindi wanapowasilisha hisia zao za kimapenzi kwa sababu tu hawavutiwi kuwa nao.

“Hata kama mtu akinitongoza na nikawa simuhitaji kamwe siwezi kumtukana wala kumuonyesha dharau , kimaadili sisi sote ni binadamu na kila mtu ana hisia zake na maamuzi yake, namjibu tu kistaarabu kwamba mimi nina mtu wangu, kumjibu mwanaume vibaya Mungu hapendi,” alisema Riyama.

Quote of The Day:
“Each day means a new twenty-four hours. Each day means everything's possible again. You live in the moment, you take it all one day at a time, You try to walk in the light” 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu dada hana kashfa za nje nje sa cjui za ndani anaemjua zaidi ni mtu wake

    ReplyDelete
  2. Mastar wote wangekuwa kama huyu raha sana

    ReplyDelete
  3. Mastar wajaribu kuiga mfano wake jamani.

    ReplyDelete
  4. Penda chana Riyama. She iz my role model

    ReplyDelete
  5. ataendelea kuwa Riyama the one n only nampenda sana huyu dada anajua nini anaongea na ni ni anafanya n she is professional.

    ReplyDelete
  6. Nakupenda sana Riyama kwa kweli mastaa wote wangekuwa kama wewe, tasnia ya filamu ingefika mbali. tunashindwa kununua move kwa sababu ya uvaaji wao, ila wewe ni dada unayejiheshimu sana.

    ReplyDelete

Top Post Ad