Shaa Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Mapenzi yake na Master J..Asema Anajua Kupika Kuliko Yeye

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Akiongea leo kwenye kipindi cha Coke Studio Afrika kutoka Nairobi, Shaa amesema mpenzi wake huyo si mnyama kwenye upishi wa ngoma studio pekee, bali pia katika kurekebisha msosi jikoni. Alikuwa akijibu swali la producer wa Kenya, Kagwe aliyetaka kufahamu kama humpigia mpenzi wake.

“By the way you will be surprised,” amesema Shaa. “Because my better half is a better cook than me. He is really a better cook. I am the type of a girl who can boil an egg well, I can make it look pretty, I can set up a table, I can clean the dishes, I can clean the clothes, I can iron whatever but the kitchen yeah he’s got better…. (anacheka na kufanya asisikike alichotaka kusema).
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole sana mtoto wa kike kupitwa na bwana cjui mumeo kupika jitahidi umpite...jiko la mama baba huwa tunawaalika siku moja moja tuonje mapishi yao...

    ReplyDelete
  2. jamani Master J si ana mke na mtoto?tena na ndoa wamefunga kanisani?sasa Shaa katokea wapi tena?ebu mni up to date jamani maana naanza changanyikiwa,mi niko Canada,au mke wa Master J kafariki kaamua kuvuta Shaa?jamani mwenye kujua anijuze maana najuaga ndoa za kanisani azivunjiki.

    ReplyDelete
  3. jamani naomba mwenye kujua ani up to date,Master J ninavyojua alisha oa na ana watoto,tena ndoa ya kanisani,sasa na huyu Shaa katokea wapi?ebu nijuzeni niko mbali mambo ya bongo yananipita,mke wa master j kafariki?(God forbid)hawa wadada wa mujini wana sambalatisha ndoa balaa duuu,wakiingia studio kurekodi washajinyegesha ili warekodi bure.

    ReplyDelete
  4. Bongo small house ndio fashion hulijui hilo? Pole yako wewe! Ndoa itakua bongo? Wanawake wanaume ngoma drop.ndoa ndoano!!!!

    ReplyDelete
  5. Shaa kukatika kote kupika hujui loo!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad