Shinda milioni moja cash kutoka kwa Diamond kwa kufanya hivi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Haya ni maneno ya Diamond akitangaza kitu ambacho ukikifanya unaweza kujishindia milioni moja cash. Soma hapa na kama lipo ndani ya uwezo wako fanya ujishindia pesa kutoka kwa Diamond.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. acheze mwenyw

    ReplyDelete
  2. aache ufinyu wa fikra kwa nn atunge wimbo ashindwa style kumbe ndio zake ku copy na ku pest muda umefika wa yy kuumbua!

    ReplyDelete
  3. HAUMBUKI ANATOA HUO NI UJASIRIAMALI FURSA ANAYEWEZA KUTUNGA NAMNA YA KUCHEZA ANAWEZESHWA MTAJI MILIONI MOJA AKINUNUA MAGUNIA YA MKAA NA KUYAUZA SI SAWA NA MUOTA JUA MPAKA JIONI KUWA NA AKILI KABLA YA KUZODOA BATA KENGE WEE

    ReplyDelete
  4. Hiyo nyimbo ni aina ya mkwaju ngoma na mchiriku....kwahyo watu wa pwani yaani waluguru,wazaramo na wakutu wanao mtindo wa uchezaji..kwahyo staili ya mchezo huo upo.

    ReplyDelete
  5. fursa hii najua madensa washaanza kazi

    ReplyDelete
  6. Tatizo domo uwa atimizi ahadi, alichowafanya watoto WA watu warembo kwenye nyimbo yake ya nataka kulewA! Awakuambulia chochote, cjui uwa anatangaza apate sifa! Acha hiyo tabia domo, mungu apendi mtu asiyetimiza ahadi.

    ReplyDelete
  7. anafirwa huyu domo. ni kweli aliwadanganya mabint wawa2 katika video y nataka kulewa. safi xana mdau hapo juu umeongea ki2 kidhuri xana huyu domo la udaku huwa hatimizi ahadi zake.

    ReplyDelete
  8. domo kawa handsome

    ReplyDelete

Top Post Ad