google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Sikiliza na Download Wimbo Mpya wa Profesa Jay Feat. Jay Hustle & Nigga J-Tatu Chafu | UDAKU SPECIAL

Sikiliza na Download Wimbo Mpya wa Profesa Jay Feat. Jay Hustle & Nigga J-Tatu Chafu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Profesa Jay ameachia wimbo wake uliokuwa unasubiriwa na mashabiki wake. Ni wimbo wa Hip Hop ambao unamuwakilisha Profesa Jay Mpya, Jay Hustle ambaye ni Prof aliyekuwa underground mwenye hasira.

Nigga J aliyekuwa mshindi wa tuzo ya hip hop akiwa na Hard Blasters Crew (HBC) na Profesa Jay ambaye ni The Heavy Weight MC.

Wimbo umefanywa katika studio yake ya Mwana Lizombe chini ya Producer Villy.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad