Taarifa kuhusu ajali aliyoipata Bahati Bukuku.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muimbaji maarufu nchini wa nyimbo za injili nchini,Bahati Bukuku (40) amepata ajali akiwa katika gari alilokuwa akisafiria kuacha njia na kugonga gema, baada ya kugongwa na gari lingine linalosemekana kuwa ni fuso.
Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi watu wengine waliojeruhiwa kwenye ajali hiyo mbali na Bahati Bukuku ni watu wawili na gari lililopata ajali na kusababisha majeraha
kwa watu hao ni Toyota Nadia yenye namba za usajili IT 7945.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi David Misime amesema ajali hiyo imetokea july 25 saa tatu 9:00 alfajiri katika Barabara ya Morogoro – Dodoma eneo la Ranch ya NARCO wilayani Kongwa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mungu awaponye bahati na wenzio.tunashukuru hakuna aliekufa

    ReplyDelete

Top Post Ad