Umemuona yule Model wa Video ya Ice Cream Alivyobadilika Baada ya Kupata Matibabu ya Dawa za Kulevya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Doreen video model wa Ice cream by Noorah alijikuta kwenye hali mbaya baada ya kuathirika na dawa za kulevya lakini Ray C akiwa na foundation yake walimchukua na kumpeleka kupata matibabu.
Hivi sasa Ray C ame post picha ya Doreen na kuonyesha jinsi alivyobadirika baada ya kupata matibabu. Hapo chini ni picha kabla hajapata matibabu na ya juu ni Doreen mpya. Caption ya chini aliandika Ray C baada ya kupost muonekano mpya wa Doreen


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. big up ray c dada yuetu wa ukweeeee....e.....we fanya kazi ya kusaidia jamii....ishallah m.mungu atakulipa

    ReplyDelete
  2. jitahidi na ww kuwaambia wengine waache

    ReplyDelete
  3. Wengine siwanamtukana asaidie ambaowako tayari kusaidiwa.kaza buti ray c usijali vitisho kusemwa dharau kebehi.wabongo ndiozetu

    ReplyDelete
  4. Mungu akuzishie

    ReplyDelete
  5. Big up acha mateja wengine wakutukane iko siku watagonga ukuta tu, saidia walio tayari

    ReplyDelete
  6. Aisee... ni miujiza!! Kwenye picha ya chini hata angenivulia nguo awe uchi nisingedinda... kwanza ningetapika ptuuuuu!! but kwa hiyo picha ya juu mpaka najiuliza mtoto ka huyu ntammwagia sera gani mm anikubali??? Ka m'porto rico!!! Ray C mungu akujaze afya, uwezo, maarifa na busara kwenye hili la kuokoa vijana wenzetu.. akujaalie upate mume na ww coz umri unaenda huo!!

    ReplyDelete

Top Post Ad