Utajiri wa Irene Uwoya Waanza Kuwa Gumzo, Watu Wahoji Amepata Wapi Mali Zote Hizo. Mwenyewe Afunguka na Haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Inadaiwa kuwa hali ya hewa imechafuka kwa msanii nyota wa filamu za Bongo Irene Uwoya ambapo ameshindwa kutaja vyanzo vya utajiri wake wa Ghafla, Hivi karibuni Uwoya alikaririwa akisema kuwa hawezi kutaja kazi nyingine anayofanya na utajiri aliokuwa nao kwani wapo baadhi ya watu hawapendi kuona mmoja wao akiendelea ...Alisema kuwa pamoja na magari anayomiliki ya kifahari hawezi sema ni njia gani amepata utajiri huo..Nimefanya Filamu kadhaa ambazo zimenipa hela na cha zaidi ni Jina ambalo limenifanya kupata Deals zingine zinazonipa Pesa..Jina langu ni Kubwa so lazima liendane na Mali ninazopata..alisema uwoya
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyo si mchepuko wa kiongoz flan wa mpira HP

    ReplyDelete
  2. utajiri gani bwana mbona nyumba za kupanga?

    ReplyDelete
  3. Hivi wewe mhandishi wa habari unajua maana ya utajiri? kuwa na gari na kukaa kwenye nyumba ya kupanga ndio utajiri? hujielewiiiii

    ReplyDelete
  4. jamani huyo mtu ana utajiri gani,hakuna watu waongo kama hao wasanii wa bongo muvi,wanaunga unga,lkn kujikweza sasa.

    ReplyDelete
  5. Pendezajeeee!!!! Awe na mali, au za hana hayo n maisha yake

    ReplyDelete
  6. Nampenda sana Uwoya toto zuriiii,guu guu sio km kina Sepetu viguu ka fimbo teh teh

    ReplyDelete
  7. Irene one of few chagaswith gorgeous legs hapo hata chaggabarbie kwenye miguu atasubiri s aaaaaa mtoto mtama kumuangalia huyu yarabi

    ReplyDelete
  8. Ng'aaa kinyama uwoya,,,,tisha saana ishi utakavyo usiishi watakavyo walimwengu hawana jema,,,, ukisema chanzo cha utajir wako pia watadis coz n lyf styl ya wabongo NK.

    ReplyDelete
  9. cijui ni raha gani kumgonga huyu mtoto, anaonekana mtamu kweli!

    ReplyDelete

Top Post Ad