Uwezi Amani Ngoma za Vigodoro Bado Zinaendelea Uswahilini Japo Serekali Ilipiga Marufuku-SeePhotos

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Japo Serekali Ilikataza Ngoma za Vigodoro Hapa Jijini Dar Inaonekana Bado agizo hilo alijachukuliwa ipasavyo baada ya Ngoma hizo kuendelea kuchezwa huko uswahili vibanda inama kama unavyoona kwenye picha, 
Dada huyu ambaye jina lake halikufahamika mara moja akikata mauno huku akionesha nguo yake ya ndani mbele ya kadamnasi bila hata chembe ya haya
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. vigodoro ndio maisha yetu uswahilini hata tukienda disco hainogi kabisa.

    ReplyDelete
  2. wabongo mnajua kulea watoto kweli,cheki vitoto vinavyochungulia matako,stupid life kwa kweli.

    ReplyDelete
  3. Yani kwanza kumeshaitwa uswahilini, unategemea bluuz jamani, huku kwentu ndo maisha msitushangae jamani bila kupika nje hakinogi nyie mnatakaje manake tushazoea tuacheni tule raha zetu

    ReplyDelete
  4. Jamani. Mtuwache na life yetu ya uswahili. Haya maisha tu. Nyie fanyeni yenu nasi twafanya yetu. Wenyewe izi Ndio entertainment zetu. Wenyewe twajimwaya mwaya. Wala hatuna matatizo na Mtu. Hatuibiani. Wala hatuoneani. Twafurahi tu.kwanza mmesha kupa na majina uswahilini. Na hizi ndio raha za uswahilini

    ReplyDelete
  5. Kwa. Raha zetu. Kantangaze

    ReplyDelete

Top Post Ad