Wema Akiwa na SHEMEJI yake ndani ya pozi matata

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Picha 4 Kimahaba za Wema Sepetu na Ommy Dimpoz mtu na Shemeji Yake wa Ukweli ....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

26 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. acha apige naye tu ila kiukweli ana uwezo wa kumiliki chombo kikali kama kile hicho amuachie dai peke yake

    ReplyDelete
  2. Wamependezaa.ommy hawezi mchukua wema ILA anauwezo wakuwa na Dem mkali zaidi ya wema.

    ReplyDelete
  3. Mdau hapo juu 9:46 nimekupenda kweli. Wema c mzuri kabisa. Ommy anauwezo WA kupata demu mkali Sana zaidi ya huyo wema.

    ReplyDelete
  4. haaaaa mdau 11:18 unaumia kwa uzuri mzuri,roho ya kwakele,ebu weka picha yako tukuone,eti siyo mzuri kabisa,huyo mzuri unayemjua wewe,anakuwaje,utakonda kwa roho mbaya,

    ReplyDelete
  5. kama wema mzuri na wazuri wataitwaje hebu hamna jipya shabikieni tuuu upuzi. wazuri ni wale natural si kuji koroga na ma wigi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Analia picha ya 2006 ya u miss Tanzania ndo utaamini tukisema Wema ni bombaaa mbaya,sema amejiaribu kwa kujichubua,angebaki na ngozi yake ya mwaka 2006 ingekuwa baraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,

      Delete
    2. hivi nani aliwaambia weupe ndo uzuri?kuna kadada ka kijaluo sikataji jina kalikuwa keusiiiii tena uweusi mzurii,lakini sasa hivi kawaiga kina Penny kula madonge ya kujichubua kawa kitukooo.yani kawa mweupeeee,ukiangalia familia yake,baba mweusiiii,mama mweusiiii,siblings weusiii,yeye mweupeeeeee,duniani vituko kweli.

      Delete
    3. lulu michael ngozi uliyokuwa nayo usijeiga hao mashoga zako wa ukubwani kujichubua utachekesha bibi wee,baki hivyo hivyo,mwenyewe unapendeza.

      Delete
    4. wapi Miriam
      ODEMBA?

      Delete
    5. haya mdau uliyemuulizia Miriam Odemba ngoja nikujibu,bibi huyu balaa,mwanzo alivyopata mzungu,baada e akawa mumewe na wana mtoto,kutwaaa kumuonyesha kwenye face book mzungu mzungu wako,nyokonyoko,sasa hivi nasikia kamtosa mzungu,akaenda kufata wenye hela,kina Abdallah wa DC,kamkimbia mzungu na mtoto kakimbia nae mapicha ya mumewe mzungu kadelete instagram na facebook,sasa hivi anaponda raha ufaransa na wenye hela zao,mzungu masikini kabwagwa.asalaleeee

      Delete
    6. maisha magumu marekani Abdalla anagombaniwa balaa,kasha wala kina Chagga barbie,Miriam Odemba,na wengine wengiiiiii tu,yani Abdalla ni hot cake DC.........wabongo bwana,wanaangaikaaa kugombea bwana mmoja maisha magumu si mrudi ma kwenu?yaani Miriam Odemba anatumia nguvu nyingiii kutuonyesha kwamba maisha ameyapatia,yani yeye picha zake ni kwenye mnara wa EIFEL KUWAAKIKISHIA KWAMBA YUKO UFARANSA baada ya mtu kumzodoa kwamba ayuko ufaransa yuko re union.

      Delete
    7. na wabongo wa marekani kwa uswahili duuu,chagga barbie,Linda Bedui,kina Mange,yani ni wazaramoooo wa kupitiliza,wangefanya yao wangekuwa wadada wa maana sana lakini kutwaaa kukaanga mbuyu na kuwaachia wenye meno watafune,maugomvi yasio na kichwa wala miguu watapoteza masaa kuyaingilia,kila mtu afanye yake jamani,tena ya maendeleo,mi anani boaaa hawa viumbe,na sasa hivi wamemfundisha Mbuta nanga wa watu,mwanzo alikuwa anafanya yake,sasa hivi kawa mzaramo pia.

      Delete
  6. kwani mtu aweke picha akuthibitishie ww kua ni mzuri for wat mcheewwww kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza

    ReplyDelete
  7. ww yaonekana hujaona wazuri tembea utawaona wamejaa tele tena bila mikorogo

    ReplyDelete
  8. AH kweli ramadhani kaisha tu juzi leo kavaa hivi ahhh huyu binti ana cheza na dini

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ungemuona jana airport alichokua amevaa mbele ya wakweze ungechoka wewe huyu naona kuhusu mavazi muache atajuana yeye na Mungu wake

      Delete
  9. mhhhhhhhhhhhhhhhh ati mzuri hakuna wivu wala nn but wema c mzuri kabisa wazuri wako bana labda ww hujaona

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wema kama mzuri au mbaya chukua picha ya 2006 alivyokuwa kadogo kanapewa u miss Tanzania,ndo utapata jibu kama mbaya au mzuri,

      Delete
  10. MUANDISHI BWANA,HIZO NDO PICHA ZA KI MAHABA?USHAMBA MZIGO.YANI MPAKA UNAOTA MVI HUJUI PICHA ZA KI MAHABA NI ZIPI?

    ReplyDelete
  11. TOPIC NI KWAMBA,WEMA KATIKA PICHA YA MAHABA NA SHEMEJI YAKE,MATOKEO YAKE IMEGEUZWA,WATU WANAONGELEA HOO SIYO MZURI,SASA KWA UWELEWA WANGU MIMI,KWANZA HIZO PICHA NI NZURI,NA WAMEPENDEZA,SASA YULE MWENYE CHUKI KUZIONA TU,KAHAMISHA MADA,HOO WEMA MBAYA,UKIONA UNAKAZANA KUMDIS MTU HAPO KUNA TATIZO,ME NA HISI WAKINA CHUKI MMEUMIA,KUONA MTOTO MZURI MWENYEWE,HANA TABU NA MTU,NYIE TU,NA WIVU WENU,HURUMA,KAMA WEWE MBAYA MBAYA TU,USITAKE HASIRA ZAKO ZA KUWA NA SURA MBAYA,UMALIZIE KWA MWENZIO,

    ReplyDelete
  12. Acheni kumkufuru mungu. Mungu hajawah kumuumba mtu mbaya hata siku 1 nyie wote ni wazuri tupendaneni jamani

    ReplyDelete
  13. haloooooooooo bora umempa huyo anny3.53 hio ni maoni yako na kuna alosema mzuri na watu wakasema no wewe wamtetea akupa kitu au vipi kisha 2006 na sasa ni 2014 miaka minane loh wazuri wazaliwa daily wema asha expire

    ReplyDelete
  14. doh songeni mbele na huyo shangingi nani awe na chuki na yy nyie mwafikiri kila mtu ana chuki ama wivu saa zingine uwa ukweli wauma

    ReplyDelete
  15. shemeji shemeji huzua balaa

    ReplyDelete
  16. sijui watu wengine wakoje yani mtu akisema kitu mara ohh una wivu ohh una chuki wakati hata hujui hata maisha yake ni hali gani jamani tukuweni kiakili si kimdomo mbio wa kurukia jambo na kama weupe ni mzuri basi mabuyu yasinge tiwa rangi

    ReplyDelete

Top Post Ad