google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Fiesta 2014 na KTMA Tour, Mbona Kama Mnashindana..Kunani? | UDAKU SPECIAL

Fiesta 2014 na KTMA Tour, Mbona Kama Mnashindana..Kunani?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Fiesta imeandaliwa chini ya uzamini wa bia ya Serengeti (SBL) na Kili Music Tour imedhaminiwa na bia ya
Kilimanjaro (TBL). Wote wanafanya kazi nzuri kwa wasanii wetu, na inawapa ajira na kipato wabongo!!

Swali langu, kwanini msingepeana nafasi mmoja aanze na mwingine amalizie kuliko mnachofanya sasahivi,
huku kuna Fiesta kule kuna Kili Tour??? Ila binafsi ninaona kama mnashindana ambako hakuna sababu
yeyote ile..ni kwa faida ya nani??? Wote mnataka kuwatumia wasanii wale wale na sehemu zile zile.

Nadhani mngewanufaisha wasanii wetu na kutoa fursa kwa watu wengi kama mngepeana nafasi mmoja
aanze na mwingine amalizie....kuliko huu utoto mnaofanya. Mfano Fiesta ilianzia Mwanza...Kili Tour ikawa
Mbeya the same weekend!!! WHY???

Kila brand ingetafuta muda sahihi na sio kukomoana, mnawanyima fursa wasanii na wapenzi wa burudani.

Mandla.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha chokochoko na majungu yako.INAHUSU!

    ReplyDelete
  2. Kilamtu atakula kwa urefu wakamba yake hapo

    ReplyDelete
  3. Mbona maduka ya nguo kariakoo yamejipanga tele na yote yanafunguliwa asubuhi mpaka jioni, kwa nini wasisubiriane mwingine afunge na mwingine ndo'afungue. Wacha uchonganishi, fanya yako....... hovyoooooooo!!

    ReplyDelete
  4. Hahahaaaa mdau hapo juu nimechekaje?! Uwiiiii mbavu zangu jamani kwel Admn aache uchonganishi

    ReplyDelete
  5. mawazo yako admin yanaonyesha jins gani ulivo na low thinking capacity nxt time post mada zenye mtazamo chanya

    ReplyDelete

Top Post Ad