Ikulu Kuruhusu Rais Kikwete Apige Picha ya Namna hii ni Makosa Makubwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mambo ya Selfie..Kumbe na Raisi Wetu Yupo Hahha....

Je ni Sawa Kwa Rais Kuruhusu Watu wapige Selfie Nae?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani tuna rais au mwigizaji wa uraisi!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. thats why mm ni mfuuasi wa NCCR -MAGEUZI till i die rais kwenu nyinyi sio kwetu rais gani mxela????????????

      Delete
  2. Tuache matusi yasiyo na maana, mbona Ata Baba yako Ni mwigizaji katika familia yenu? Cku akiota Ata ndoto ya kuwa mjumbe WA nyumba kumi, atakuwa kama wema atapanda kwenye majukwaa kukata mauno, kwenye familia yenu amjawahi Ata kutoa class monitor unatukana rais. Bora huyo muigizaji. Baba yko Ni nani ktk ramani ya Tanzania.

    ReplyDelete
  3. We hapo juu kweli na wewe bonge la K..... A

    ReplyDelete
  4. Mwacheni rais ajivinjari kuongoza Tanzania stress tupu ,kwanza rais wetu photogenic, unamuonaje hapo alivyotokelezea?? Tuache hayo kua rais nayo ina raha yake.. hivi hilo toto hapo la kibantu alitetee faster " nakukatia tiket tuonane hotelini nchini quatar, ntakupa kila kitu" litakataa kweli??????

    ReplyDelete
  5. hivi huyu mange kimambi ni mgonjwa wa akili au umalaya unamuathiri..eti kaandika kwa blog yake hongera na diamond kwa kuwa na moyo mzuri wa kufanya collabo na wasanii wenzake ,Kwani diamond kawa nani hasa!!!!huyu dada ni mpuuzi haswa.......

    ReplyDelete
  6. vee cash huyo dada hua hana hakir nzuri anautindio wa ubongo ukiona hivyo anatafta collable ya kutombwa na domo kwan domo kawa nani sasa free mason itamwondoa bila taarifa si anajifanya mjanga..na mama ake ana hatari asipotolewa kafala..mwanzo niliona kama wema angetolewa lakin wema hayupo ndani ya moyo wa diamond sio rahis kutoa sadaka ya kitu ambacho hukipendi..masharit lazima utoe unaempenda..lulu alikoswakoswa na kanumba kutolewa matokeo yake akaenda mwenyewe

    ReplyDelete
  7. Jamani mbona mnamuonea wivu mama mzungu. Kama limekuchoma mange kuweka post domo chimba shimo ujifukie.

    ReplyDelete
  8. Ikulu ni ya kikwete au ni ya wa-TZ?
    safi hata mimi nina mpango wa kupiga picha nikiwa hapo

    ReplyDelete
  9. KOSA MAKUBWA YAKO WAPI HILI NALO FALA KWELI LIADMIN

    ReplyDelete
  10. Hakuna kosa lolote ila inategemea muda, sehemu ambako tukio limetendeka. Hata nami natamani nipige picha na Mheshimiwa Rais wetu kwani ni kumbukumbu tosha ya kuwaeleza kizazi chako kijacho.

    ReplyDelete
  11. Ndugu Admin jaribu sana ku secure hii blog yako. Kuna spams nyingi zinazotishia ku infect virus kwenye computer zetu. Ni ombi Ndugu Admin kutoka kwa mmoja wa wadau wako

    ReplyDelete
  12. Replies
    1. coz inapendeza mtu ukiwa huru kama hvyo.....

      Delete
  13. Bwanaee mwacheni apige picha kwani yeye sibinadamu?mengine tutasema ilahili muacheni hata akienda mziki nisawa

    ReplyDelete
  14. Rais naye Ni binadamu gud dk kikwete maisha mafupi bana mtu huishi zaidi ya miaka mia ndo nini

    ReplyDelete
  15. Acheni Raisi Ale bata jamani wivu wa nini?

    ReplyDelete
  16. Salma amebeba gunia la misumari

    ReplyDelete
  17. .. the hell is breaking loose, watu hawana pesa sababu serikali imechukua pesa kwenye mzunguko kwenda kulipa wabunge kwa kitu ambacho wanajua hawataweza kufanikisha, wamesababisha vijana kuwa majambazi, kuua raia wema, rais anapata wapi muda wa selfie??? naulizwa ma mtoto wa aliyepigwa risasi na majambazi maswali magumu naumia alaf ninachoona ni rais anapiga selfie... very sad, time will tell

    ReplyDelete
  18. akiwa ofisi moja na mkeo mmh!!!

    ReplyDelete
  19. MWACHE RAISI WETU AWE ANAPUNGUZA STRESS JOTO HASIRA , MAANA NCHI KUONGOZA WATU NA MIDEVU YAYO NA MIZIWA YAO KAZI , HUKU KATIBA IMEJAMBA MARA SIJUI NINI MWACHE AJUMUIKE NA WATU WAKE BORA SALAMA TU, MAISHA YANAENDA

    ReplyDelete

Top Post Ad