Inasemekana Ommy Dimpoz Amehamishia Mapenzi Kwa Jokate Baada ya Kumtema Demu Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kupitia Gazeti la Makorokocho leo mezani tumepata story ya muda mrefu ya Penzi la siri kati ya Ommy Dimpoz na Jokate aka Kidoti.
stori hii ilivuja baada ya beef la chini kwa chini kati ya Jokate na mwimbaji mmoja wa kike ambae hawana maelewano mazuri na chanzo kikidaiwa kuwa ni mwanamuziki huyu wa kike (jina lake linaanzia na herufi V)
kukuta meseji za Mapenzi kati ya Mpenzi wake huyo na dada yetu kidoti.
Chanzo kinasema kidoti na Ommy Dimpoz walianza mapenzi ya siri kwa siri baada ya dada huyo kuachana na diamond.
Mapenzi hayo yalianzia huko mikocheni A ambapo Ommy Dimpoz alikwa akiishi nyumba ya kushare na kila bibie kidoti alipokuwa akienda hapo watu walimuona na kuna kipindi dada yetu kidoti alikuwa akiminya ndani ya gari bila kushuka mahaba yakiwa tele kwenye gari hilo.
sasa wataalamu wa mambo wanasema dada yetu huyu anaonekana sana maeneo ya kinondoni katika mjengo wa kupanga wa star huyu wa ndagushima chande na mapenzi yao bado inasemekana yanaendelea chini kwa chini lakini nje nje.
ommy dimpoz ameingizwa kwenye list ya wanaume walio na mapenzi ya siri na dada yetu kidoti.
patamu hapoooo.
kama namiona vile
CREDIT : SOUDY BROWN
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmmmh,kweli kipindupindu kikipinduka,..............
    haya ngoja tusubiri tu

    ReplyDelete
  2. Khaaaa wanapokezana eeee mnhh ni shiiiidaaa.

    ReplyDelete
  3. na ukija kuangalia wengi wao ni mashoga hapo

    ReplyDelete
  4. kagongeni tu hako katoto kanaonekana kanapenda mjengo kweli!!

    ReplyDelete
  5. Hivi mimi mwanaume/mwanamke ananiambia tuwe na mapenzi ya siri,halafu nisijiulize kuwa anaogopa nini?Umalaya tu.

    ReplyDelete
  6. mbio za kijiti mtakufaaa wote km domo anaooo

    ReplyDelete
  7. Mademu wakibongo hao wanashindano kutombwa

    ReplyDelete
  8. huyu joketi nae atuliiiiii,si alisema kapata mkenya?sasa ommy dimpoz wa nini au ndo unataka milion kumi nyingine kama daimond alivyokupaga skipindi kile ununue gari,kana tamaa haka kabiti duuuuu,Wewe una tamaa sasa kwanini ulikataa kata kata mzee machache asikuoe na huku umekaa nae mwaka mzima kwenye hekalu lake?nyoooo

    ReplyDelete
  9. joketi ukikutana nae very innocent lakini mambo yake duuuuu,ommy dimpoz unachunwaaa kama alivyochunwa millad ayo.na kama atembei na edzen mume wa dida mungu anisamehe.haka kabinti nyegeee zimemjaa,kalipataga u miss mwaka mmoja na wema sepetu basi ni shidaaaa

    ReplyDelete
  10. wema sepetu fanya mazoezi jamani unaonekana mzee kumbe umri si mkubwa,ona mwenzio joketi kapotable,na age yenu moja,i think,mlipata u miss mwaka mmoja mkiwa 18 wote wawili.pungua unazeeka bibiweeeee,ona Riyama sasa hivi anaonekana mzeeeeeeee,ka ana 40.unene auna dili siku hizi.

    ReplyDelete
  11. yani kameshatombwa hadi na millard ayo kweli ni kamalaya ka kichinichini kalishindwa kutulia na hasheem hakata kaa kaolewe kanapenda mapenzi ya siri kanawanaume wengi

    ReplyDelete
  12. duuuuuuu hadi millardi hayo nae kashampitia maskin hatakuwa alikuwa anamchuna millardia hayo wa watu na alivyo mpole H.B hasa kwa nin ucngetulinga na.millardi hayo wew jokati?????????????

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mmmh,Millard alishtuka mapema baada ya kuumizwa mara kadhaa kwa kumfuma
      na wanaume tofauti,unajua kipindi cha Jokate na Millard alikuwa hana pesa bado,kwa sasa japo hana hela sana lakini ule umaarufu na utulivu wa Millard unamfanya shoga yetu anamtamani tena,Lakini ndio basi tena.

      Delete
  13. Hizi list za wapenzi kwa hawa wasanii wetu wa kibongo wanawake kwa wanaume mwisho wake ni nini? Nahofia kwamba itakujaishia kujitongoza wewe mwenyewe.

    ReplyDelete
  14. millard usimrudie joketi asije kuua bure,mtoto malayaaa,halafu huwezi kuta ana mtangaza boyfriend wake yeye ukimtaka anataka mfanye siri.....siri ya nini ?mapenzi ya siri....naimba tu wimbo wa mwanamuziki gani yulee,,,nimemsahau jina.oooh ni Jumbe anaitwa.

    ReplyDelete
  15. kwa wanaomjua joketi naomba mtiririke,alikuwa anatembea na mzee machache kwa musa wa kipindi kisichopungua one year,Joketi anakaa kwenye jumba la maana au?tuambieni jamani.maana kutembea na mzee machache lazima maisha yakunyookee.

    ReplyDelete
  16. anafanya siri kwakuwa anajijua she cant stand kuwa na mahusiano na mtu mmoja.yeye anataka adokoe dokea kila kona.

    ReplyDelete
  17. Jokate anahaha kutafuta BORO litakalomfaa coz toka aachane na Hasheem Thabeet hajapata MSHURUNUNGU unaofanana na Tall Mnyama huyo wote wanamzingua tu ndio maana anahaha muacheni ipo siku atapata size aitakayo...

    ReplyDelete

Top Post Ad