Kama Ulikuwa Unasubiri Colabo na Show ya Diamond ana Ali Kiba Hii Inakuhusu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ulichokuwa ukisubiri kwa muda mrefu huenda kikatokea hivi karibuni. Collabo ya Alikiba na Diamond Platnumz mabibi na mabwana inanukia.

Akizungumza na kipindi cha Jahazi cha Clouds FM leo (20/8), Alikiba amesema upo uwezekano wa kufanya kazi ya pamoja kama kukitokea mabadiliko.

“Mawazo ya kolabo yapo, mawazo unapata mengi tu, hiyo nimeshaisikia vilevile, na wewe sio mtu wa kwanza kuniuliza hicho kitu kipo.

 "Lakini muziki vile vile kama unavyoona kuna mavazi na style, vazi hili linatakiwa liende disko hili ni vazi la beach, vazi hili la ofisini, vazi hili la mpirani, hili la mchangani, hili la kwenye ukumbi unajua vitu kama hivyo! 

"Kwahiyo Diamond akipata vazi lake ambalo linahusiana na vazi ambalo natakiwa nivae, hakuna tatizo tunafanya kazi kama kawaida, kwa sababu yeye anafanya kazi vizuri,” alisema AliKiba.

Alipoulizwa kama kuna uwezekano wa kufanya show kubwa na Diamond alijibu kwa kicheko: “Wewe hujui kama watu wanasubiria (show) au unajisahaulisha.”
Udaku Specially
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Napenda majibu yako kiba.

    ReplyDelete
  2. kiba anajipendekeza kwa domo lakin domo nae ni fala tu kwan ana nini ufree mason unamsumbua

    ReplyDelete
    Replies
    1. Eti mdau ulitaka asijibu swali aliloulizwa au??

      Delete
    2. Ali Kiba majibu yako Yana hekima sana,big up kaka

      Delete
  3. Walivyokua wanaendelea na bifu kila siku kwenye mablog mnawasema waache utoto na wapige kazi leo kiba kishakubali kufuta tofauti zao ww mshenzi ulo koment hapo juu kua kiba anajipendekeza ulitaka iwe vp nyoko ww

    ReplyDelete
  4. We diamond Kama we ni kweli freemasonunashindwa nini kumtoa Wema,maana hela zenu ni za mashetani,azikauki.mtoe mwenzio acha hizo bwana,atujasema umuoe,Kama auko tayari achana nae ila mtoe DEMU wako acha ungese

    ReplyDelete
  5. Kiba anajiheshimu awezi vaa kata mkundu!! safi sana Kiba nimependa ulivyopendekeza, ajiheshimu kwanza halafu ndiyo ufanye naye kazi!!

    ReplyDelete

Top Post Ad