Kwa Hili JK Ametisha Sana, Mastaa wa Bongo Uchwara hii Inawahusu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna Masipastaa ukikutana nao Weekend labda Maisha Club hivi ukiwaomba Upige nao Selfie basi wanahisi kama unawasumbua hivi,wanahisi wao ndo wao yaani,Sura zao wanaziona keki kichizi as if zinatakiwa kulipiwa PAYE,wengine wana michunusi ya haja sema basi tu kwa sababu wana majina tayari kwenye Media wamejisiliba na Foundation angalau sura ziuzike lakini WANARINGA...Ukiomba Selfie mara anakwambia hawezi sijui ntatokea vibaya,mara poda imeisha,mara mi sipigagi picha usiku..Ilimradi tu Raisi mwenyewe anatoa Selfie na Raia wake sembuse wewe ambae Usupastaa wako unaishia Chalinze??Tena Anasmile kabisa...Halafu wewe una nyimbo 2 tu eti SIPIGAGI PICHA NA STRANGERS!!!Strange babako mdogo!
By Seth
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ahaaaa aaaaa! Hao ma Gademu. Safiiii!

    ReplyDelete
  2. Picha hiyohiyo asubuhi imeletwa kivingine,
    jioni inaletwa kivingine. Ama kweli wewe udaku umeusomea,

    ReplyDelete
  3. acheni ujinga kama mbele vile mbona obama anafanya sana tu

    ReplyDelete
  4. Nimempenda huyu dada.. yupo so natural!! Ingekua mm ndo prezdaaa...... "njoo tupige na huku, na huku, em twende na kule, em toa hiyo tupige vizuri" mwisho wayaaaaa!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa acha nicheke mie ninenepe ninune nina eda?

      Delete

Top Post Ad