Kwa Hili Wema Sepetu Unaishusha Hadhi yako ya Kuwa Mke wa Diamond Platnumz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mara nyingi Wema amekuwa akimsupport mchumba wake kwa kupanda naye jukwaani na hivyo kusababisha shangwe kubwa.

ushabiki wa Wema kwa Diamond kidogo umepitiliza na hata kama umekuwa ukishangiliwa, tunahisi anajishusha kiaina. 

Kuna ile hadhi ya mke lazima ilindwe hasa kama mke ama mpenzi wako si msanii kama wewe. Wema ni muigizaji si dancer ama mwanamuziki na kwa muigizaji wa filamu mwenye mashabiki wengi, kupanda jukwaani na kukata viuno design kama ni kushusha brand ama nini? Si mbaya kama angekuwa akipanda na kutoa salamu fupi kisha kushuka na kuwa mtazamaji kama watu wengine.

Tupe Mtazamo wako
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

86 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbuz take kamba
    Mnyororo utamuwuwa

    ReplyDelete
  2. Wema sio wife material kwa hali yeyote 1.ni mtu mzima anayeng'ang'ania utoto na usichana Kila mwaka hadi kina lulu wamemkuta. 2.ana elimu ya ngumbaro la Kila siku anajifanya hajui kiswahili wakati shule yake ya ngumbaro tu kama Sisi. 3.kisha olewa na jumbe na kuachika hivyo ni ngumu kwa mtoto kama diamond kuoa mke wa mtu na mwenye list ndefu ya wanaume tena hadharani kama kanumba, blue, tid ( akamtungia wimbo wa demu kicheche ), chaz baba to mention few. Ni aibu kwa maadili yetu kwa mtoto wa kike bora wa kiume lakini wema ni sifa 3.sio life fighter ni goal keeper mzuri bila kulazimishwa na kanumba movie asingecheza kwani ni tegemezi kwa asili 4. Diamond angekuwa rafiki au ndugu nisingekubali aoe jamvi la wageni hadi kocha Loga wa simba ndani Nani anaweza kubali mtu wake aoe msichana kama wema aliyeamua kuweka maisha yake ya chumbani mbele ya dunia

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata wewe ungekuwa unajulikana(staa) ungekuwa mchafu kuliko huyo unaemsema.. Hata kama wema ametembea na wanaume 7 bado ni normal coz huko mtaani kuna watu wametembea na wanaume zaidi ya 20 na wakaja kuolewa na kuheshimu ndoa zao.. Hivyo basi muache Wema na maisha yake... Kama we unamtaka huyo domo mchukue tu..

      Delete
    2. we hapo juu huna hakir ht moja wewe ni shoga unauza mkundu mdau mwenye no 12.08 unataman kufilwa na diamond....au....eti jamvi la wageni mama ako asingekua jamvi angempataje mama ako akakuzaa wewe hapo ambae kwa sasa huna hata maisha unakalia kulaumu watu hata huwajui maisha yao..wewe na vibaka au mahouse boy huna tofauti nao.. maadili ya mama ako kuma mkubwaa wewe hapo umelala na wangapi na nani anakuuliza mbwa wewe

      Delete
    3. Nakuunga mkono kabisa wema Ni kicheche Tu Ni mwanamke wa starehe anajishusha hazi ndio

      Delete
    4. Mdau Wa 12.08,wivu wako uko waziiiiiii,umpati diamond ngoooooo,Diamond kampita wema 1 year,mzee mama yako.mbwa mkubwa weeeee,Wema na diamond mambo Yao yanaendana,wala si kitu cha ajabu.Diamond ni rais Wa wasafi na sio rais Wa nchi.kwahiyo anachofanya wema hapo jukwaani,aina shobo,ya kwenu yamewashinda kitambooooo ya wema mtayaweza????????bitch be like.....

      Delete
  3. mim cjaona ubaya wowote kazi ni kusaportiana na maelewano baina yao iyo yote ni kwa sababu kafanya wema.mbona anti azugumziwi au yeye amumuoni kisa wema.mmezidi kuchokonoa sana wema.mumuache loooo kwa upande wangu alicho kifanya 100%

    ReplyDelete
  4. mdau apo juu kuma kwl bla shka unaflwa ww nmeamn watu wanaosem domo anawatumia madem kumake ela c vngnvo ndo uyo kahab wema anavotumiw

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe hapo juu ndo kuma kwasababu kama diamond anawatumia wasichana kutengeneza pesa kwa hiari yao wewe nini kinakuumiza ama maisha yako yanapata hasara ipi?u mbeya siyo issue fanya mambo yako ni si ya watu

      Delete
  5. alafu wema sasahivi anaonekana mmama kweli akiwa na chibu utafikiri yupo na mdogo wake.aisee kweli huyu wema anazeeka kwa kasi sana sijui ndo stress ama nini? nasikuhizi matanuzi mpaka ya kufanyia mbwa shopping hamna kweli clement alikuwa anampa jeuri sasahivi wema kafulia.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani wema akizeeka ama ni mzee anaathiri nini ujana wako? je mtu akiwa mzee hastahi kupenda ama kupendwa? kwani kila analolifanya lazima akutaarifu wewe hapo juu?,bac mpe namba yako ya simu kila atakapokuwa anaenda shopping awe anakujulisha ili uwe unshuhudia na roho yako ifurahi,fanya kazi acha umbeya mama.

      Delete
    2. kwan wema anapozeeka wewe unaumia nini baada ya kuumia dada zako wanauza kuma bila mafanikio unaumia wema kua atazeeka vipi mkeo au wazaz wako..unakaa kumwaza wema yy anacheza na hakiri za watu anakusanya pesa yani wema akisimama sehemu ni pesa tosha hata tamasha lolote likitangaza kwa jina la wema lzm ukumbi ufurike sasa wewe unaumia mwenzako anaingiza pesa pole mwanaume suali kama ni dem bas ni malaya utauza sana lkn wema ndo hivyo anakula kwa nyota yake akisimama tu pesa inaingia any occusion ambao hua inahitaji apperance ya wema lazima alipwe 5m not less than that.sisi hua tunamleta mwz arusha anaitwa lkn hawez kulipwa chin ya 5m yy tu bado akiambatana na wadau wake km aunt ezekiel nae atahitaj kama 1m au 2m sasa wewe unabakia kusema ukuma tuu wenzako mwonekano wao tuu mahala ni pesa.

      Delete
    3. Wewe nawe hupumziki au unalipwa wema kazeeka ndio kinachotuuma mzee kama huyo anatakiwa atulie nyumbani tumechoka kumsikia awaachie vijana wake ujana hamuoni mwenzie ray c

      Delete
    4. Sasa wewe SARA SHIRIMA NINAE KUFAHAMU MWENYE SURA KAMA UNAKAMULIWA JIPU UNAPATA WAPI UJASIRI WA KUMUITA WEMA NI MZEE ,KUMBUKA SIKU ILE SHULE ULIVYOSHUSHULIWA NA .......... hahahahaaaaa!

      Delete
    5. Kumanyoko zako wewe unanijua mimi hebu usiniletee usiku hapa acha kujipendekeza mimi sikujui mbweha weeee

      Delete
    6. WAPI NYIE WOTE MAPOYOYO TU HAPO

      Delete
  6. Ww unaesema wema katembea na loga ni uongo wakati ni monalisa rudi kasome hiyo post vizuri rini wema aliolewa?maana pale wameandika mjane harafu punguzeni kumsakama mtoto wa watu naye anawazazi then daimond ndio yuko nae km angekuwa anayajua hayo yote angemuacha lkn hayo mnayajua nyie tu kwani daimond huoni km anampenda wema kuliko kitu chochote ndio maana atatembea na mwanamke mwingine lkn end of the day atarudi pale jiulizeni sana na jibu analo chibu hivyo nyie angalieni kwa macho tu km sie midomo yenu haisaidii

    ReplyDelete
  7. Kwani maisha nikiuolewa na kuoa tu?,mbona watu wameolewa lakini maisha hovyo,hata mwandishi wa story hii ukilinganisha maisha yake na wema ni kama ya house girl ama mlinzi wa getini kwa wema,nani kakwambia wema ni fala kiasi hicho?,mwenzenu anatengeneza pesa kwa kucheza na akili zenu nyie mnabaki kelele tu,kuna tofauti gani kati ya wasichana wote walopanda jukwaani cku hiyo kwa mfano aunty ezekieli,joketi,vanesa mdee na wengine wengi na wema,mbona hao hamuwaongelei,acheni mambo ya ajabu na kama diamond hatamuo inawahusu nini? kama umri wake unazidi kwenda wewe unaumia wapi?akitombwa na watu wengi si katombwa yeye sasa utamu au maumivu aliyoyapata yanakufikiaje wewe?,Kwani atakapokuwa na maisha mabaya baadae wewe utaathieika nini?acheni ukuma bana......

    ReplyDelete
  8. mdau hapo juu safi sana yani kitu chochote akifanyacho wema kiwe kibaya au kizuri lazima watu waaze kumchabua na yote.hiyo labda katika usperstar wake ndio unampoza ila mtu kama wema ukimdisi apugukiwi chochote coz anaamini katika dunia hii akuna watakao kupenda wote. japo mashabiki wegi anao.na.mtu.wamafanikio lazima.kuna atakaye watakao kupenda na kudisi mtakao ongea ongeeni ila chibu yey anazidi kula vitamu na miss wema

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha kujidanganya huyo Kicheche hana u supa star wowote na sio kweli eti huyo domo eti anajilia vitamu. Kicheche hana mafanikio yoyote zaidi ya kutaka misifa asiyokuwa nayo. Kicheche hana kazi za maana ambazo anafanya za kumuweka hapo juu. Kinachofanyika hapa ni kwamba Wadau wanawafanya wao kama Case Study ili liwe somo hata kwa vizazi vilivyopo na vijavyo. Na Ninaposema Case Study nina maana ya kuwa hao watu yaani Domo na huyo Kicheche jamii inawatambua kiurahisi kwa vituko na ujinga wao na pia ulimbukeni wao. Nadhani umenielewa bazeee.......nipigie simu nikujulishe zaidi maana ya Case Studies....

      Delete
    2. Eti casa study? mdau hii ni elimu ya masoko ndo inafanya kazi yake kati ya hawa watu,usije hata siku moja kujaribu kudhani wema ama diamond ni wajinga kiasi hicho,napenda kukuambia mdau hapo juu ukijaribu kuwafuatilia kwa nakini hawa watu ni watu wenye uelewa mkubwa hata kama wana elimu ya kawaida,kumbuka wao wameisha jua watu wanataka nini na kitu wanachofanya wao ni kucheza na akili za mashabiki,Kinachofanyika kwenye marketing kinaitwa skimming ni kiwa nina maana kuwa wanajitahidi kutengeneza pesa kipindi hiki ambacho mashabiki hawajajua kuwa hawa jamaa wanacheza na akili zao kwani siku mashabiki wakigundua wao wanaenda hatua nyingine ila kama utakuwa unahisi wao ni wajinga ndugu yangu sahau hawa wanajua wanachofanya na wanaongozwa na watu wenye uelewa na mambo ya biashara so tuwape sapoti

      Delete
    3. Wewe msenge 8:00 huyo ni superstar, unaposema sio superstar mbona watu hawaku discuss wewe,

      Delete
    4. ACHA UFALA TOA COMENT HAPO,,,,...

      Delete
  9. Ni Kiherehere chake tu. Kwani kama angetulia kwenye kiti amwaachie mme wake afanye kazi yake angekosa nini??? Hili ndilo tatizo la mapenzi ya watu wawili kuendeshwa na watu wengi tena wa nje. Halafu nyie wawili inabidi muyafanye yale watu wengine wanayoyataka lakini sio yale nyie wawili mnayoyawaza. Huo kimsingi ni utumwa ndani ya mapenzi dah. Binafsi nawaonea huruma wote wawili yaani Domo na huyo Kicheche pengine ni watu ambao wanatakiwa kujifunza namna ya kuendesha mambo yao binafsi bila ya kutegemea watu wa nje na pia wajifunze kuwa huwezi kufanya kitu hasa mapenzi ili kuwaridhisha watu baki haiwezekani hata mara moja. Mimi nina wasi wasi na mstakabhali wao wa baadae. Hawa watu ni kama wagonjwa wa akili kwani ni machizi....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha watengeneze pesa wakati ndo huu kwani kama una akili utagundua wao wameisha juu mashabiki wanataka nini

      Delete
    2. Anaetengeneza pesa hapo ni Diamond na huyo kicheche akipewa
      ya kushona nguo,make up basi kamaliza,hafaidiki na chochote kwani diamond alisha sema yeye hahongi kihivyoo na anajijua sio mzuri bali warembo wanamfuata
      kwa kuwa anajua ku-petpet tu,we huoni hata IN MY SHOES imestop?
      Jamani kusoma msijue hata picha ziwashinde kutambua?Poleni team Wema.

      Delete
    3. Aiseeeeeeeeeee,uko juu ,nakutumia voucher sasa hivi

      Delete
  10. ninyi mambwa yaliyojaa wivkuna tatizo gani yeye kufanya show na mpenzi wake??????????????anajishusha kwa kipi watanzania makumaa kweli mbona jay z na beyonce haijawahi kusemwa kua anajishushaaa??????????????????????hapo ni kutafta pesa na pesa wanatumia wt ktk maisha yao sasa ninyi mambwa mnaumwa nini mlitaka asimpe support mme wake awape support ninyi makuku?????????????????mbona beyonce humpa suport mme wake hata ikiwa sio nyimbo yake anapanda jukwaani waimba wote sasa mnashangaa nini wema kuimba na diamond pumbavu zenu mtakufa na wivu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Weweee tumia akili mbweha wewe. Huwezi walinganisha hao machokoraa na Jay na Queen Bey. Hawawafikii hata kwa chembe. Halafu kumbuka Jay na Queen Bey wote ni ma artists wa viwango vya juu na wamekutana wakati wote wawili wako kwenye chart na the same career. Huyo Domo na Kicheche je wote ni ma artists??????? Eti support wewe unajua maana ya support kweli. On The Run Tour ni kwamba Queen Bey ame feature Jay or either way sasa ya huyo Domo na Kicheche ni nani ka feature mwenzake????? Acha ujinga na ulimbukeni. Hao watabaki kama Case Study. Kwisha.

      Delete
  11. Mke wa mtu wa kiafrica lazima ujiheshimu..wangapi wameolewa na wanamuziki na hatuwaoni majukwaani kukata mauno husalimia na kushuka mf banana sianamke..kum support si lazima kuvaa nusu uchi hata kumwandalia akaenda fiesta kumuombea mema wema ni mwehu hajitambui hakui..ataendelea kutumika kma chombo cha starehe uzeen cjui itakuwaje

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani wewe unamaisha gani kushinda ya wema,mbona uelewa wako ni mdogo sana wewe hapo juu,utamlinganishaje wema na wake wa wanamuziki wengine?,hujui wema nae ni kati ya ma cellebrity wakubwa katika nchi hii,wewe hujui ameenda pale kibiashara zaidi na kalipwa zaidi ya millioni 3,kwanini unakaa kufikiria kuwa wema hana akiri kiasi hicho kwa taarifa yako wema anajitambua kuliko wewe

      Delete
    2. Asante kwakunifumbua kumbe ni mil 3 tu kujibidua kote huko mauno na alichokifanya kitadumu milele kwa mil 3 Mungu wangu saidia hawa viumbe wajitambue thamani yao tukimpa mil 15 siatatembea uchi..ndio maana hana nyumba hana biashara hana elimu mil 3 kwa yeye ni nguo na perfume loshen nywele imeisha..angekua na biashara alivyomaarufu angeingiza mil 10 kwa siku..acheni kumpamba mwambieni ukweli..

      Delete
    3. kujiheshimu kwa mke inategemea na mume mwenyewe, tumeona bob junior mke anajiheshimu amemshinda sababu ameshazoea hao vicheche waho kwa hiyo usiseme wema sio wife material labda sio wife material kwa upande wako ila kwa huyo domo wameendana tu wote ndo walewale na pia wema hawezi kukaa na mwanaume aliyetulia coz ameshozoea stendo na huyo domo ndio hivyo hivyo.wote malaya tu wao hakuna wife material wala husband material hapo.

      Delete
  12. ninyi nyote mnaomdis wema nyote ninyi ni kuma mwili mzima nenden police mkaandamane

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbuta Nanga.......Mburulazzz

      Delete
    2. ACHA UMBURULA WEWE, UNATUKANAJE KA TEJAAAAAAAAAAAA

      Delete
  13. Wadau watumieni Domo na huyo Kicheche kama Case Study ili muweze tambulisha hizo hoja zenu kulingana na udhifu wa hao wafanya maigizo ya maisha na pia hizo hoja ziweze kusaidia kuielimisha jamii namna ya kuepuka matatizo kama hayo ambayo kimsingi yanawaadhiri watu wengi ndani ya jamii husika. Acheni kuwazungumzia hao Domo na Kicheche kama wao kwa sababu kuna tatizo la kuonekana kama mnawaonea wivu ama kuwachukia wakati sio ukweli......

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau hapo juu unajichanganya sana coz hoja zako zimejikita kwa elimu uliyokariri darasani na unakuwa mgumu wa kubadilika na kuelewa kuwa vijana wetu hawa wako kazini na wanatengeneza pesa kupitia wanachofanya na pili kumbuka hawa watu ni muhimu sana kwa taifa letu nikiwa na maana kwamba wanaleta furaha kwa watu na kama sikosei najua unatambu uhimu wa taifa lenye watu walio nafuraha,hebu fikiria ugumu wa maisha kwa taifa letu stress kibao lakini watu kama wema na diamond wanapopanda jukwaani unaona watu wanavyokunwa,angalia video ya fiesta mwanza ndo utaamini ninachosema,hebu tuwape sapoti vijana wetu wanaojaribu kuleta matumaini kwa kuwapa fura watu wa taifa letu na siyo kuleta umbeya

      Delete
    2. Sijakuelewa Unaposema hoja zangu zimejikita kulingana na Elimu niliyokariri darasani. Sikuelewi kabisa. Kimsingi ninapojenga hoja zangu hazizingatii katika kuwaongelea watu binafsi na maisha yao. Watu binafsi wanakuja pale tu ninapojaribu kuzisisitizia hoja zangu na actually sikusudii kabisa kuyagusa aina yoyote ya maisha yao binafsi na ya kila siku kwa sababu kwanza hayanihusu na wala hayanisaidii saana kivile hasa aina ya maisha wanayoishi hawa machokoraa. Inawezekana kabisa hoja unazojaribu kuzijenga zikawa zinaleta maana lakini kumbuka hoja zako hizo bado ni dhaifu hasa katika hii aina ya jamii tunayoishi na ndio maana unaweza kuona sio watu wengi wanaweza kuwa na aina hiyo ya mtazamo wako. Umefanya reference ya hiyo Fiesta inawezekana pia ikawa ni kweli kulinganisha na aina ya mtizamo wako lakini bado wasiwasi wangu ni kama kuna ukweli wowote wa kimtizamo kwa watu waliopo pale. Anyway mdau umejitahidi sana na namna ulivyozijenga hoja zako. Endelea kuwa hivyo na mtizamo chanya katika mambo mbali mbali natamani kuona Wadau wote hasa wale wanaohudhuria hizo Fiesta wanakuwa na mitizamo kama ya kwako badala ya kukalia kuongelea maisha binafsi ya walengwa na kupiga majungu......

      Delete
    3. kwendraaaa huko na case study ako malaya wa uwanja wa fisi ukikaa wema wema acha wivu ww malaya, hiyo elimu yako imekusaidia nn roho mbaya na hoja zako utumbo

      Delete
    4. Hata ukisema kwendraaaa sijui nini lakini somo umeishalipata. Utake usitake utakuwa umenielewa na nina uhakika unajua hasara za kutokuwa na Elimu malaya mbwa koko mbweha mkubwa weeeee kipeleke mbagala huko hovyooooooo mxiuuuuuuuuuuuu

      Delete
    5. we mbwq unaongea nini una elim gan wewe hapo ulipo huna hata pa kulala unajiuza

      Delete
    6. Kumanyoko zako wewe unashindwa hata kuandika mkundu wako weeeee

      Delete
  14. chibu ana akili sana . mimi mwenyewe ninampenda wema sana na hata mnaowaza eti hataolewa mimi akitaka namuoa hata kesho maana najua umuhimu wa mtu kama wema maishani. halafu mjue wema angekua si lolote hakuna mtu angeandika hata kuongea habari zange. mimi nimefundishwa kauli moja kua ukifanya jambo lolote la maendeleo usipoona mtu aliyekupiga vita acha mara moja maana halina manufaa. bali wingi na ukubwa wa vita unayokumbana nayo ndio ukubwa wa mafanikio utakayoyapata

    ReplyDelete
  15. Wema sio wife material kwa hali yeyote 1.ni mtu mzima anayeng'ang'ania utoto na usichana Kila mwaka hadi kina lulu wamemkuta. 2.ana elimu ya ngumbaro la Kila siku anajifanya hajui kiswahili wakati shule yake ya ngumbaro tu kama Sisi. 3.kisha olewa na jumbe na kuachika hivyo ni ngumu kwa mtoto kama diamond kuoa mke wa mtu na mwenye list ndefu ya wanaume tena hadharani kama kanumba, blue, tid ( akamtungia wimbo wa demu kicheche ), chaz baba to mention few. Ni aibu kwa maadili yetu kwa mtoto wa kike bora wa kiume lakini wema ni sifa 3.sio life fighter ni goal keeper mzuri bila kulazimishwa na kanumba movie asingecheza kwani ni tegemezi kwa asili 4. Diamond angekuwa rafiki au ndugu nisingekubali aoe jamvi la wageni hadi kocha Loga wa simba ndani Nani anaweza kubali mtu wake aoe msichana kama wema aliyeamua kuweka maisha yake ya chumbani mbele ya dunia

    ReplyDelete
  16. Wewe hapo juu acha ujinga,so unataka wema awe anajifungia ndani kama mkeo aliyepasuka miguu kila kona awe ndo mwenye sifa za kuwa wife material,unashindwa nini kuelewa kuwa Wema ni celebrity mkubwa nchi hii,kwanini unajitoa ufahamu kuwa huelewe umuhimu wa watu kama hawa duniani kote kwamba ndo wanaleta furaha duniani na kusababisha kuwe na amani,hebu jaribu kumchukua wema na mkeo waweke pale kariakoo au mtaani kwako uone na ataleta furaha kwa watu kwa muda huo?,halafu eti unadai amepitiwa na wanaume wengi na unadiriki kutoa mifano ya akina tid utadhani umekatwa kichwa,hivi kwa akili yako nani asiyeju mtu kama tid anaishi kijanjajanja tu na mvuta unga kwa mfano wema angekuwa nae leo maisha yake si yangekuwa kama ray c,je ulitegemea hawa wanaume wa dar walivyo matapeli kwa kudanganya mabinti wengi kuwa watawaoa na kuishia kuwachezea tu na kuwaacha kwenye mataa refer vick kamata so ulitaka wema akiachwa akae mpweke akiwa anakuogopa wewe etamwambia kuwa ni malaya??je wewe leo mkishindwana na mkeo au mumeo hutakuwa na haki ya kupendwa? eti asingelazimishwa na kanumba asingecheza movie,kinachoangaliwa ni kipaji na kama kila mtu angekuwa anacheza movie bila kipaji huyo kanumba angemwita dada ako nae akacheze ,eti ooo katombwa sana si ametombwa kuma yake so maumivu ama utamu alioupata unakufikiaje wewe au umeathirika nini?,tuache manenomaneno tusapoti vijana wetu.

    ReplyDelete
  17. Wemaaaaaaa huna jipya Tulia uolewe ndio mana watu wnakushambulia punguza kuzurura au WW ndio wali wautia ndimu? Wapi ukiutia ndimu SI ndio umeuchachisha

    ReplyDelete
    Replies
    1. HUNA JIPYA WEWE KWANI NI LAZIMA KUOLEWA?KAMA UMEOLEWA HONGERA TULIA KWA MUMEO MUHUDUMIE NA SI KUPITA HUMU KUTUHARIBIA SIKU

      Delete
    2. HAHAHAHAH HAAH INA MAANA WEWE HUTAOA AU KUOLEWA. TULIZA AKILI . WALIOOANA WANAHUDUMIANA ALAAAAAAAAA

      Delete
  18. 10; 41
    jib hoja kwa hoja. Wema ni kicheche hadi waume za watu kama CK tena kwa matangazo ya media zote
    Celebrity wa ukweli ni flaviana matata, happiness magesa, klyn, nancy sumari, faraja kota to mention few. Mama Ubaya ni chini tu kama anavyoitwa na mama domo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahaaaa!jaribu kuangalia kati ya hao juu uliowataja nani kati yao n Wema sepenga nani anafahamika na watanzania wengi?

      Delete
  19. Wema sio wife material kwa hali yeyote 1.ni mtu mzima anayeng'ang'ania utoto na usichana Kila hadi kina lulu wamemkuta. 2.ana elimu ya ngumbaro la Kila siku anajifanya hajui kiswahili wakati shule yake ya ngumbaro tu kama Sisi. 3.kisha olewa na jumbe na kuachika hivyo ni ngumu kwa mtoto kama diamond kuoa mke wa mtu na mwenye list ndefu ya wanaume tena hadharani kama kanumba, blue, tid ( akamtungia wimbo wa demu kicheche ), chaz baba to mention few.Ni aibu kwa maadili yetu kwa mtoto wa kike bora wa kiume lakini wema ni sifa 3.sio life fighter ni goal keeper mzuri bila kulazimishwa na kanumba movie asingecheza kwani ni tegemezi kwa asili 4. Diamond angekuwa rafiki au ndugu nisingekubali aoe jamvi la wageni hadi kocha Loga wa simba ndani Nani anaweza kubali mtu wake aoe msichana kama wema aliyeamua kuweka maisha yake ya chumbani mbele ya dunia

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na wewe mdau tumechoka na hiyo copy and paste yako sijui ulijifunza lini ku copy and paste. Hebu njoo na hoja mpya hovyooooooo mxiuuuuuuuuuuuu

      Delete
  20. 11:19 11:38
    Nacopy ili hoja zangu zipate majibu toka kwenye team wema kwani ni kweli kuwa sio wife material
    Niliwataja hapo juu ndio role models kwa wasichana wengi Mfano faraja kota kajitahidi kusoma hadi udsm baada ya u miss na kaolewa na waziri lakini yuko displined na focused. Sio huyo mcheza shoo wenye celebrity wa kuzurura asiye na kazi hapa zaidi ya media popularity kwa scandals za umalaya kugombea mabwana mara na penny mara kajala

    ReplyDelete
    Replies
    1. kweli kabisa,na wana pesa na akili zao lakini wametulia,hawana ulimbukeni lakini kwa huyu kichefuchefu ptuuuuuuuuuuuuuu.

      Delete
    2. Hili jimama linaonekana Lina wivuuuu linaweza uwa mtu duuuuuuuu limekazanaaaaa,utoko weeee

      Delete
  21. ONYINYE UNAUMIZA WATU JAMANI , YAANI ARTICAL NDEFU KISHENZI KWA AJILI YAKO! DU MBULULA MUDA WANAO SONGA MBELE

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeona eehh. Articles ndeeefu hiyo yote ni kujaribu kuwa dysect kwa kadri iwezekanavyo hadi ndani ya matumbo yao ili kuielimisha jamii na kuwaambia kuwa hayo maisha ya hao machokoraa sio maisha bali ni maigizo. Hayafai kwa kizazi hiki wala kijacho.....wewe acha tu articles zitiririke......

      Delete
  22. UMEONA EEH WATU HAWANA KAZI, IMEBAKIA MAJUNGU TU JAMANI

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe ndio huna kazi kwa hiyo iliyobakia kwako ni kutumbulia macho articles za watu wengine. Huna uwezo wa kuzielewa wala kuzijibu kwa ufasaha na ni kwa sababu ni mburulazzz

      Delete
  23. mdada ebu tulia mbona kim kardashian hapand jukwaan kucheza na kanye west japokua ni shabiki mkubwa wa muzik wa mmewe

    ReplyDelete
  24. JAMANI TUNGENI KITABU MTATOKA KWA AJILI YA ONYINYE

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na wewe pia maisha yako ni ya kuigiza huna lolote. Nenda kaunde kikundi cha Ze Comedy ili uigize maisha vizuri nyang'au mkubwa weeeee

      Delete
  25. KARDASHIAN NI YEYE, KAMA MZIKI SI HOBI YAKE HAWEZI LAKINI HAO WAMEKUTANA KOPO NA MFUNIKO SO WAMEMECHI HOBI ZAO, CHAOOOOO

    ReplyDelete
  26. WAMEKUTANA HAO HOBI ZAO ZAENDENA , HUYO KARDASHIAN HOBI HAZIENDANI WE MBULULA, CHAOOOOO

    ReplyDelete
  27. HAKUNA KITU PALE KWA WEMA MWACHE DAI AJITENGENEZEE PESA KISHA ARUDIANE NA PENNY WAKE,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ulishaambiwa na dai penny Ana mvuto Kama Wa sepetunga

      Delete
  28. Poleni wadau maana mitusi mikubwamikubwa imetolewa kisa wema abraham sepetuuuu!

    ReplyDelete
  29. Team Wema mnamtia mwenzenu ujinga,kama mngekuwa na akili na ni washauri wazuri kwa Wema mngemshauri aache vituko kwa jamii,sio siri,Wema anapendwa na watu wengi,kama angekuwa na sifa nzuri ingekuwa zaidi ya hapo.Mimi naamini siku wema akipigwa chini nyie wote mnaojiita team Wema mtamcheka na kumnanga.
    Wema kashuka kimapato,hilo halina mjadala.kwa jinsi anavyopenda kujisifu na kutangaza kila kitu chake tungekuwa tumeshaona maendeleo,kama kununua gari,kujenga n.k.
    lakini tangu karudiana na huyo Diamond sijaona wala kusikia jipya,na in my shoes kwishaaaa----- labda kipya ni ustadi wa kucheza vigodoro tu.mwee!

    ReplyDelete
  30. Mama Wema kuna siku alisema,Wema hana washauri wazuri,ndio hao team Wema.
    hao wote wanosifia ujinga wa wema ndio marafiki wanafiki kwa wema,tusikilizie tu jamani.

    ReplyDelete
  31. Mti wenye matunda matamu ndio unaopigwa mawe........ Mrs. Dangote umeleta sshhiiiddaaahh!

    ReplyDelete
  32. HAKUNA ALIYEONGEA POINT HAPO,,, MIMI NASEMA UKWELI WA MTU ANAO YEYE PEKE YAKE, SISI SOTE HAPA TWAPIGA KELELE ZA CHURA AMBAZO HAZIMNYIMI TEMBO KUNYWA MAJI

    ReplyDelete
  33. Pensel kubal matokeo mama...we toka povu hapa lkn dai arud kwako hata kwa mtutu...mbona wamepita wengi kwa dai lkn wamesahau we ndo mbolo ya dai ilikukuna sana kiasi hicho mpk unawehuka kiasi hcho

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umegundua heeeee huyo case study ni pensel yaaani kapokonywa donge mdomoni,tonge limerudi kwa mwenyewe sepetungaaaa,Anapretendka move on kumbeee anaugulia.shukuru Mungu camera 360 zinakusitiri unaonekana mrembo instagram,

      Delete
  34. Duuuu topic hiii inakomenti nyingiiiiii,Wema sepetuu

    ReplyDelete
  35. Ina komenti nyingi kwasababu kuna watu waliokuwa wamezoea kumuonea sepenga wetu,wamejibiwa leo heshima kibao

    ReplyDelete
  36. Nani anayeweza kumuonea malaya aliyekubuhu wema sepetu.
    Kila siku habari zake ni kugombea mabwana mara na penny, kajala, joketi.
    Hana kazi yeyote zaidi kuzurura na kugombea wanaume
    Ukweli ni kuwa wema sio wife material kwa hali yeyote 1.ni mtu mzima anayeng'ang'ania utoto na usichana Kila mwaka hadi kina lulu wamemkuta. 2.ana elimu ya ngumbaro la Kila siku anajifanya hajui kiswahili wakati shule yake ya ngumbaro tu kama Sisi. 3.kisha olewa na jumbe na kuachika hivyo ni ngumu kwa mtoto kama diamond kuoa mke wa mtu na mwenye list ndefu ya wanaume tena hadharani kama kanumba, blue, tid ( akamtungia wimbo wa demu kicheche ), chaz baba to mention few.Ni aibu kwa maadili yetu kwa mtoto wa kike bora wa kiume lakini wema ni sifa 3.sio life fighter ni goal keeper mzuri bila kulazimishwa na kanumba movie asingecheza kwani ni tegemezi kwa asili 4. Diamond angekuwa rafiki au ndugu nisingekubali aoe jamvi la wageni hadi kocha Loga wa simba ndani Nani anaweza kubali mtu wake aoe msichana kama wema aliyeamua kuweka maisha yake ya chumbani mbele ya dunia

    ReplyDelete
    Replies
    1. MBONA HOJA ZAKO WATU WAMEJIBU VIZURI TU LAKINI CHA AJABU UNARUDIA KUKOPI NA KUTUKANA,SO HATA KAMA UNA HOJA YA MSINGI WATU LAZIMA TUAMINI SASA WEWE UNASUMBULIWA NA WIVU TU NA SI KINGINE COZ KUNA HAJA GANI MTU MZIMA KUTUKANA KILA WAKATI? KAMA UMEISHIWA POINTI BAC LALA.

      Delete
  37. kajishusha vibaya sana yani tena mchafu kupindukia na hilo wig lake nilidhani ni Fora Lyimo Fashion Police Blog ..kagundua hili ''kumbe ni wengi eeee''' mbuta nanga....

    ReplyDelete
  38. Leo ni ni confirm IQ za so called team ni za kuchezea vigodoro hawana wanamsapoti aendelee na maisha ya ukahaba na kuzurura kutwa.

    ReplyDelete
  39. Ningekuwa Kicheche waaalahi ningefanya yafuatayo. 1) Baada ya ile kasheshe ya CK ningeamua kuendesha maisha yangu kimya kimya. Na asinijue mtu kabisaaaa.
    2) Ningejishughulisha na career yangu zaidi. Masuala na wanaume kidoooogo ningeyapa mgongo au hata kama ni kuwa na boyfriend ni aina ya mtu wa kawaida sana ambaye hana makuu na wala hafuatwi fuatwi na vyombo vya Habari. Na ningahakikisha maisha yangu na yake ni ya usiri mkubwa.
    3) Na kama hayo yasingewezekana ingawa ningekuwa ni mtu mwenye imani ya kuwa penye nia pana njia. Ningetafuta Nchi yoyote ya kwenda kujificha na kujipanga upya kama sio Nchi za Ulaya basi Africa japo hapo South Africa ama Kenya na ningahakikisha maisha yangu ni very low profile hakuna mtu wa kuzifuatilia mishemishe zangu except kwa wale watu wachache sana ninaowaamini.

    Kwa aina hii ya maisha anayoishi kwa sasa sidhani kama ni maisha mazuri hasa kwa familia yake na afya yake yeye mwenyewe. Ni maisha ambayo yako wazi mno nadhani kuliko mtu mwingine yeyote hapo Tanzania. Hata Rais wa Nchi maisha yake hayako wazi kwa kiasi hicho duh ni sheeeedar........

    ReplyDelete
    Replies
    1. WEWE HAPO JUU HUNA UELEWA, kwanza kabisa kicheche ni mama yako aliyefirwa ukazaliwa,pili unataka kulazimisha watu kuwa kila mtu anafikiri kama wewe unavyofikiri bila kutambua kuwa kila mtu kazaliwa na utashi wake na ndo maa wadau juu wameeleza vizuri ni nini mfanyabiasha yeyote anatakiwa kufanya,unajitoa fikra kuwa kila industry ina aina yake ya uendeshaji ili kuteka soko na kuhakikisha watu wanapata kuridhika kutoka kwa wahusika .So usilazimishe watu wote wafikiri utakavyo wewe mkundu.

      Delete
  40. wote wasenge2mnakakia habali za domo2amna abalizinginekuma kiziwi nyie

    ReplyDelete
    Replies
    1. wema yupo sahihi kumsupport mpnz wako pia ni moja kati ya chachu ya mapnz cha mcng acvuke mipaka ya maadili kwa mwanamke atakua anajishushia heshima yake

      Delete

Top Post Ad