Masanja Naye Apigilia Msumari ndoa ya Diamond Platnumz na Wema Sepetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya uhusiano wa Diamond na Wema kuingia katika misukosuko na Diamond kutoa ujumbe mzito kumhusu wema sepetu, mchekeshaj maarufu hapa bongo Masanja mkandami ameamua kufua ya moyoni kuhusiana na uhusiano wa wawili hawa.

Masanja alisema haya “Street Pastor Anasema.. HILI SWALA LA DIAMOND NA WEMA NADHANI MUNGU AMEMUHURUMIA MMOJA WAPO KATI YA HAO WAWILI. KAMA WANGEKUWA WATU WA KUOANA WANGESHA OANA UCHUMBA GANI MREFU KAMA WANASOMEA UDOKTA???? RAFIKI YANGU NASIB, KAMA KWELI MLIPENDANA KWA DHATI HIZO KASORO ZINAREKEBISHIKA, MAANA HAKUNA MWANADAMU ALIYE SAHIHI KWAN HATA WW NASIB UNAMAPUNGUFU YAKO. NA WEWE DADA YANGU WEMA LAZIMA UJUE MME NDIO KICHWA CHA NYUMBA KWA MAELEZO HAYO INAONYESHA HAUMSIKILIZAGI MWENZIO OMBA MSAMAHA TENAAA NA TENA NA UKUBALI KUBADILIKA. MI SIPENDI MKIWA MNAONGOZANA WOTE KWENYE MA SHOW YA USIKU MME KAFANYE KAZI MKE ABAKI HOME UKIRUDI MWILI UMEPOA HATA UJAUZITO UNAINGIAA!! SASA WOOTE STEJINI MKIRUDI MIILI YA MOTO SI MTAZAA POPOMPOO JAMANIII!! NITAFURAHI KUSIKIA TOFAUTI ZENU MMEZIMALIZA KWA AMANI ILI MASHABIKI WENU WASIJISIKIE VIBAYA.” - See more at: http://moro5.blogspot.com/2014/08/masanja-naye-apigilia-msumari-ndoa-ya.html#sthash.p3ZSjPaz.dpuf
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Watafsirie bwana mdau huku
    Nibongo is not English kiswahili lugha yetu

    ReplyDelete
  2. Hahaaa Massanja umeoa? mi nakutaka uniwowe!

    ReplyDelete
  3. Ni kweli ila toa boriti kwenye jicho lako ndipo uone kibanzi kwenye jicho la mwenzako...

    ReplyDelete
    Replies
    1. MASANJA UNAFIRWA NA JOTI MSENGI WEWE MKUNDU WAKO

      Delete
  4. usipende kutukana jmn......khaaa

    ReplyDelete
  5. Kaaazi kweli kweli!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad