Meninah: Sihitaji Marafiki wa Kike, sio Watu Wazuri Kabisa (Audio)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Meninah La Diva anautekeleza kivitendo msemo wa Fid Q ‘sihitaji marafiki’ na ameamua kuutupa kule urafiki na wasichana aka mashost.

Akiongea na tovuti ya Times Fm katika mahojiano maalum aliyofanya na Josefly, Meninah amesema kuwa hapendi kabisa kuwa na marafiki wa kike kwa kuwa sio watu wazuri.

“Sina rafiki, yaani hivi unavyoniona mimi ndo hivi ninavyotoka hapa nyumbani, nyumbani shughuli zangu. Sipendi kuweka marafiki, marafiki sio watu wazuri kabisa. Yaani sipendi ndo Mungu alivyoniumba.” Amesema.

“Yaani zile tu labda kazini kuna msichana labda nafanya nae kazi ile ‘mambo poa basi’. Lakini ile ‘shoga sijui tutoke twende out..’ sitokagi kwenda club, sitokagi kunywa pombe. Sinywi, siwezi kuenjoy sehemu kama hizo kwa sababu sio mlevi. Raha ya mlevi uwe na mlevi mwenzako sasa mimi sio mlevi. Mara nyingi mimi napenda kukaa nyumbani kufanya mazoezi na dancers basi.” Ameeleza.

Meninah amesisitiza kuwa anachokieleza ni ukweli na kwamba kama kuna msichana ambaye ni rafiki yake basi ajitokeze.

Sikiliza mahojiano yote hapo kufahamu mambo mengi kuhusu muziki wake, uhusiano wa mapenzi na mengine mengi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. katafute urafiki na domo akugonge vizuri!! domo ajapita kweli hapa?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ebu mwacheni diamond mmumkomeeee,presida wetu na first lady wetu.

      Delete
    2. wewe domo keshakufira nini?

      Delete
  2. anatafuta ustaa kilazima kila siku mara hili mara lile, tulia tu huwezi kuwa kama wema wewe

    ReplyDelete
  3. MANINA ndo mdudu gani?mbona atumjui?watu kwa kutafuta umaarufu tuamjambo,sie tunamjua Wema Sepetu .,wengine hatuwajui laleni mbele

    ReplyDelete
  4. Nyooo halo nia yake aseme kuwa yy sio km wema kwa sbbu domo alisema wema anapenda marafiki na starehe....hao wanawake wasio wazur no pamoja na ww kwa sbbu ya kujigonga kwa Mr domo kwa njia kuzunguka

    ReplyDelete
  5. Kibela nimekuvulia kofia yaaani unajua ku read people s mind,hapo anamlenga Wema Sepetu ,Huyu dada MANINA ni kisimi kweli,kalale mbele Tafuta bwana wako we umemuona Domo tu?peleka Marathi yako mbele

    ReplyDelete
  6. Kwanza domo lile!! Kubwa ka nini! Nahisi na kuma lako kubwa km domo lako

    ReplyDelete
  7. We MANINA,mbona mbwa(mnyama)akukunjue hayo marinda Domo muachie mwenyewe Madame.nyooooo

    ReplyDelete
  8. Sorry nilikuwa namaanisha atafute Dog(mbwa)amkunjue marinda Domo ni Wa Wema

    ReplyDelete
  9. Mbona timu upupu mna wasiwasi juu ya huyu mtoto?? Mkiona hivyo jibu Ni kwamba hamna uhakika juu ya mahusiano ya huyo msanii wenu kama domo alivyomuita! Kwani Ni aibu kubwa mijitu mizima mkatolewa makamasi na huyu mtoto! Kama Ni hivyo mmeona anavyo vigezo vyote vya kuwa mpenzi WA domo. Hayo matusi mnayotukana hovyo humu mngechukua mda nafac hiyo kumshauri huyo mnayemuona kama mama yenu kubadilisha mfumo mzima WA maisha yake na kuwa mwanamke muolewaji aitapita miezi sita ataolewa Tu. Kuliko mnavyomjaza upupu amumpendi kabisa wema, mtu unayempenda unamueleza ukweli akiamua kubadilika au la! Lakini umemwambia! Kama nilivyowaambia nyie timu unafki.

    ReplyDelete
  10. Matusi mengi kwa mtoto wa mwenzenu amewakosea nini?sio vizuri hivyo ameongea ya kwake ya moyoni mlitaka aviseme kama anavyo vipendaga tukunyama wenu wema.!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ametukosea kumpanulia UCHI Domo shemeji yetu.alifikiri ugomvi Wa wema na Domo utadumu ili achukue nafasi ya Madam.

      Delete
  11. Hivi huyu nae mbona hatumuelewi? ndio anatafuta ustaa au kitu gani? maana kila siku kwenye nyuz mara hili mara lile?, Hivi umesikia nani anataka kukujua wewe?. Kama kweli wewe mtoto mzuri kaa KIMYA! unang'ang'aniza kujulikana sijui nini hebu tulia mtungini ulipokuepo! Naona unataka kujifananisha na super star wetu, our beautiful onyinye MADAME Wema! wewe humfikii hata kiduchu! tena tunakukataza kujipendekeza kwa boyfrend wake Diamond, Kikaragosi wewe, kama ni wa kuelewa basi uelewe utulie ili angalau watu wakupe suport kununua hou muziki wako mbuzi. Au unataka uwe unazomewa mitaani na mabarabarani? maana hutulii kila siku unamake news mara hili mara lile. TULIA!!!!!! acha kulazimisha mambo, tunakupiga Full stop!.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwi kwiiiiiiiiiiiiiii nimechekaaaaa Jamani knacks wapi misamiati?eti "tulia mtungini"

      Delete
  12. yaani huyo mtoto muongo,wala hajatulia,yaani kabisa huyu mtoto anamtaka diamond wazi wazi,hizo sifa zote anazojipa,ni mbinu za kumnasa huyo diamond,maana alivyoona diamond kalalamika kuhusu tabia za wema,yeye ndio kageuza,kwamba yeye anastahili kuwa na diamond,tulia safari yako bado ndefu kimziki,fanya kazi watu watakujua tu,usitake kubebwa na scandal,

    ReplyDelete
  13. MANINA bwana ushaambiwaaa tulia mtungini na waungwana,atukujuiiiiiiii,Kama unataka kujulikana Kama Wema Sepetu tuliaaaaaa,zamu yako ikifika tutakujua tu.

    ReplyDelete
  14. Hilo jina libadilishe ukigombana na watu awakutukani KUMANINA?yaaani linafanana na KUMANINA

    ReplyDelete
  15. Kama unajielewa utakua amesikia. Tulia Manina, utakua unazomewa kwenye show zako, tulia mtungini mama! tena wakati wako wa kutoka ukifika, toka taratibu mamaaa eee, usije ukavamia na ukajipa HADHI isokua yako utaumbuka! watu wakikupenda watakuinua kama vile madame anavyofanyiwa na fans wake hajikwezi yule mwenzio! anakwezwa! so TULIA!!!!! nami nakupiga full stop kama mdau hapo juu!

    ReplyDelete

Top Post Ad