Model Maarufu wa Rasta za Darling Afariki Dunia Kwa Ajali ya Gari, Alimwaga Mchumba Anaenda Kwa Dada Kumbe Alikwenda kwa Mchepuko

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Former Miss Mwanza Number Two Model na Mtangazaji wa tangazo la biashara la Nywele za Rasta za Kampuni ya Darling (Inasemekana ndio rasta maarufu zaidi Tanzania), harusi yake ilikuwa njiani kwenye matayrisho makubwa huku Mchumba wake akihaha huku na kule kutayarisha harusi yao, majuzi akamuaga anakwenda kumuona Dada yake na atalala huko huko, kesho yake yaani jana haya ndiyo yaliyotokea mbebez amefariki kwenye ajali akiwa na bwana mwingine kabisa ambaye naye amefariki so mchumba sasa haelewi na haamini kama ni kweli alichosikia na kukiona kwenye picha hizi hapa chini!!
RIP
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wapumzike kwa amani,
    Ni somo kwa tuliobaki.

    ReplyDelete
  2. akidada pesa zitawaua acheni tamaa, acheni michepuko!!

    ReplyDelete
  3. 1.Tamaa ilimponza fisi.
    2.Za mwizi ni 40.
    3.Mshahara wa dhambi ni mauti.
    4.Njia ya muongo ni fupi.
    N.K

    ReplyDelete
    Replies
    1. inaumiza sana kweli akina dada tujifunze kwanza michepuko kwetu haifai kabisa bora hata wanaume maana wanachukuliwa tofauti kwenye jamii.RIP ila tupate fundisho

      Delete
  4. haya sasa!! za mwizi arobaini!!! kweli kabisa!

    ReplyDelete
  5. Jamani is just so sad,,,,,,,,,,,,,,,,,how sure are you guys that the man was in the car together was her another boyfriend? wacheni kuandika habari msizokuwa na uhakika nazo..what if was just a Driver ?? si unajua unaweza hata kukodisha gari ukiwa huendeshi na ukakaa mbele na dereva na yakawakuta just like this....? so Mimi kama navyo soma habari hii'''nina wasi wasi na huyu mwaandishi.....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hilo nalo neno...

      Delete
    2. Mimi namjua dogo nafanya nae kazi ameajiriwa 2012 alikua oparetor wa damp truck hapa geita gold mine na huyo dem alikuja kwa tamaa dogo alinambia mkopo wa crdb wa kazin mgodin km 10milion kwa hiyo hapa hakuna uongo mshahara wa dhambi ni mauti ukibisha Nipe no yako ya whatsup ntakupa mpaka pic za dogo zote mpaka eneo la ajar maeneo ya mgodini walienda kula bata sehem dogo alikua tungi na speed na a kagonga bonge la jive. .wengne nyuma dem na msela nao wamevunjika miguu wapo bugando

      Delete
  6. NA UNAVYO ANDIKA RASTA...SIYO RASTA..ANDIKA NYWELE ''HAIR ''''' and not Rasta za darling.....hakuna kitu kama hicho............. DARLING NYWELE AU DARLING HAIR '''

    ReplyDelete
  7. Mwenyezi Mungu awasamehe madhambi yao na azilaze roho zao mahali pema. Inawezekana amepata lift ya kumpeleka kwa dada yake. Si vema kumfikiria mtu mambo mabaya tu. Tujiepushe na dhana.

    ReplyDelete
  8. mdau mwenye 4strong points above nimekukubali na huo ndo ukweli............mchumba wake alikuwa na mapenzi ya kweli ndio maana hata mungu kamuonyesha kuwa mwenzake sio mkweli na hayo ndio matokeo................kama stori ni ya kweli lakin then pole sanaa kwa kuondokewa na umpendae.

    ReplyDelete
  9. Pole sana kwa wewe uliyeondokewa na mchumba ukiwa na dhamira kumuoa.

    ReplyDelete
  10. Huyu dogo alichukua mkopo crdb hapa kazini geita gold mining akawa anaagiza madem popote na tamaaaa ndo imemponza huyu dada mana hakua mwaz tatizo la kina dada jaman tamaaa na huyu dogo hakua na maishaaa zaid ya kula beer na kuma mishahara wa dhambi ni mauti this lady anaonekana hakua anamthamin jamaa yake mana uongo inaonekana ilikua tabia yake. ..dogo kafariki mtoto kabisa 2yrs hata raha ya dunia hajapata fuck this world jaman kueni waaminifu wadada mungu anaunbua vibayaaa

    ReplyDelete
  11. Inaonekana huyu mchumba alimpenda sana na akamwambia na mapenz ya kwel mungu kaona a mwonyeshe ili ajue bint hakua mwaminifu mana angekuja kumletea ukimwi

    ReplyDelete
  12. mungu azilaze roho zao mahali pema.peponi

    ReplyDelete
  13. Baba wapeni pole hao jamaa name hasa mume aliyebaki hai

    ReplyDelete
  14. Wapendwa mambo ya kuhukumu tumwachie mola, nani asie na dhambi hapa duniani mbona tunakuwa na ndimi nyepesi kama mafarisayo. Eee bwana uwajalie pumziko la milele na huruma yako iwe juu yao Amina

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakuna aliye safi duniani ndio,lakini si hata vitabu vitakatifu vinatuambia tukemee maovu?hapo hatuhukumu dear,tunafundushana tuliobaki.

      Delete
  15. Jamani ndio tuliobaki tuache kuchepuka titaweza kweli😝

    ReplyDelete
  16. Michepuko sio dili wadau ndo tujirekebishee.

    ReplyDelete
  17. ALLAH AMEAHIDI KUA HATAMFICHA MNAFIKI, NA HAKUNA JAMBO ZURI KAMA KUISHI NA MWENZIO KWA NIA SAFI UTAKAPOKWENDA KINYUME ALLAH ATAKUDHIHIRISHA KWA NJIA MOJA AMA NYENGINE, NA HAWA SI WA MWANZO KUNA WALIOKUWA NA MAPENZI YA SIRI ALLAH AKAWADHIHIRISHA WALIPOFIKWA NA MAUTI, WANAOCHUKUA WAKE ZA WATU WAKAFA MAGESTI, KWA HIVYO HIYO NI MFANO KWA WENYE KUZINGATIA.

    ReplyDelete

Top Post Ad