Mpenzi Wangu Ananilazimisha Anipige Picha Nikiwa Uchi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Naitwa Jack nina miaka 22, ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo kimoja hapa dar. Nina mpenzi wangu ambae nimekuwa nae kwa muda wa miezi 6 sasa, hapo mwanzoni mpenzi wangu alikuwa ananipenda na kuniheshimu sana na alikuwa akinisikiliza.
Kama wiki mbili sasa amekuwa na tabia ya ajabu sana, kila tunapokutana faragha amekuwa akinilazimisha kunipiga picha za uchi, me nimekuwa nikimkataria na kuwa mkali kwa nini anifanyie hivyo...??

Lakini yeye amekuwa akinilazimisha na kung'ang'ania sana mpaka anakasirika na kuondoka kabisa..
Sasa me simuelewi jamani naombeni ushauri wenu, nia yake ni nini huyu mwanaume, ana mapenzi ya kweli na mimi au la....???
USHAURI PLEASE maana hapa nilipo nimechanganyikiw kabisa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. piga c mpenzi wako bwana, na anaonaga live sasa unachoogopa ninini?

    ReplyDelete
  2. uyo anataka akawaoneshe rafiki zake jinsi ulivo umbika inaonesha jamaa ndo mara yake ya kwanza kua na demu mkari kama ww xo anataka akapate credit kwa washkaji zake coz ameshatamba kwa wenzie kua ana mtoto mkari,xo apo anataka akawaoneshe afu atakuja kujilaumu kwani marafiki cio watu wazuri akiwaonesha na ndo hao watakao msaliti we mpe mama atakuja kujita c rimbukeni mwache akatombewe

    ReplyDelete
  3. mwambie akupige akakutangazie soko ununuliwe na wenye pesa huyo jamaa yako mtu poa xana cio mchoyo anataka vitu vitamu tule wote

    ReplyDelete
  4. Ukikubali one day utalia mpka bhaaaas. Umesahau yule dem wa IFM alichofanyiwa? Ucjiachie kiivo ww,kumbuka uyo ni bnadamu tu na cku mkigombna ndio utsisoma plate no. Acha kabisa tena huo ni ulimbken,picha za uchi ili iweje ss,ujinga plus lol

    ReplyDelete
  5. Acha ulimbukeni,huyo nataka akupige ili mkigombana tu mkaachana, basi akazipost kwenye mitandao ya kijamii,usikubali kabisaaaa huo ushenzi mkubwa.

    ReplyDelete
  6. Huyo anataka akakutangaze, uckubali hata kidogo anataka aweke kwenye mtandao then utajiona choo. huyo ni msaliti temana nae tena las nae mbali.

    ReplyDelete
  7. kwel kabisa atakutangaza na co mtu mzur

    ReplyDelete

Top Post Ad