google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Mwanamuziki Oliver Mtukudzi Aonyesha Matokeo ya Vipimo vyake vya Ugonjwa wa Ukimwi | UDAKU SPECIAL

Mwanamuziki Oliver Mtukudzi Aonyesha Matokeo ya Vipimo vyake vya Ugonjwa wa Ukimwi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamziki mkongwe Oliver Mtukudzi, ameonyesha hadharani matokeo ya vipimo vyake vya ugonjwa wa ukimwi baada ya kuwepo kwa maneno maneno mtaani kwamba mwanamziki huyo mkongwe mwenye umri wa miaka 60 kuwa mgonjwa wa ugonjwa huo hatari.

Hata hivyo katika majibu ya vipimo hivyo mwanamziki huyo alionekana kutokuwa na ugonjwa huo, alikiri kuwa ndugu zake wengi wamefariki kwa ugonjwa huo, lakini yeye anasumburiwa na ugonjwa wa kisukari na sio mwathirika wa Ukimwi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Thank u for assuring us that you are okay. God stay with you.

    ReplyDelete
  2. Sukari nayo nihatari

    ReplyDelete
  3. hakuna ugonjwa mdogo..nakushangaa we jiran yangu unasema sukar c hatar

    ReplyDelete

Top Post Ad