google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Nimerekodiwa Video ya Ngono Bila Kujijua. Nifanyeje? | UDAKU SPECIAL

Nimerekodiwa Video ya Ngono Bila Kujijua. Nifanyeje?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wadau natumaini mu wazima Mi ni mjasiriamali toka Arusha but huwa nakuja Dar kwa ajili ya kuchukua bidhaa, nikiwa Dar napenda kujibururdisha aama MEEDA au KONA BAA/AMBIANCE AFRIKA SANA huwa nikipata demu wa kupiga nampelekaga Guest/hotel niliyofikia tunafurahia "game" asubuhi namlipa chake anatambaa.

    Sasa katika kuingia guest kadhaa za hapa Dar nimegundua hawa jamaa wa guest wanaweka SECURITY CAMERAS kuanzia kwenye parking, kwenye korido, karibu na milango, vyumbani hadi bafuni. Je, ni haki kuweka security camera hadi vyumbani/bafuni?

    Jana nikiwa kwenye foleni Magomeni Mapipa dogo mmoja akaja na DVD kibao za dini, chini yake ameweka DVD ya X ina picha ya WEMA nikainunua ile kufika hotelini nikaweka kwenye laptop katika Clip Mojawapo najiona mimi na demu niliyemchukua week Mbili zilizopita.

    Hakika nilichoka, sijui cha kufanya nishaurini wadau.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ndo bsi tena ushaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaribu

    ReplyDelete
  2. hahahahaha wewe omba tu hati miliki ya hiyo move uwe pon star basi umefaulu maisha

    ReplyDelete
  3. Michepuko sio dili

    ReplyDelete
  4. si ustaarabu kumrecod MTU bila idhini yake na kuwa na mtu ni utashi wake sio kosa. waeleze utawala na km vipi tangaza hiyo hotel ili watu wasiendelee kwenda wakadhalilika. Starehe in haki ya MTU.

    ReplyDelete
  5. Wema alikuwa na manifest kwenyehiyo picha

    ReplyDelete
  6. duu. pole sana..

    ReplyDelete
  7. natamani niione hio DVD nikuone unavyopiga kazi!

    ReplyDelete
  8. WANAUME MUMEZIDI SIKU MBILI TO LAZIMA ULALE NAMWANAKE INGEKUWAVIZULI NA MKE WAKO AKAJIWONEA HIO DVD MALAYA MKUBWA INGEKUWA VIZULI UKAFA KABISA MALAYA WEWEEEEEEE OSIPOPUNGUZA UMALAYA MWISHO UTALALA NA UMBWA

    ReplyDelete
  9. Acha ujinga hii story ilisimuliwa jamii forum miaka 2 iliyopita mwehu wewe.......

    ReplyDelete
  10. mukome muzidi sana waume wa dar mwani nilazima mtembea na wanawake mbwa nyie hamuna adabu ,

    ReplyDelete
  11. wewe huna mke , unataka kumua mkeo acha umalaya wewe mbwa utamuua mkeo.

    ReplyDelete

Top Post Ad