Picha Mpya za Penny ni Shidaaa...Diamond Anaweza Mrudia Akiziona

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mrembo Penny Katika Pozi , Unaonaje Picha hizi ..? I think She is Cute More Than ......
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

39 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani umeambiwa penny anashida na Dai umbea tu kazi kuongeza chumvi pumbafu.mtu asipige picha ooh ili Dai amrudie kwani ye pekeyake ndo mwenye uume haoni wengne?peleka kengeza naumbea Wako kwa boss Wako shenz

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jaman aliyeingia kwenye blog ya sinta Leo asubuh tunaomba atuambie nasikia allipost mchambo wa nguvu kuhusu wema na mama mzungu mange, alafu sintah akafuta please tumepitwa na umbe ya, kwen alipost nn sinta please tuambien

      Delete
    2. Umbeya utakuua

      Delete
    3. Tena utamuua kwel kaulize kule2 kwa sinta usituchanganyie madawa APA.

      Delete
  2. Babu weee ana bonge la bwwana sasa domo wa nini

    ReplyDelete
  3. Replies
    1. nyoko nn wewe ulitaka anenepe

      Delete
  4. Hana hata bwana domo ndo wake

    ReplyDelete
  5. Domo ndo mchepuko

    ReplyDelete
  6. Sijaona jipya msenge ww

    ReplyDelete
  7. Eti anajitangazia kapata bwana tajiri mtu Wa Angola,kwahiyo kwa Domo ulikuwa unafuata PESA ,nyoooooo

    ReplyDelete
  8. katoto kauri aka jaman mmmmwaaaah love u

    ReplyDelete
  9. yaan ka cute sana sana funenge atasubil sana maana kashazeeka

    ReplyDelete
  10. Hajakonda kajikondesha mwenyewe kwa raha zake.

    ReplyDelete
  11. Wema kachoooka, hathubutu kuacha upaja nje kama penny

    ReplyDelete
  12. Penny umekondaaaaa kwa kuwaza Domo,kwa raha gani ulizokuwa nazo za kujikondesha?nyyoooo,umejinunulia Pete eti ohoo nimepata bwana tajiri kawadanganye kawadanganye wanaokusoma kupitia mablogu sio sie tunaojua mpaka chumbani mwako

    ReplyDelete
  13. Hivi wanawake wa bongo lazima uwe na bwana ndio uonekane wa maana? dah mnajishusha wenyewe bana...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaaaaani nawashangaaga hawa wabongo,Yani wenyewe,kutwaaa ohho mwanaume kanivisha Pete,oooh mwanaume kanifanyia hivi,ohooo mwanaume kanifanyie vile,yaaani they can't stand on their own feet,ndo maana mnadhalilishwa.

      Delete
  14. mbona kakondeana hivyo huyu msagaji andunjeee......hapana akajikague

    ReplyDelete
  15. jamani pen kula kidogo hata ngozi inyooke umejipunguza sana big nooooooo

    ReplyDelete
  16. Acheni wivu wanawake team wema,mzuri jamani mweee,si hata sisi tunaona.

    ReplyDelete
  17. Nashanga huo mbudege wao na penny nani anatizamika atalegeza saut sana ILA penny kazuri kanajielewa.domo bandua hapo pakua mbele na hko kwa budege ukimaliza kaoe mtt mpyaaa kbsa Hilo budege endelea kufanyia mazoezi kutulia katulie kwa mwingne.

    ReplyDelete
  18. Mzuri sana,huwezi kumfananisha na jokate wala wema,hawamfikii.

    ReplyDelete
  19. Loooh! Kinyago cha mpapure tehe tehe!

    ReplyDelete
  20. make up zinasaidia akuna uzuri wa asili ila niwakuutafuta tu

    ReplyDelete
  21. kapendeza..mcmchambe..mwachen na maisha yke kwanza ni mwangaikaj km jokate ..hawategemei w.ume kwenye maisha yao

    ReplyDelete
  22. Penny ajajikondesha ni mawazoooooo,yaani Jana nimemuona live live town nikakaonea huruma,ana waza mwanaume tajiri Wa kumuoa.utasubiriiiiii

    ReplyDelete
  23. kama domo alimla vizuri atakuwa bado anakula hapa

    ReplyDelete
  24. Machizi hao kilasiku diamond na wema hamuonagi sitori zingine?

    ReplyDelete
  25. pendenza sana my penny kula raha mamaa achana na huyo domo ona ulivyoendeza na umejua kuvaa usithubutu tena kurudi kwa domo wala hana hadhi ya kuwa na wewe ni umaarufu tu

    ReplyDelete
  26. Ujue nn.. wote hawa wazuri.. c wema c jokate na huyu peny, ila wooooote hawa malaya tu na malimbukeni wamemgombania bwana mmoja kisa vijipesa tu.. yaani ka mtu anashuka leo tz akawaona picha zao anaweza babaika ila tunaowajua tunawaona takataka tu kwa umalaya walioufanya.. umetukifu!!

    ReplyDelete
  27. mkaka unatrrka! mara ucfie mara upondeee duuuh!!!

    ReplyDelete
  28. wema ndio habari ya mjini

    ReplyDelete
  29. Yaani hakuna mtu anahaha kama huyu dada ...kweli dongote atakua mtamu....yaani poze zote hiz hana cha bwana wa angola wala nigeria ni kutaka tuu d amuone....maskin sasa ulisema utamualika d kutumbuiza kwenye harusi yako nachoona ni wewe utaalikwa kutangaza kwenye hiyo harusi yao...uwanja wa taifa......yaani unahangaika ,mwache kijana wa watu afanye yake usimtajetaje na usimchafue kwani page closed for you my dear...kantangazeeeeeee

    ReplyDelete
  30. Mwaya umependeza ile mbaya yani umefunika!

    ReplyDelete

Top Post Ad