Rose Ndauka Ajimwagia Sifa Kede Kede Anadai Anajiheshimu Ndio Maana Anaheshimika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrembo wa Filamu za Bongo Movies Rose Ndauka Amejimwagia sifa Kibao na kusema ukiwaambia wasanii wa kike wanaojieshimu wapite mbele basi yeye ni numba moja , Amesema amejiwekea utaratibu wa kujieshimu ndio maana watu wengine wanamweshimu tofauti na zamani alipoanza kuwa staa ambapo skendo nyingi zilikuwa zikimkuta, Pia amesema yeye anajiepusha na marafiki wambea na wanaopenda kusambaza maneno maneno na choko choko kwani kwa sasa yeye ni mama wa mtoto na anataka mtoto wake alelewe katika malezi bora.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Basi sawa...tulia tukusifie sisi tunaokuona

    ReplyDelete
  2. Nikweli unajiheshimu dada, ndo'mana umepiga picha ya nusu-uchi, sio uchi kamili - hongera zako, unakitovu kizuri na kwapa safi....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hii inaitwa kill soft. Umemaliza mkuu salute kwako

      Delete
    2. Hahahahaaaa binadamu wabaya jamannnn,msichokonoe nyuki

      Delete
  3. ha haaa anonymous 2.01 pm umenichomoa mbavu, nimechekaje!!

    ReplyDelete
  4. nyooo biashara matangazo, mkundu we

    ReplyDelete
  5. kama ameamua kujiheshimu ujue kashachoka..

    ReplyDelete
  6. kachoka kutoa mbwambwa ndo mana kaamua kutulia. kama limeota sugu si aseme

    ReplyDelete

Top Post Ad