Viongozi wa Uamsho Wadaiwa Kuingiza Magaidi Nchini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

VIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho Zanzibar, wanakabiliwa na mashitaka ya kuingiza wageni nchini, ili washiriki katika vitendo vya kigaidi.

Jana kiongozi mwandamizi wa Jumuiya hiyo, Mselem Ali Mselem, alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka hayo.

Mselem na Abdallah Said Ali, walifikishwa mahakamani hapo na kusomewa mashitaka na Wakili Mwandamizi wa Serikali, Peter Njike akisaidiwa na Wakili George Barasa, mbele ya Hakimu Mkazi Augustina Mmbando.

Mselem amepandishwa kizimbani, baada ya kiongozi mwenzake mwandamizi katika jumuiya hiyo, Farid Hadi Ahmed, pamoja na washitakiwa wengine 19, kufikishwa mahakamani hapo wakikabiliwa na tuhuma za kujihusisha na vitendo hivyo.

Wakili Barasa alidai, katika tarehe tofauti nchini, kati ya Januari mwaka jana na Juni mwaka huu, washitakiwa walipanga njama za kutenda kosa la kuwaingiza watu nchini kwa ajili ya kufanya ugaidi.

Ilidaiwa katika kipindi hicho, huku washitakiwa wakijua kuwa ni kosa, walikubali kuwaingiza watu nchini kwa ajili ya kujihusisha na vitendo hivyo.

Katika mashitaka yanayomkabili Mselem, Wakili Barasa alidai, mshitakiwa aliwaingiza nchini Sadick Absaloum na Farah Omary ili washiriki katika vitendo vya ugaidi, ingawa hakusema wanatoka nchi gani.

Washitakiwa hawakutakiwa kujibu mashitaka kwa kuwa mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo, isipokuwa Mahakama Kuu.

Upande wa Jamhuri ulidai upelelezi wa kesi haujakamilika na kuomba kesi hiyo itajwe kesho na Hakimu Mmbando aliahirisha kesi hiyo hadi itakapotajwa tena.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haya Waislamu safi wanataka kuua watu,always ni wao tu.

    ReplyDelete
  2. Wamewaingiza nchini kkwaniwaoni magresheni?

    ReplyDelete
  3. Wameingiza magaidi ili iweje hao nawo, awapendi Amani au? ndio mambo ya ibirisi anazidi ichanganya dunia na watu wake. maanake binadam ni yale yale kila siku yanaenda yanarudiwa, kinachoonekana mabadiliko wala hakuna bali uhasama na chuki zisizo na faida pachoni pa binadam wala pa Mungu, angala hakuna aliyemuona mungu hata mara moja. Yote ni kukosa upendano, na kupandikiza michuki

    ReplyDelete
  4. Uongo mtupu mmezoea kuwaonea waislam wakt wanawaingiza hamjaona ndio mmeona sasa hamkosi sababu

    ReplyDelete
    Replies
    1. kila inapokuwepo muislamu hapakosi vurugu sijui kwa nini.?

      Delete
    2. Na kila penye vurugu za kigaidi kuna muislamu.
      ???????????????????????????????????????

      Delete
  5. Mdau wa kwanza kuma la mamako

    ReplyDelete
    Replies
    1. muone naye huyu ni wale wale kwa nini usiseme mboo ya baba yako

      Delete
    2. Tukana lakini ni kweli ,na always ukweli unauma.Jaribu hata
      kuangalia kwenye milipuko ya mabomu iliyowahi kutokea Tanzania
      wahusika wakuu ni waislamu.why?

      Delete
  6. kusoma hujui hata picha huoni? ukizungumzia ugaidi unazungumzia uislam ukwel ndyo huo

    ReplyDelete
  7. jamani ombeeni amani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Amani itaendelea kuwepo kwa kuwa Mungu yuko na Wa-TZ
      wenye kupenda amani,na ndio maana hata viongozi tunaopewa na Mungu ni wapenda amani.Mungu ibariki Tanzania.

      Delete
  8. hawa watu kwa kweli hawapendi amani hata kidogo sijui kwa nini. sijui kwa sababu wanalishwa hawana kazi ya kufanya na ukiangalia wengi wao hawana kazi maalumu.

    ReplyDelete
  9. Waislam ni makuma tu, kila nchi wao ni tatizo. Hata hapa utrk wana matatizo. Hata akiwa jirani yako ni tatizo makuma hao.

    ReplyDelete
  10. Wewe uliyesema waislamu makuma unatonbwa wima . we ukiristo umeona dini . dini gani ya biashara mtu akitaka utajiri anaingia ktk uchungaji mnamtajirisha nyie mnakufa maskini jitambueni nyie mazuzu kuma mazenu wote

    ReplyDelete
    Replies

    1. Na wewe kama kweli ni muislamu basi huna maadili ya uislam,kwa nini unatukana?

      Delete
  11. tatizo kubwa ni vitabu vyao wanavyo vitumia tu

    ReplyDelete

Top Post Ad