Wakati Wema Adai Amepata Mume, Diamond Aibuka na Kusema Kamwe Hata Kaa Aoe Mke

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Na Shakoor Jongo
Kutoka moyoni? Wakati bimkubwa Wema Isaac Sepetu akijiaminisha na kuhisi kuwa amepata mume ambaye ni baba bora, mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefunguka kuwa kamwe hafikirii kuoa, Ijumaa lina cha kukuhabarisha.

Kauli hiyo ya Diamond inakuja wiki kadhaa baada ya Wema kuonekana na pete ya ndoa kidoleni kisha kukiri kuvishwa na ‘kichaa’ huyo wa Bongo Fleva ambaye amerejea kutoka Marekani alikotwaa Tuzo ya Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki zilizokwenda kwa jina la African Muzik Magazine (AFRIMMA) 2014.

Hofu ya kuoa
Akizungumza na gazeti hili kwenye mahojiano maalum, Diamond alisema kuwa anahofia kuoa kwa madai kwamba akifanya hivyo anaweza kuanguka kimuziki kitu ambacho hataki kimtokee maishani mwake.

Kumbe!
Jamaa huyo ambaye siku hizi anajiita Dangote (jina la tajiri wa Nigeria, Aliko Dangote) alitiririka kuwa zamani alikuwa na wazo hilo la kuoa lakini akiwatazama wanamuziki wenzake waliooa mwisho wa siku, makali yao hupungua na wengine kupotea kabisa kwenye ramani ya muziki.


“Unajua unaweza kuona kama vile nazungumza kitu cha utani lakini ndiyo ukweli wenyewe.
“Kuna wanamuziki wengi walikuwa kwenye peak (kileleni) lakini walipooa tu ‘kiki’ yao ilishuka ghafla katika muziki na wengine wamepotea kabisa.

“Ukifuatilia kwa umakini wapo mastaa wengi duniani ambao umri umekwenda sana lakini hawajaoa. Hata hapa nyumbani kuna mifano hai. Nadhani hofu yao ni kuona kuwa wakifanya hivyo watashuka kimuziki,” alisema Diamond.

Ni kweli kamvisha pete Wema?
Alipoulizwa kama ni kweli amemvisha pete ya uchumba Wema, msanii huyo hakuwa tayari kufafanua kwa kigezo kwamba pete ni urembo kama urembo mwingine kwa mwanamke.

Nje ya boksi
Baada ya kusikia msimamo wa Diamond, gazeti hili lilijiongeza na kutoka nje ya boksi ambapo lilizungumza na baadhi ya wasanii waliooa na wasiooa ambapo walieleza mambo mazito.

Siri yafichuka
Katika mazungumzo yao kwa sharti la kutochorwa gazetini, wasanii hao walidai kwamba Diamond anahofia kupoteza kiki kwa warembo ambao wengi ndiyo mashabiki wake wanaoamini nao wanaweza kupata zali la kuolewa naye ndiyo maana humzingira na kumuomba namba ya simu kila anakokwenda.
Msururu wa mademu

Ilielezwa kwamba kwa kuwa jamaa huyo hupenda kuwa juu ndiyo maana alisharipotiwa kutoka na msururu wa wanawake mastaa ambao huchangia jina lake kuendelea kuwa juu.
Ilidaiwa kwamba wakati anatafuta namna ya kuchomoka kimuziki alidaiwa kutoka kimapenzi na warembo waliokuwa na majina madogo kama Rehema Fabian aliyepata umaarufu kupitia Shindano la Miss Kiswahili.

Ilisemekana kwamba baada ya hapo alidaiwa kuwa na msururu wa wanawake mastaa kama waigizaji Jacqueline Wolper Massawe na Aunt Ezekiel Grayson na Jokate Mwegelo.
Baadaye jamaa huyo alidaiwa kuruka na wasichana ambao hawakuwa na kiki hivyo aliwamwaga ndani ya muda mfupi kama Najma na Natasha.

Baadaye Diamond alitua kwa Wema hadi akafikia hatua ya kumvisha pete ya uchumba mwaka 2012 ndani ya Ukumbi wa New Maisha uliopo Masaki jijini Dar.

Kumbukumbu zinaonesha kwamba muda mfupi baada ya kumvisha Wema pete ya uchumba walimwagana ambapo Diamond alitua kwa Mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’.

Diamond hakudumu na Penny kwa madai kwamba mrembo huyo hakuwa na kiki kama ilivyokuwa kwa Wema ambaye jina lake halijawahi kushuka tangu alipovaa Krauni ya Miss Tanzania 2006/07.
Ilisemekana kwamba hata tuzo zilipungua ndipo akampiga Penny chini na kurudi kwa Wema ambaye inasemekana ndiye anayemng’arisha.

Hawa wameoa, je, wameshuka?
Baadhi ya mastaa waliooa ni pamoja na Mohamed Ahmed ‘Z-Anto’, Nurdin Bilal ‘Shetta’, Amini Mwinyimkuu, Lawrence Marima ‘Marlaw’, Amani Temba ‘Mheshimiwa Temba’ na wengineo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

47 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani mbona hiyo picha aina ushirikiano kabisa, huyo domo kama hayupo hapo kabisa. Wema uwa unalazimisha kupiga picha na domo? Nakuhurumia wema kama ujui kusoma Ata picha uoni?? Domo ajafungua moyo wake kwa wema kabisa. Jipange Sana wema!

    ReplyDelete
  2. Kweli mdau umesema, hiyo picha Ni kama domo yupo kigamboni na wema yupo bagamoyo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. WABONGO WASHAMBA KWA MAPENZI DUUU HAPO DIAMOND ANADEKA BIBIWEEE,MISHAMBA MIBONGO DUUU

      Delete
  3. umalaya tu hamna cha kiki wala nini

    ReplyDelete
  4. udaku tu auma.maana yoyote

    ReplyDelete
  5. Wema hajitambui mara ajivishe pete ya ndoa nlimuona juzi pale airport jamani ule ukoo kma wanamchora kavaa kanguo kafupiii wakwe zake kibao wamejaa airport ...anajipendekeza huyoo maa maaa kila saa na ua lake mara amgande esma..bora masikini wa mali sio akili jamani...ni shidaaaa

    ReplyDelete
  6. sasa wewe unayesema analazimisha picha,unachekesha sana,watu wanalala wote wanaamka wote,alafu unasema analazimisha picha,alafu me nakuhurumia,maana ukiamka tu,unaingia humu,uangalie,leo wema kaandikwa nini,uanze comment zako za wivu wivu,

    ReplyDelete
  7. mi napita tuuu

    ReplyDelete
  8. Diamond aweZi kumuoa wema Ata kwa sawa.walaya wake. 2.

    ReplyDelete
  9. Duu we domo ndio maneno yako kwa mtoto unschezea bahati yako

    ReplyDelete
  10. diamond hana iijanja kapaa kwa jina la wema akae sawa wema ndo kila kitu

    ReplyDelete
  11. JAMANI TUMECHOKA KUCHEZEWA NA DIAMOND KWANINI TUSIMUANGUSHE KIMUZIKI HUYU DOMO?WANAWAKE TUJIPANGENI TUMPOROMOSHE KIMUZIKI AKOSE KIKI KAMA MR NICE,PUMBAVU MKUBWA NASSEB,MBWA WEE,WE UNATAKIWA UKATWE HILO BOLO LAKO,KENGE MWEUSI WEE,KWANZA UMUHIMU WAKO NI WA MUDA MFUPI TU KWAKUWA NI STAR USTAA UKIISHA HUNA KITU WEWE KWANZA YOU ARE NOT ATTRACTING AT ALL UNAVUTIA SASA HIVI KWAKUWA BADO STAR,NAKUPA MIAKA MITANO UONE KAMA UTAFUATWAFUATWA NA WANAWAKE KAMA INZI,MARK MY WORD.SWAINIIIII WEEE,WEMA WEMA WEMA ACHANA NA HILI MBULULA LINAKUPOTEZEA MUDA HUSIKII?YEYE ANAKUPENDA KWA FAIDA ZAKE,UNAONA ANASEMA KAMUACHA PENNY KWAKUWA ANA KIKI,KWAHIYO ANATAFUTA WANAWAKE WA KUMPA KIKI,MIJITU YA MBAGALA NI MBAGALA TUUUUUUUUUUUU,HATA IENDE MAREKANI NI MBAGALA TUUU,K***WEEEE

    ReplyDelete
  12. SIKUOMBEI MABAYA LAKINI HUO UMAARUFU UNAOTAFUTA UTAISHIA KITANDANI KUTAPIKA NA KUHARISHA USIPOJIREKEBISHA,WE UNAFIKIRI KUPANGA WANAWAKE MASTAA NDO SIFA?KUMBE NA AUNT EZEKIEL USHAMLALA?DIAMOND NI NOMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  13. ESMA JITAYARISHE KURIDHI MALI ZA KAKA YAKO,DIAMOND ANACHEZEA KIFO,WE KUPANGA WANAWAKE MSURURU NDO SIFA?MAMA YANGUUUUUUUUUUUUUUUU UMEPOTEA,TUACHE MOVIE IENDELEEE,UTAKUFA NA UKIMWI DIAMOND TUNAKUPENDA HIZO KIKI UNAZOTAFUTA ZITAKUPELEKA KWENYE KUARISHA NA KUTAPIKA OOHOOOOOOOOOOOO

    ReplyDelete
    Replies

    1. Na alishawahi kuulizwa kama anatumia kinga akasema wote anawaamini.
      Nahisi hana uwezo wa kutia mimba pia,maana dah.................

      Delete
  14. usenge huu achen wivu wema ni wema wengne mkuma wote

    ReplyDelete
  15. NAJMA ULIKUWA UNAJUWA WAZIIII KUWA NI DEMU WA MR BLUE UKAMLALA,MR BLUE NAE AKAMLALA WEMA,MARA REHEMA FABIAN,NAJMA,AUNTY EZEKIEL,WOLPER,UWOYA,PENNY,LULU(kwa wewe kulala na domo sina hakika,samahani kama nimekukwaza lulu)HAMISSA MOBETO,JOKETI MWEGELO,VICTORIA KIMANI,NA SI HAWA TU BONGO MOVIE UMECHIMBUACHIMBUA,NA BADO WANAWAKE WANAKUFUATA KAMA INZI KWA KUKUPIGIA MASIMU,MAMA YAKO MWENYEWEEE KASEMA ,SASA NDUGU YANGU DIAMOND NDO WAONA SIFA?WA TANDALE KULALA NA WATOTO WA MASAKI?SASA TUONE MWISHO WAKE.WE CHEZEA SHILLING CHOONI.HAO ULIOLALA NAO UNAUHAKIKA GANI KAM WOTEEEEEEE NI HIV NEGATIVE?TULIA DIAMOND ULE JASHO LAKO UTAWAACHIA WENZIO WARITHI MALI ZAKO KWAVIFO VYA KUJITAKIA.YANI NINA HASIRAAAA KAMA UMETEMBEA NA MDOGO WANGU.UNATUDHALILISHA SAAAANA WANAWAKE NA SISI WANAWAKE TULIVYOJAA NA TAMAA TUNAKUFUNULIA TU CHUPI ZETU.

    ReplyDelete
  16. mdau hapo juu umenena pia mimi kaniudhi sana kwa maneno yake. kwanza huyu jamaa hana akili kwa yale aliyoyasema no wonder wewe watafuta kiki kutembea na hao mastaa njaa wenye kupanga nyumba if ur a real man get a classic lady tuone kama atakutaka hao mastaa wamezowea kurombeza ndio maana ukawa lala. hawana kitu wema mpaka leo vyote ni vya ck wema just get urself a life dis guy hana msimamo na domo let me tell u WAT GOES AROUND COMES BACK AROUND AND MWENYEZI MUNGU ANAKUONA SO SIKU ATAPO KUADHIBU KWA VITUKO UNAVO VIFANYA BASI UJUE USTAA UTAKWISHA JUA MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI,

    ReplyDelete
  17. Hayo ni magazeti tu angekuwa hamtak asingekuwa nawe wema ni wema tu

    ReplyDelete
  18. wewe annoy 12.42 ur speaking totally rubish so wat if dey sleep n wake up same bed is it dea first tym to break up or diamond to cheat on her if he was truelly inlove he would never spoke wat he did and his actions speaks louder dan words if dis guy angekua anampenda wema not even a day ange cheat tena wid her best friend dis guy ni ushamba wamsubua na wema ni masifa anapenda seriously dis kind of life dea living aint healthy at all dis guys dea fucking boring and maybe ww ndio uwa waamka kuangali wat wema afanya daily as far as am concerned am 100percent sure my life is way much better dan her sirombezi mm haha kazi kwako wewe kushabikia craps

    ReplyDelete
  19. kua nae si tatizo kwani hii ni mara yakwanza kua nae na akamwacha akawa na mwingine mhhhhhhhhhhhhhhhhhhh pelekeni ujinga mbele

    ReplyDelete
  20. Mungu wangu Na akulaani ufilisike Kama Mr nice,huna maana yoyote,kulala na kila demu Eti ndo sifa,Jamani tuanzeni kumnyanyua Ali Kiba,

    ReplyDelete
  21. mie kanichefua,wanawake basi mfunguke akili,msifanywe kanyagio la wendawazimu,mjitambue.eee nyumba ya shetani mwendawazimu kaingiaje!!!

    ReplyDelete
  22. Wewe ni mshirikina sana wasiwasi wangu ni kwamba huyo mganga wako kakuambia kama utaoa utashuka kimuziki,ni hivyo tu.
    Maskini wema hajitambui,au umemloga we Almas?
    Ulaaniwe.

    ReplyDelete
  23. Anapelekwaga kwa waganga na h kimwana,Ni mshirikinaaaa kupita kiasi,na Wema ndio ndondocha wake.

    ReplyDelete

  24. "Jamani tumwache Mungu aitwe Mungu " alijua kabisa Daimondo akipewa U-Handsome itakuwa taabu,hali hii sura yako ni ya kutafuta unasumbua wadada wa watu je ungekuwa na sura kama ya Ali Kiba si ingekuwa hapatoshi Mjini? Mweeeeeeeeeeeee,kichefuchefu,Tuandamane wadada endapo atamuacha madame,haki ya nani tena,mie nitashika bango,Tunataka umuoe Wema/ anakupenda.

    ReplyDelete
  25. Wema Naye kama zuzu maskini au wanamloga mana Kabila la dimond ni hatari lol, Wema aachane na dimond akae kama mwaka halafu tuone kama mtamckia huyo mbwa kwenye media, yani anazunguka akiona yamemshinda anarudi kwa mganga wake arudishiwe zuzu lake kik ziendelee, nakuonea huruma Wema unatumiwa tu... Halafu utajidai true love never die pyeee... Witch doctor working mama true love sucks.. Unazeeka na dimond anakupotezea muda.. Mengine utamalizia mwenyewe.. Ungekuwa ndugu yangu ww ningekubutua kila cku

    ReplyDelete
    Replies
    1. UMEONGEA WANAUME HAWAZEEKI KIIVYO, BABA MZEE ANAOA BINTI DOGO DOGO, MFANO REGINAL MENGI. ATANISAMEHE

      Delete
  26. Bora yake penny alizinduka mapema,nadhani ndugu zake walikuwa wanakesha kuomba,
    mwanamme ana dharau kama nini Almas,ptuuuuuuuuuuuuuuu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Penny hakumuacha Daimond,hata Leo akirudiwa na diamond ,fasta anakubali.usicheze Na pesa na superstar Wa bongo

      Delete
  27. Wema unajishusha shost hutakiwi unalazimisha penzi au kwa vile umetemwa na kigogo huna pakushika????

    ReplyDelete
  28. Halafu nasikia Mbegu za uzazi za Domo zinaitilafu katembea na wanawake Mia hakuna hatammoja aliyesjika mimba,watu wamejilengesha mimba weeee hola.nasikia penny hakuwa na mimba kipindi kile alikuwa anazuga ili. Apewe Hela fulani alikuwa anashida nayo

    ReplyDelete
    Replies
    1. HII KWA WALE MLIOTIWA NA DOMO HiVI NO KWELI AVAI condom?tiririkeni Jamani Huyu mwanaume kazidiiiii

      Delete
  29. Diamond angekuwa handsome Kama Ali kiba maaaamaaaa Yake na mamaaaaa.Mungu anajuaga kufanya kazi Yake kweli,kuna mdada mmoja anajishauaaa kisa Ni meneja uajili sehemu Fulani ,lakini angepewa sura na shepu tungetemewa mate ya USO

    ReplyDelete
  30. Mbona jamaa ni handsome wa kutosha tu,Mpeni haki mnyonge kabla ya kumnyonga...!

    ReplyDelete
  31. Hata kama hana mpango wa kuoa asingesema kwenye media angesema bado nipo nipo kwanza.kwani mmesahau anamtomba mama yake? Mpaka mamaa yake afe kwanza.umeniboa domo

    ReplyDelete
  32. Nacheki movie sina la zaidi

    ReplyDelete
  33. Kiukweli kwa domo wanafa pesa nadhani kwani mimi na uzee wangu cwezi kuzimika wa domo kwanza domo kubwa halafu hana uzuri wowote, na hisi wema kwa kua kashafanya sana umalaya hajapata wa kudumu nae ndo mana anajirejesha kwa domo kila mara, na domo lamda ana naniliuu ile ya kuvesha pete ndo uduu manake wema nae shimo litakua kubwa sana ci unajua mbwambwa likiwa kubwa linataka na dudu kubwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwi Kwi Kwi umeuaaaaa mdau.mi Mbona nyege na diamond sina kabisaaaaaaaaaaaaaa,hawa wadada kusikia joketi mwegelo kapewa million kumi kununua gari basiiiiiii ,kila demu anataka jaribu BINGO.

      Delete
  34. huyo free manson hakuna cha kushuka wala nini, katoka Marekani kapewa tuzo na sheria, aache kuongopa

    ReplyDelete
  35. Unavyoona kikawaida kama mtu haoi basi jua ataolewa yeye, ndo sheria ya freemanson lazima aliwe tigo, hasikii obama anavyopigia debe wanaume kubomoan

    ReplyDelete
  36. Diamond aoiii Yuko freemason kuna masheria kibaoooo nasikia.sikilizeni wimbo aliotunga mdogo wake dai,kamchana kaka yake kasema Ni freemason

    ReplyDelete
  37. Wema nae kapata, au kapatikana pole yake weeee!!!!!! mwanamke mwenzetu, kama msukule wa dai,

    ReplyDelete
  38. wataoana tu.....mie nawapenda mweeee

    ReplyDelete
  39. Jaman mbona wema anaishi kawaida kama wanawake wengine kwani wana wake wangapi? hawajaolewa nawaishi pamoja na wanaume wao tena hata manyumban hawafaa miki sembuse wema ukoo wa domo wote unamjua na hata wewe unaye mpondea unamjua waache ma* wawatu lale raha. wewe chukua shuka ujifunike.

    ReplyDelete
  40. wewe mchangiaji 1,2014 at 2:09Pm kuma kwel mbagala na Diamond wapi na wapi angalia mada sio unaropoka utafilwa masikion uishiko wwe pumzi mnanunua? kuma kizibo we

    ReplyDelete

Top Post Ad