Wanaume Wengi Hawanawi Sehemu Nyeti Baada ya Haja Ndogo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wengi wanamaliza haja ndogo tu na kuvaa bila hata kunawa, upesi upesi kama wanakimbizwa; matokeo yake nguo za ndani zinabaki na mikojo then kuleta harufu za ajabu ajabu.

Mtu ni afya, mnawe mara baada ya haja ndogo osheni maeneo yenu kama kina dada wanavyofanya wanawake wengi wanavumilia harufu wakati wa BJ na hata wakati wa faragha wanatamani hata wakimbie.

In short inawakata stimu balaa, na hii huchangia wengi kuibiwa kwa kuwalaghai kuwa mmewafikisha kileleni, maana hakuna hisia tena harufu inaboa.

Inatosha sasa kuwatesa na harufu kali hizo, bora mtumie vyoo kamili ili muweze kusitiri aibu hii na kuacha upesi mkikimbiwa.

Msilaumu, kuweni wasafi maeneo nyeti.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hiyo labda inatokea kwako, kwanza kimaumbile ya mwanamme akishakojoa ni kulikumuta dude sawasawa na kwenda kunawa mikono, habari za harufu ya ajabu kwa mwanaume labda inatokea kwako.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mtoa mada ni mkweli wanaojua ukweli ni wanawake zenu na sii nyinyi coz hata chupi zenyewe mnafua baada ya wiki uategemea nini kama si kunuka pumbu

      Delete
    2. Ni kweli kabisa,chupi za wanaume hunuka vibaya sana, naomba usikatae. Chup inavaliwa sku tatu unategemea nn

      Delete
    3. kenge we usi generalize mambo kama anakugonga afui chupi ni uyouyo

      Delete
  2. Xm tu n vema kujsafsha baada y haja ndogo kwajl y afya zetu c ajl y haruf mbaya n uwongo mwandsh

    ReplyDelete
  3. Ukweli ndio huo mlio wengi huwa hamnawi..

    ReplyDelete
  4. Mtoa mada labda wewe una govi, lkn km umetahiri ni kukung'uta tu, habari ya chupi ni nyingine kabisa!

    ReplyDelete
  5. asiye nawa ndiyo mchafu!! lakini sehemu za siri za mwanamme hazitoagi harufu kama za wenzetu!! duh kama panya aliyeoza!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio kama panya alieoza, lakini pesa yako yote inaishia hapohapo kwenye 'panya alieoza', hata ada ya shule ulikuwa hupeleki kisa ni 'panya alieoza'.......PANYA ALIEOZA WOYEEEEEEE, wanawake wote tuitikie WOYEEEEEEEE!

      Delete
  6. usikasirike dada, ni ukweli msipoziosha vizuri inakuwa ni balaaaa!!

    ReplyDelete
  7. hapa tunazungumzia za wanaume yani pumbu zinanuka ukame km tupo vitani au mbwa mzee asiye na manyoya

    ReplyDelete
  8. hapa tunazungumzia za wanaume yani pumbu zinanuka ukame km tupo vitani au mbwa mzee asiye na manyoya

    ReplyDelete
  9. hapa tunazungumzia za wanaume yani pumbu zinanuka ukame km tupo vitani au mbwa mzee asiye na manyoya

    ReplyDelete
  10. hapa tunazungumzia za wanaume yani pumbu zinanuka ukame km tupo vitani au mbwa mzee asiye na manyoya

    ReplyDelete
  11. Suala la kusafisha sehemu za siri baada ya kujisaidia/kukojoa Ni sehemu ya ibada kwa muislam si suala la govi / kutahiriwa hivyo Ni lazima kwa muislam kujisafisha sehemu zake za siri baada ya kujisaidia / kukojoa asalaam aleykum

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli kabisa. Inaonesha usafi kwa wanaume makini. Wanakataa tu kuwa hawanuki lakin ukweli ni kwamba huwa wananuka vibaya sana. Wenyewe haeajajigundua tu.

      Delete
  12. Mada imekaa poa sana, admin leo umekunywa supu ya mbwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad