Wema Sepetu: Najuta Kumrudia Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Takribani  wiki  sasa  kumekuwa  na  taarifa  zinazoeleza  kuwa  Miss  Tanzania  2006, Wema  Sepetu  hayuko  sawa  katika  mahusiano  yake  ya  kimapenzi  na  nguli  wa  Bongo  Fleva, Diamond  Plutnumz….

Kwa  mujibu  wa  rafiki  wa  karibu  na  Wema, imefika  mahali  Wema  anajuta  kuwa  na  Diamond  kwa  sababu  ya  kuandikwa  kwa  mambo  mengi  yasiyo  na  ukweli  na  yanayomfedhehesha  moyoni….

Rafiki  huyo  amedai  kuwa  mara  kwa  mara  Wema  amekuwa  akijiuliza  sababu  ya  kuandikwa  taarifa  mbalimbali  zisizo  na  kichwa  wala  miguu  ambapo  mwisho  wa  yote  hupata  jibu  ni  kwa  sababu  ya  kuwa  na  mahusiano  na  Diamond….

“Wakati  mwingine  anasema  angelijua  bora  angebaki  bachela  kwani  kuna  kikundi  cha  watu  hakipendi  kumuona  akiwa  na  Diamond  hivyo  kinafanya kazi  ya  kumzushia  taarifa   zisizoeleweka  kila  mara  kwa  lengo  la  kumshushia  hadhi,” kimesema  chanzo  hicho
Mwandishi  alipokiuliza  chanzo  hicho  ni  kwa  kiasi  gani  Wema   anamwamini  Diamond  kilisema:

“Ukweli  ni  kwamba  Wema  anampenda  sana  Diamond  lakini  hamwamini  kwa  sababu  wakati  mwingine  taarifa  zinazoandikwa  magazeti  hutolewa  na  Diamond  mwenyewe, hali  hiyo   inampa  wakati  mgumu  sana  Wema  kujua  ashike  wapi  na  wapi  apaache,”

“Unajua  Diamond  haaminiki, unaweza  kukuta  Wema  anagombana  na  watu  kumbe  mtoa  taarifa  ni  Diamond  mwenyewe.”

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

36 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. '' Tunapendana hadi tunapitilizaaaaaaaaaaa'' ???????????????

    ReplyDelete
  2. hayo ni maneno yawasiokutakia mema wewe jiulize kama huyo D wako kama ameshakukosea kila mara na au ameshakudharau hata siku moja kwani katika upendo wengi hawataki kuona unadumu pia huyo D wako huenda anajibu anayoulizwa ili kuwaridhisha udaku angalia maisha yako na mpezio pia jiulize yeye anakufanyia nini chenye faida kwako hapo utapata jibu

    ReplyDelete
  3. kweli mdau aangalie yy na diaomnd wanafanyiana nini asiangalie magazet yanasema nini wengi hawapendi kuona mtu anaishi vyema na mpenzie wema watch out

    ReplyDelete
  4. Huyo naye ni mwanaume wa kukumiiza kichwa! Tabia kwanza ni zero ....... malezi ya uswazi tandale unategemea nini? Tafuta bwana decent! Hicho kisharobaro kitatoa hadi siri za kitandani! We poteza muda wako utajuta ukifika 35!

    ReplyDelete
  5. yaani mapenzi ya wema na diamond yanawapa presha hawa watu na ndio watengeneza maneno wakubwa siyo siri wala nini. Acha niwataje kwani nimeshawachoka na roho zenu za kwanini. Watu hawa ni Sinta, Penny, Wolper na Halima mapengo.

    ReplyDelete
  6. Sinta ni shoga angu na mara nyingi anachati na hao watu niliowataja hapo juu kuuliza vipi wema anajipya gani mlilosikia, kiukweli sielewi kwa nini wema anamnyima usingizi Sinta, kwani kiumri huyo sinta anaweza hata kumzaa wema, sasa sijui anataka nini hata sielewi. Hebu lea huyo mtoto uliyemzaa muache motto wa mwanamke mwenzio apumie jamani. Maana ukiweka topic ya wema kwenye kablog kako basi siku hiyo uko bussy kucomment mabaya na kujifanya Anonymous, mpaka siku moja nikakuuliza hivi kwa nini humpendi huyu binti kiasi hiki, na wala hukuwa na jibu la wazi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio tabia ya sintah,hapendi wema kuwa na diamond,na hampendi joketi pia anaongea nae kinafiki tu,Binadamu sijui kwanini tuna wivu Wa kichawi kiasi hiki,Penny kaachana na diamond lakini bado hakubali matokeo,penny kafupi kabayaaaa camera 360 Ina msitiri instagram

      Delete
  7. watu bwana ata kama ikitokea diamondi na wema wakaacha uyo penny ajue awezi kurudiwa tena na diamondi mtu mwenyewe mfupi kama.dizi mshare tafuta tu.bwana.mwigine ila cyo kumfikiria diamondi 7sabu wema na dai wanapendan san ndo maana akuna.mcchana yoyote ambaye alitembea na dai then after separation wa karudiana tena kama wema na dai kwa hiyo kama uyo penny anawaza kurudiwa ni bora atafute bwana mapema.kwa 7babu move bado inaendelea na aina mwisho

    ReplyDelete
    Replies

    1. Penny alishasema hapana kurudi nyuma,hukumsikia kwenye mkasi?
      Ana mtu wake,subirini ndoa tu.



      Delete
    2. Anawadanganya,hiyo Pete kajinunulia,anasubili move ya wema na dai iishe,sisi mashoga za penny ndo twajua ukweli,kutwaaaa kwenye hii Blog kumshambulia Wema,Hana lolote,sasa hivi anatembea na chief k,ku by time tu,ila anasubili movie iishe.

      Delete
  8. Hawa Wasenge wanacheza na saikolojia za Watu hawana lolote ila ni mamburulazz tumewashtukia Kumanyoko zao

    ReplyDelete
  9. Haaaaaaaaaa,eti kuwa na Dai ndio kumemfanya awe na taarifa zisizo na miguu wa kichwa,
    ni muongo wewe Wema,hata kabla hujaanza kutoka na Diamond, tangu enzi za
    Jumbe,blue,chaz baba,blue kulikuwa na taarifa chafu tu za kwako?uliandikwa sana tu mjinga wewe,kwendraaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  10. blue,jumbe,chazi,kanumba,clement,t.i.d na wengine tusiowajua, na wewe domo loweka tu afu usepe hilo ni shamba la kijiji, na we Mr nice enzi zako ulizembea, ulishindwaje kulima hili shamba la kijiji?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na wewe endelea kufilwa na chief,nyooooo,kafupiiii ka kimba.

      Delete
  11. Ma freemason yana nguvu yaani Diamond ndo Wa kuumiza kichwa mtu???????duuuuuuu

    ReplyDelete
  12. Wema na dai wanawachezeeni akili,mwenzenu wema anaingiza hela na global publisher,habari za wema magazeti yoote yanauzika.poleni msiojua Haya .

    ReplyDelete
  13. Heeeeeeeeeee kumbe Binadamu anaweza kukuua mchana kweupeeeeee,sintah anavyotoa habari za wema kwenye blogu yake nikajua ni mashoga duuuuu,sintah mtoto wako Wa pili usimfichefiche Kama huyo Wa kwanza,huyu Wa pili utakuwa umezaa na mtu Wamaana I suppose.Joketi careful na Sintah,mi ndo maana sitaki ushoga maandazi

    ReplyDelete
  14. ONYO,wema kuna mtu mnacomentiana kwenye instagram,anasema anataka akuweke karibu ili amchune Domo,nimechekaa Leo .sitaki kumtaja hapa,she is my homie.

    ReplyDelete
  15. penny hawezi kurudia kula matapiko ''kesha taapika na wakufangia washa fagia'' sasa mmeona hata mbuta nanga'' alivyo muandika madam wema kwenye blog yake'' eti ni mchafu na wig sijui limeokotwa wapi .mwajua yule mbuta anasemaga kweli lakini sisi tunamuona chizi '' hivi d alishindwa kumnunulia wema vaazi powa la kujiandaa kupanda pale jukwani ikiwa mipango yao ilikuwa ni kuwa dansa wake ? aibuuuuu'''kiruuuuuuuuu''

    ReplyDelete
    Replies
    1. Penny relaxxxxxx dear.au bado una stress?ujue stress zinafanya mtu anatokwa na povu bila sababu.si unadai ume move on, mbona wakesha umu?

      Delete
  16. blog ya huyo mbuta nanga inaitwaje? mdau apo juu''

    ReplyDelete
  17. namchukia huyo flora lyimo mbuta nanga..ni kiki anatafuta na madam wetu amuwache hata akiwa mchafu yeye ndiyo msafi na michupi yake ya kiume''' mfyuuuuuuuuuu'' na wewe peleka umbea kwenye blog yake sasa ondoka hum ...kimbia kule ufe www.missfbknitwearlyimo.com

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jamani mwacheni flora lyimo,mi nikimuonaga flora,namuoneaga hurumaaa sijui kwanini.

      Delete
  18. Kila blog utakayoingia hukosi habar za wema na dai tens zaidi ya Mara tatu...hawa watu kweli no sheeda

    ReplyDelete
  19. Flora Ana matatizo ya akili,huku London hata atutukaneje tunamuangalia tu,si mzima kwa wasio mfahamu.

    ReplyDelete
  20. Jamani kwani Kicheche hana mtu katika maisha yake wa kumshauri?? Hana Kaka na Dada wa kumshauri???? Mbona Mama yake aliisha mtupa mkono???????

    ReplyDelete
  21. wewe unae sema flora lyimo si mzima wa akili ume mpima wewe malaya mnuka kuma..huna lolote kwanza huko london mwamuone wivu kwa maendeleo yake '' ni mtanzania yupi alishawahi kuwa na duka uk tena london oxford street ? hebu mumtaje''eti flora siyo mzima, na huku tanzania anasaidia mpaka wanawake wenzake kwa biashara zake mpya za kuuza handbags tena kwa laki moja kujiunga mwenzenu anatengeneza hela nyie mmekalia miboo ya waume za watu mnaona ndiyo kazi '''KENGE NYIE''

    ReplyDelete
  22. unae uliza blog ya mbuta nanga'kweli wewe mgeni hum mitandaoni ''wewe google flora lyimo fashion police ''
    Yani yupo juu''ukiandika hata youTube FLORA LYIMO anatokea akicheza na chupi zake za how to look sexy at home'' ni shida''''

    ReplyDelete
    Replies
    1. Utawadanganya wasioishi London ,nitajie duka lako jina,kesho nakuja mzima mzima Oxford circus,chizi weweee wadsnganye wabongo Wa dar,sio wabongo Wa London

      Delete
  23. Nyie waandishi msiekua na ujuzi na njaa zenu ndo mnagombanisha sana watu humu ktk social media na sometimes mtu unapoteza ata mood ya kusoma izo blog zenu cause azileti any meaning kila siku diamond,wema...Serious km mnaona may be mtapata watu wengi ktk blog zenu baso your long koz MNABOAAAAAAAAAAAA na hao wema na diamond ni watu wa kawaida tuu km nyie mnafikiria ni soo important basi msifikiri kila mtu anafikiria ivyo..km hamna habari afadhali ata muwatangaze wakulima wapate kuuza mazao ya kiraisi na maendeleo yaende mbele sio kila siku talking about some shit,some people.. TIREEEEEEED,MNABOOOOOOAAAA...may be u guys go get serious job and not writing always diamond or wema shit cause they not that interest to see them everyday and they just NOSENSE LIKE YOU,mA fA...StOp dAt sHiT.

    ReplyDelete
    Replies
    1. You're so right man

      Delete
    2. Yeah Man, you are right!!!. talking nonsensical nonsense does not add any value to the people. try to use your brain to bring positive change to the Community.

      Delete
  24. ina maana habali za ku uplod amna kilasiku domo wema mbona mimi nimelima bangi heka 20 ubungo mja uplod acheni kufilwa basi 2 mezichoka za domo na wema

    ReplyDelete
  25. hhahahahaaa' anonymous INAONEKANA UNA WIVU SANA NA MAENDELEO YA DA FLORA LYIMO ...Sasa unawezaje kusema anadanganya waishio UK anaduka mara utajiwe duka lake...ina maana kipindi cha the mboni show akiwa dukani kwa Da Flora oxford street London kilikuwa kwenye matako yako ...? msenge kafirwe kule na chuki zenu tena ndiyo maana hamuendelee 'na mimi naishi hapa hapa UK tena najua Da Flora maduka yake na hata hana limoja kwa taarifa yako....yani mtaishia mkitaka awatangazie maduka yake ili mkaroge wanga wakubwa nyie'' Tena Da Flora hii nitaituma kwa blog yako pia'' YANI USIJICHANGANYE NA MINUKSI MINUKA KUMA WAIBA WAUME ZA WATU HUKO UK '' WEWE KAA PEKE YAKO FANYA MABISHARA YAKO WAUWEEEEEE''YANI WARUSHIE MATENDO TU NA WALA USIWAOSHE DUKA LAKO LIKO WAPI NA HILO LIPYA PIA USIWATANGAZIE..Da Flora huhitaji wa Tanzania waishi UK ni wanafiki na wanga watupu......KUMAVIBUYU NYIE....Mumuwache Da Flora miaka 80000000000MFYUUUUU'''

    ReplyDelete
  26. nyie wote ni kuma tu''sasa huyo flora lyimo anahusika nini hapa ''kama huna cha kuongea pita kimnya'' au nenda kwenye blog yake..

    ReplyDelete
  27. uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wema wangu umeniponza

    ReplyDelete

Top Post Ad