Anti Ezekiel na Kassim Mganga Wahusishwa Kuwa na Uhusiano wa Kimapenzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Gazeti la Makorokocho ambalo mhariri wake ni Soudy Brown kutoka XXL ya Clouds Fm leo kwenye ukurasa wa mbele kabisa kuna stori inayomhusu Anti Ezekiel pamoja na Kassim Mganga.
Stori hii imeanzia wakati wapo pamoja Marekani kwenye ubalozi wa Tanzania nchini humo ambapo inasemekana walikua karibu zaidi na hata hotel kwa sasa wanalala hotel moja.
Soudy Brown amempata Kassim Mganga na kakubali kuongelea hiki kinachozungumzwa kwenye mitandao kuwa anatoka na Anti Ezekiel kwa sasa.

Bonyeza play kusikiliza.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmmmh,kama ni kweli basi huyu dada nyapu yake inamuwasha kama upupu.
    Inahitaji kukunwa kila wakati

    ReplyDelete
  2. Jaman nicheke mie teh teh teh mbavu zangu mie.Eti nyapu yake inamuwasha km upupuuuuuuuuuuuuuuuuu?

    ReplyDelete
  3. Mmmh jamani inawezekana kweli hii?
    Huku kasindikizwa na mpenzi akawe na mpenzi?

    ReplyDelete
  4. Mxiuuuuu,embu wamuache mtoto wa watu,hivi kila mwanaume anaeongea na aunty ni bwanake???mxiuuu mbn mna akili finyu??eti wamelala hotel moja so what???ingekuwa room moja sawa hapo tungejiuliza,heeeee aiseee km hamna vya kuandika pliz msichafulie watu majina,wana wazazi na ndugu pia hao jamani,heeeeeee hatari sana.

    ReplyDelete
  5. huyo umalaya upo kwy damu

    ReplyDelete

Top Post Ad