Dawa za Kukuza Makalio Zimenitokea Puani , Oneni Nilivyoharibika..Najutaa Sana Jamani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Naitwa naomi, kweli niliposikia kuhusu dawa za kukuza makalio nilienda kuzinunua haraka na kupaka na Kuchoma Sindano Pia ili Kukuza Makalio yawe kama ya Nick Minaj, Mwanzoni nilifurahi kwa kuwa niliona kama vile yanakuwa kweli lakini sasa hivi nimeanza kupata mashimo mashimo pia yanauma sana mpaka yanakuwa mekundu, ukweli yamekuwa mzigo kwangu  Hata sijui Nifanyaje Jamani ...? Naombeni Ushauri jamani
Follow us:
Instagram: @udakuspecially
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mjini msingi kiuno achana na makalio jamani ona sasa

    ReplyDelete
  2. Duuuuuu,turidhike na jinsi Mungu alivyotuumba jaman,nakushauri uende hospitali unaweza pata dawa ya kuzuia uharibifu zaidi.pole sn

    ReplyDelete
  3. Ndo mkome kukuza makalio ili mfirwe

    ReplyDelete
  4. Kachome sindano nyingine

    ReplyDelete
  5. pole bt huo ni ujinga wako

    ReplyDelete
  6. kwan ulivyonunua ukujua au ukuwai kuckia kuwa ni hatari@ Notorious Hillary

    ReplyDelete
  7. Hahahahahahaha mwee!Kamuombe ushauri aliyekushauri/kukushawishi/kukuambia kuwa kuna dawa za kukuza makalio.

    ReplyDelete
  8. jamani ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. mjini ni shule.

    ReplyDelete
  9. Mbona mazuri tu hayo mie hapa nayapigia Nyeto usiku huu

    ReplyDelete
  10. Sasa umeshakuwa Teacher mama, elimu hiyo uwagawie na wenzio waliokua na mawazo ya kukuza makalio kama wewe, POLE SANA MAMA.

    ReplyDelete
  11. pole mwana binadam tunajifunza kwa makosa yetu sasa mungu ni mwema mrudie tu ili akuponye pole sana

    ReplyDelete
  12. mototo akililia wembe mpe!asiyesikia la mkuu huvunjika guu, majuto ni mjukuu,Mungu harekebishwi hata siku moja! alivyokuumba wewe hakukosea! ivi kwann tunashindwa kujiuliza hasa sisi wadada mbona hao wanaotutengenezea hizo dawa wao hawazitumii? tena bora ya sisi tumependelewa Mungu katupa miili mizuri na shepu nzuri kbs! lkn bado tunaona haitoshi!kina dada wenzangu tusifwate mikumbo yawezekana hata huyu mwenzetu alishauriwa tu pasipo kujua impact yake itakuwa nn! pole sana jaribu kwenda hospital yawezekana ukapata msaada wa matibabu! Naamini umeshajifunza vya kutosha!!!!

    ReplyDelete
  13. learn to appreciate wat u have dada

    ReplyDelete
  14. pole yako mama ringa na wowowo lako mama

    ReplyDelete
  15. Mmmhh hiyo picha naijua ni illegal injections. Kwnz ht si mbongo. Though hzo dawa si nzuri bt wabongo kwa kuzindua habar kutoka kwa habar zngne...

    ReplyDelete
  16. Hiyo pic na hiyo habar n vitu vwili tofauti. Ht si mbongo huyo

    ReplyDelete

Top Post Ad