Exclusive: Babu Tale Azungumzia Ujio Mpya wa Diamond, Kazi Zote Zimetayarishwa Nje

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakati wimbo wa MdogoMdogo ukiwa bado unasumbua kwenye media, Diamond Platinumz anatarajia kurusha mawe mengine mazito zaidi kwa ajili ya kuwaburudisha mashabiki wake.

Akiongea na tovuti ya Times Fm, Babu Tale ambaye ni meneja wa Diamond amesema mkali huyo anatarajia kuachia nyimbo mbili kwa mpigo na kwamba zote zimetayarishwa nje.

“Tusubirie kidogo, baada ya miezi miwili mitatu tutaongea kwa sababu kuna kazi zinakuja, Diamond anarelease ngoma mbili mfululizo na zote zimetoka nje. Lakini hatuwezi kueongea sasa hivi hadi muda ufike.” Babu Tale ameiambia tovuti ya Times Fm.

Inaonekana Diamond hataki kuacha gap, anakandamizia palepale azidi kwenda juu na kutwaa tuzo nyingi za kimataifa kama alivyofanya mwaka huu.

Endelea kusubiri, tutakujuza hapa hapa. 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. uko insta kuna umbea moto moto nini kinaendeleaa jamani c muumwage na apa uwiiii!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad