Exclusive Pics: Mchumba wa Nay wa Mitego, Siwema ni Mjamzito Tena

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya kuharibika kwa mimba ya kwanza ya mchumba Nay Wa Mitego, Siwema, hatimaye mwanadada huyo anatatarajia kuwa mama tena na anatarajia kujifungua hivi karibuni.

“Umemuona mama kijacho,” Nay alimwambia wa Bongo5 baada ya kutembelewa na mpenzi wake katika uwanja ndege wa Mwanza akijiandaa kuekelea Dar es salam, huku akicheka na kuendelea kumpiga mabusu mpenzi wake huyo anayeishi jijini humo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HUYU nae live anatisha na mikorogo yke mweeeeeeeeeeeeee Mungu amsaidie aache mkorogo maana hapendezi kbsa n anapaka ile mikorogo cheap one si wanadai wana hela na watoto wa mujini inakuaje hapaki vtu vinavyoeleweka kuwa na rangi nzuri jmn .........

    ReplyDelete
  2. EEEH! KWANI HIYO MIMBA YA NEY ???????

    ReplyDelete
  3. Ndo anavyodai hyo cwema kuwa ni ya ney mhhhhhhhh cjui kweli wanajuana wenywe af anabadilisha magari hatari .....

    ReplyDelete
  4. Unakubali kubebeshwa mimba bila ndoa....! Itakula kwako.

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha umbea, wewe uliezalishwa ndani ya ndoa una nini zaidi ya dhiki na njaa tu uliyonayo, watu waache kuzaa ukiuliza ndoa kuna kaburi la mwenye ndoa

      Delete
    2. Mungu akusamehe sio kosa lako!!

      Delete
  5. anoy 10:40am una hasira ukiona hvyo umezalishwa ukapigwa chin roho inakuuma kuna mtu asiependa ndoa ajitaje tumwone kma sio hana bahati

    ReplyDelete
  6. Kila mtu anataka ndoa bt huwezi zeeka bila mtoto kisa eti unasubiri uolewe kwani aliyesema ndoa ni mtoto nani embu acheni umaskini wa fikra kama kaamua kuzaa mwacheni azae kuzaliwa kuzaliwa tu iwe ndani au nje ya ndoa kibeba mtoto ni tumbo sio ndoa

    ReplyDelete
  7. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete

Top Post Ad