Huyu Dada Noma, Awabaka Watoto wa Kiume Wawili , Awalazimisha Wamuingilie Kimwili Usiku wa Manane

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Vitendo vya ngono nchini Uganda vimesababish maambukizi makubwa ya UkimwiMwanamke wa miaka 37, Adong anashikiliwa na Polisi huko Gulu nchini Uganda kwa kosa la kuwaingilia watoto wawili wa kiume wenye umri wa miaka 14 na 15 ambao vilevile ni wenye undugu na yeye!Aliwaingilia watoto hao alipokwenda kuwatembelea wazazi wao na ndipo usiku akanyata na
kuingia chumbani mwao na kuwashawishi bila aibu wamle uroda!Ilitokea baba yao aliwasikia wanae wakijadili juu ya "utamu" na ndipo akaiarifu polis nao hawakuzubaa na kumtia ndani. Akitiwa hatiani anaweza kufungwa miaka 7 au maisha!Mambo hayo! 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kweli siku hizi hatuna wahandishi wa habari! Inawezekana vipi hao watoto waingiliwe na mwanamke kimwili? pengine mimi ndo sijui lugha vizuri!

    ReplyDelete
    Replies
    1. mdau wala usipate shida hawa wanaondesha iz blog in wamehitimu vyuo vya uchochoron certificate tu hamna kitu sema bsi hatuna jinsi akileta cv zake apa utachoka tu

      Delete
  2. nimecheka sana huo ndo ukweli kabisa VYUO VYA UCHOCHORONI

    ReplyDelete
  3. Maskini mwandishi hata hajui kuingilia kimwili ni nini,anajua kuandika tu bora liende.
    ''Shame on you''

    ReplyDelete
  4. Anony 11:46 elezea maana yake,usijekuta umekariri.Anony 10:49 waandishi sio wahandishi.

    ReplyDelete
  5. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  6. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  7. Kosa ni lipi sasa hapa? Hawa ni underage, these are minors, hivyo wameingiliwa na jimama hilo

    ReplyDelete
  8. Dunia imekwisha jamani we mama wa miaka 37 ukalale na vitoto jamani ukisikia uchuro ndo huo!!!!!, wanaume wameisha au hutongozi au unaona aibu kuwaambia ndo hawa wadada wanaolala ma wazazi wao...mfyuuuuuuuuuuuuuuuuu.

    ReplyDelete

Top Post Ad