Licha ya Skendo, Flora Aja na Jipya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa muziki Florah Mbasha, Baada ya kufunguka mengi kuhusiana na matatizo katika ndoa yake wiki hii, ameweka wazi kuwa shughuli zake za muziki bado zinaendelea huku akiwa na albam mpya kabisa kwaajili ya wapenzi wa sanaa yake.

Frorah Mbasha amesema kuwa, anamshukuru Mungu kwa kufanikisha kutoa albam mpya inayokwenda kwa jina Nipe Nguvu ya Kushinda, kazi ambayo tayari jamii imeipokea vizuri.
Msanii huyu ambaye amezoeleka kufanya kazi ya muziki pamoja na mumewe Emmanuel Mbasha, amewatoa wasiwasi mashabiki kuwa licha ya mgogoro, Mumewe yupo katika kazi hii.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. na hiyo mimba ni ya nani?

    ReplyDelete
  2. alimgonga akiwa kwa gwajima?

    ReplyDelete
  3. watu humu ndani mna vituko?

    ReplyDelete
  4. gwajima alikua anamfira tu matako

    ReplyDelete
  5. kazi zako atanunua nani labda Gwajima

    ReplyDelete

Top Post Ad