Licha ya Vitisho vya Polisi Wafuasi wa Chadema Musoma Waandamana leo Kupinga Kuendelea Kwa Bunge la Katiba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo hii maandamano ya CHADEMA yameanza kutoka kata mbalimbali, wapo walioanzia barabara kuu inayotoka Mwanza kuelekea Musoma Mjini.

Wapo wanaotokea Bweri,wapo wanaotokea wilaya ya Butiama Etaro watu wote hawa wanaenda kukutania ofisi ya mkuu wa mkoa, ofisi ya mkuu wa wilaya na kwingineko kupinga bunge la katiba linaloendelea.

Sisi tunaoanzia Bweri kuelekea mjini kuanzia sasa kwani wananchama wameamua kuandamana usiku na mchana na kusitisha shughuli zote.

Makamanda wote wa Musoma tukutane mahali tulipokubaliana.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hamna kazi za kufanya? Hovyoooooooo!!
    Nyie andamaneni mkakutane na wao wamechoka kuvaa mabuti bila kuyafanyia kazi, mtajutraaa!

    ReplyDelete
  2. kweli nyie ni udaku hayo maanadamano ya Musoma yamefanyikia wapi na lini hebu toeni uongo wenu hapa

    ReplyDelete

Top Post Ad