Makubwa:Mwanafunzi Aamua Kujinyonga kwa Kukosa Huduma Hospitalini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanafunzi wa kidato cha 5 shule ya sekondari Ihungo(19) Ameamua kujinyonga kwa kutumia shuka lake katika hospital ya mkoa wa Kagera baada ya kulazwa hospitalini hapo bila kupata huduma ipasavyo, Kabla ya Kujinyonga aliacha ujumbe akisema si halali kwa mwanadamu kutibiwa kama mnyama.
Jamani Hasira Hasara.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni kweli hassira hasara ila huo ndio ukweli sekta ya afya wajifunze kuna wengine hawana utu hata kidogo... hiyo hospitali ya mkoa pia kuna haja ya kuichunguza.

    ReplyDelete
  2. Mmmm jaman htr hizi hosptali ze2.

    ReplyDelete
  3. Hmmm shughuli sana huku kwetu, yaani hatuthaminiani, hata mnyama huko kwa wenzetu wanatibiwa vizuri, tena anathaminika, Huku kwetu viongozi ndio wanaotibiwa vizuri na wanakimbilia nje kwenda pata matibabu, sekta za afya hawataki kuboresha, huduma zote za miundo mbinu ya serikali yaaani hoiiii,

    ReplyDelete

Top Post Ad