Msichana Aelezea Jinsi Wasichana wa Bongo Wanavyodanganywa Kwenda Kufanya Kazi za Umalaya Dubai

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ushuhuda wa huyu dada inawezekana ukakufumbua macho na kujua wapi sehemu sahihi ya kuelekea na kujua nini unachotakiwa kukifanya kama umeshaanza kujiandaa safari ya kwenda Dubai.
Wimbi kubwa la ukosefu wa ajira nchini bado ni tatizo kubwa ambalo hupelekea wengine wanaposikia kuna kazi sehemu huamua kwenda moja kwa moja kufatilia kuhusu ajira hiyo.
Gea Habib ameongea na msichana huyu amabye kiasili yeye ni Mwenyeji wa Moshi na amesimulia stori yake nzima na vitu walivyokuwa wanafanyiwa wakati yupo huko Dubai.

Bonyeza play kusikiliza.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huna jipya Admin,kazi kuungaunga story tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Atoe wapi zaidi ya kukopi habari za watu wengine?

      Delete
  2. sehemu nyingi watu wanaotoka bara la Africa, kwenda huko dubai ni kesi hizi hizi ni nyingi, kwa wakina dada kuhuzwa wakifika huko, ata kwenye you tube zipo.

    ReplyDelete

Top Post Ad