Mwigizaji Mkongwe Nchini Lucy Komba Afunga Ndoa. Tazama Picha za Harusi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Hatimaye yule mwigizaji mkongwe nchini Lucy komba amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi aishie nchini Denmark aliyefahamika kwa jina la Stanley,. Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii nchini lucy ameandika

"..Asante Mungu kwa siku hii nzuri na muhimu sana katika maisha yangu, wengi hawakutaka nifikie siku hii, kunawengine walinuna, kunawengine waliniombea mabaya, kuna wengine walichukia na wengine waliambiana wanichunie walifikiri bila wao Mungu hawezi kuifanikisha siku hii, nasema asante Mungu kwa sababu aliifanikisha siku hii kwa nguvu zake wqtu wanaonipenda walisheherekea siku hii vizuri walikunywa na kula na kusaza watu zaidi ya miasita walikuwa ukumbini wakishangilia pamoja nami haleluyaaaaaaaaaaaaaaa anachokiunganisha Mungu binadamu hawezi kukitenganisha hata ieeje.."

Hongera sana lucy. 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera sana dada Lucy

    ReplyDelete
  2. Hongera dia, Mungu akawasimamie ktk maisha yenu ya ndoa!

    ReplyDelete
  3. Hongera sana,Mungu awabariki.

    ReplyDelete
  4. Udaku Mmeumbukaje mana ndo wambea wa kwanza...mara oooh anatafta chet cha kufoji mana oooh kakimbia majibu nyie wenyewe mmejiumbua sasa

    ReplyDelete
  5. Hongerazake kila lakheri utuletee Toto point 5

    ReplyDelete
  6. Hongera sana sana kwa kufunga ndoa, hapo sasa unaweza kuzaa hata watoto idadi uitakayo, sio hao akina Siwema wanaojibebea mimba hovyo bila ndoa wakidhani ndio kishawishi cha kuolewa....... hovyoooooo!!

    ReplyDelete
  7. NDOA YENYEWE SIWEMA PALE APATE WAPI? KWA NEY AU MWINGINE? AANDIKE AMEUMIA , KUNAMDAU ALISHAMWAMBIA ALE PESA YA NEY KAMA INALIKA PALE NDOA HAKUNA , HILO NDO ALISHIKE NA KULIFUATA

    ReplyDelete

Top Post Ad