Mwimbaji Chaz Baba Nusura Amuue Mkewe, Ampiga na Kitu Kizito Kichwani Mpaka Mke Kuzimia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Shakoor Jongo
PREZIDAA wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel Mbwana ‘Chaz Baba’ anadaiwa nusura amtoe roho mkewe wa ndoa, Rehema Sospeter Marwa baada ya kumpiga  na kitu kizito kichwani mpaka kushonwa nyuzi ishirini.

MANENO YA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini ambacho kipo karibu na wanafamilia hao (jina limehifadhiwa), usiku wa Alhamisi iliyopita, kikiwa maeneo ya Kinondoni jijini Dar kilishuhudia ugomvi huo baada ya kwenda kuangalia nani anamshushia kipondo mwenzake.

Chanzo kilisema baada ya kufika, ndipo kiligundua kuwa, mwanamuziki huyo ndiye aliyekuwa akimpa kipondo mke wake.

“Dah! Kiukweli kile si kipigo cha kumpiga mke, hasira bwana ni kitu cha ajabu sana. Chaz anatakiwa kujiangalia sana,” kilidai chanzo hicho.

MKE AFUNGUKA ‘EI TU ZEDI’
Baada ya taarifa hiyo, juzi Ijumaa Wikienda lilimtafuta mwanamke huyo ili aeleze nini kilitokea hadi mumewe kutaka kumkatishia maisha.“Nakumbuka siku ya tukio nilikuwa supermarket maeneo ya Mwananyamala A (jijini Dar) nikinunua unga wa ulezi wa mtoto, ghafla Chaz alitokea, akaniamuru niingie kwenye gari alilokuwemo, tukaondoka kuelekea nyumbani.

“Tulipofika maeneo ya Kinondoni, pale Meridian ndipo niliposhtukia naanza kupigwa. Nakumbuka nilipigwa hadi nikaishiwa nguvu mpaka akatokea rafiki wa Chaz, Hassan Kisanora na kuniokoa, nikakimbilia nyumbani,” alisema mwanamke huyo.

CHAZ ATOWEKA, ARUDI NA SAMAKI MKUBWA
Akiendelea kuzungumza, mke huyo alisema: “Siku hiyo Chaz aliondoka na hakurudi nyumbani mpaka alfajiri. Aliporudi aliniambia amekuja na samaki mkubwa, yuko kwenye friji huku akisahau kuwa amenikosea na anatakiwa kuniomba msamaha.

“Sikumjibu, ndipo alipochukua kitu kizito na kunipiga nacho kichwani, baada ya hapo damu nyingi zikaanza kunitoka hadi puani, niliishiwa nguvu na kupoteza fahamu.”
“Nilipokuja kuzinduka nilikuwa hospitali kwa Dk. Mvungi, Kinondoni. Licha ya kwamba nampenda sana lakini alitaka kuniua, hata sijui kisa.”

MADAI YA KUSHANGAZA; NDANI YA MIEZI TISA KICHAPO MARA 16
Katika kuweka mambo zaidi hadharani, mwanamke huyo aliyebahatika kupata mtoto mmoja na mumewe, alikwenda mbele zaidi kwa kusema kuwa, tangu afunge ndoa na Chaz miezi tisa iliyopita, ameshachezea kichapo mara kumi na sita hivyo amechoka kufanywa ngoma.“Nimechoka kufanywa ngoma na Chaz, ndoa ina miezi tisa tu nishapigwa mara kumi na sita kati ya hizo nimezimia mara saba kama vipi bora afanye utaratibu anirudishe kwetu,” alimalizia kusema.

CHAZ BABA, IJUMAA WIKIENDA
Baada ya kupata maelezo ya mke, Ijumaa Wikienda lilimsaka kwa njia ya simu Chaz mwenyewe ili azungumzie ishu hiyo ya mkewe kudai alimpiga ambapo alipopatikana alifunguka hivi:
“Ni wivu tu kaka! Unajua mke wangu ana wivu mkali sana, alianza kunipiga yeye mimi ndiyo nikamrudishia, hakukuwa na sababu nyingine yoyote zaidi ya wivu,” alisema Chaz bila kufafanua.
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Eti,'' kama vipi bora afanye utaratibu anirudishe kwetu'',unasubiri mpaka chaz baba akurudishe kwenu?kupigwa mara 16 bado una wazo la kuendelea kulinda ndoa?bwege wewe,sasa ngoja
    UTARUDISHWA KWENU UKIWA KWENYE JENEZA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yani hii dunia bana.....miezi tisa,,kwa mahesabu ya haraka inamanisha ulikuwa ukipigwa kila mwezi mara'3 na kuzimia mara'1......mkifikisha mwaka mmoja utakuwa umepigwa mara'5 kwa mwez na kuzimia mara'3....hukujuwa tabia zake kabla hmajaoana amah kisa mwanamziki huh...na hicho kitu kizitu n kitu gani amah alikuangushia friji maana hashindwi huyu P***u....pole mno dada ila mwache akifikisha mara'25 na nusu wee nenda tu nyumbn ila kwa sasa msamehe .......na wewe mmbwaa mkubwa wewee na kijisauti chako cha kishoga unampga mwanamke wako alaf unamwacha unaenda kulala na mwanamke mwingine mpaka asubuh...alaf unasema wivu wa mapenzi....ACHA MICHEPUKO YAKO YA KISENGE uone huo wivu kama utakuwepo.....nione mwanamke yeyote anashabikia cjuwi mashujaa ya kisenge ntambaka hapohapo mbele ya chaz baba....na hii ni kwakipindi cha miez 9 hakuna mwanamke kukutwa ktk maeneo mashujaa wanapotumbuiza OK....

      Delete
  2. UMEMUONA HUYU MBURURA NA WEWE EHEEEE NDOA NA UHAI WAKO LO WANAWAKE MMETISHEER

    ReplyDelete
  3. Hivi wanawake wa kiafrika watamka lini? na kujua khaki zao, sasa unasubiri kurudishwa au anasubiri kukwawa, nani hivi aliwambia hawa wanawake kuwa ndoa ni kifungo cha maisha au ndoa ndoano, ndoa ni makubaliano na maelewano, hamna kuelewana weee anza kivyako, au ndio zile tabia za tegemezi, ndio zinawafanya wawe kwenye ndoano, au ndio maswala ya mahari, manake familia zingine utazani wanamuza binti, hmmm hizi tamaduni nazo tabu

    ReplyDelete
  4. Chaz baba kumbe mtu mzima ovyooo eeh?hivi mwanamke unalala nae,anakupikia,anakufulia
    na mtoto umezaa nae, unathubutu kumpiga hivi kana kwamba umekutana na mwizi?Hata kama kakukosea,ni kosa gani hilo la kumuadhibu mke kuasi hicho?ulidhamiria kuua?
    kiasi cha kuzimia?unamcharanga kama mbwa mwizi?Ni unyanyasaji wa hali ya juu.Hebu amka dada,anza usaidiwe,kama hujui uliza UPATE MSAADA.

    ReplyDelete
  5. CHAZ BABA BADO NI WA MICHEPUKO KWA SANAAAAAAAAAAA.
    INACHANGIA KUONA MKE WA NDOA TAKATAKA

    ReplyDelete
  6. kuma la mamaaako chaz b.. mwanamke hapigwi kuma ww.. mwanamke anapigwa kwa mapenzi... na maneno madhuri, pia mwanamke anahitaji kubemberezwa.. we wawawp kuma wewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa wewe unasema mwanamke hapigwi afu unamtukana mamake chaz! We mpuuzi kabisa hivi kwanini unasema kuma la m... si umtukane mwenyewe chaz! We nawe mburura kuliko chaz we mpumbavu unaetukana wanawake! We ulitokea kwenye hichohichokiungo unachotukana! Au unafikiri ulizaliwa kupitia matakoni?

      Delete
  7. Daa,bro mimi nilikuwa nakuona m-sure kumbe
    ovyo hivyo,Yaani mimi mke akinishinda na aende kwao lakini
    kamwe siwezi kumpiga,Huwa nafananisha kama mdingi angemtesa mama yangu
    ningeweza kuishi maisha haya niliyofikia nami mpaka nimeoa na kuanza familia?
    yaani siwezi kupiga mke kiasi hicho hata akose vipi,ni bora afungashe mizigo kama imeshindikana.

    ReplyDelete
  8. Mi cjawahi pigwa ila nikipigwa hivyo sitajali imani au ndoa gani nitarudi hm wakinirudishwa kwa mume nitaenda kuhangaika na maisha walau nipange chuma niwe hai na amani tele huku sikutaka kuuana halafu akikuomba bado unampa na majeraha hakuna ndoa tena hapo dada sepa

    ReplyDelete
  9. Sitakaa nije Mashujaa musica tena kwa sababu ya chaz baba,nimemchukia sana.
    Ptuuuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  10. hivi wee dada ukirudi kwa huyo bwana nitakushaangaa saana!! ila ujue unaenda kufa maana amekosa safari hii lakini next time umekufaaa!!

    ReplyDelete
  11. Pole mwaya. Ayo ndio mahaba niue

    ReplyDelete
  12. wanarudigi hawa si kama yule mke wa hammer q,yaani mi mwanamke ila wanawake wenzangu ni mafala sana hasa hawa wanaovumiliaga vipigo eti mara 16 lol upo tu na mikope yako ya bandia

    ReplyDelete
  13. Yani huyu mwanamke ni popompo kwel kipigo mara 16 mpk kuzimia bado upo hapo?hee makubwa,dada siku zote angalia usalama wako kwanza,utapewa ulemavu bure afu utabaki ningejua!.c unaona mwenzio majibu yake eti wivu tu,mxiuuuu wivu my black ass!!! Hata hajali .

    ReplyDelete
  14. Labda anatoka kule kanda ya ziwa nasikia mwanamke bila kipigo hajisikii kabisa yupo ndoani, mara 16 bado tu anavumilia kweli ni mwanamke wa aina yake.

    ReplyDelete
  15. Yaani karne hii kupigwa hivi noooo tena NOOOO!!! acha uijnga wewe karibu akumwage ubongo halafu eti nampenda kisa nini mwanamziki au?? ujinga wako mpaka utolewe jicho dada??? kinga ni bora kuliko tiba

    ReplyDelete
  16. Huyu Chaz baba MWEHU.
    au NDIO SEMBE?

    ReplyDelete
  17. mwisho wa mwaka ukifika utakuwa umepata Kipigo cha Mahaba nipige mara'25...kipigo cha mahaba Nizimishe mara'15.....na Kipigo cha mahaba Niue mara'1..............

    ReplyDelete
  18. DADA PIGANIA HAKI YAKO,MFUNGULIE KESI,NDO KINACHOTUCOST WANAWAKE TUNAFANYIWA UNYAMA TUNAOGOPA KUCHUKUA HATUA KWAKUWA WANAWAKE WENZETU WATATUCHEKA NO WAY

    ReplyDelete
  19. Khaaa Dada utakufa chaz ale hizo pole huna kwenu au kakuokata? Naenda kwenu njoo utakufa

    ReplyDelete
  20. KWANINI HAJAKAMATWA NA KUWEKWA NDANI KWA KUZURU NA KUTISHIA MAISHA YA MWANADAMU? NDIO MAANA AFRICA HATUENDELEI

    ReplyDelete
  21. ww mwanake hujielewi yan kwa akiri yako na ufahamu wako na upeo wako mdogo ulionao unapigwa then unasubiri urudishwe kwenu ww hupajui kwenu???? chizi ww

    ReplyDelete

Top Post Ad