Nataka Kuzamia Nje ya Nchi, Nishaurini Wakuu Niende Nchi Ipi?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimepambana sana hapa nyumbani lakini sioni dalili yoyote ya kufanikiwa nikiwa hapa.

Kama kusoma nimesoma, kazi nimefanya japo sio za kunilipa , nimejaribu ujasiriamali mdogo na vitu vingine vingi lakini sioni nikisogea.

Wataalamu wanasema ukiishi maisha yale yale uku unafanya mambo yale yale na hauoni mabadiriko lakini umeyangangania ujue kufeli kunakusubiri.

Kwa hiyo naomba mnisaidie mawazo ndugu zangu ni nchi gani ninaweza kwenda dunia hii nikafanikiwa.

Naomba mnishauri nchi ya kwenda na kazi zake uko za kufanya au biashara.

Na njia zipi nitumie kufika huko maana pesa yangu ni ya kuungaunga tu sipo safi.


NB: Usiangaike kunishauri juu ya nibaki bongo nifanye nini, sababu sitokusikiliza 
By Stivii
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kama upo single na unahitaji girlfriend. Tena tiketi ya ndege nitakununulia na nitakusaidia upate kazi . Ninachoitaji uaminifu Wako. Je upo tayari ?.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mianamke mingine iko desperate kweli kwa akili zako unafikiri hiyo picha hapo juu ndo mwanaume mwenyewe anayetaka kuzamia?mschweeeeee

      Delete
    2. Mimi ni mwanamume niliyeandika hapo juu na ninajua kwamba hiyo picha sio mhusika mwenyewe,ila namuunganishi kwa mijimama inayojua kufuga wanaume kama wewe.

      Delete
    3. Halafu hii picha mbona mara nyingi
      admin anaitumia,labda kama wewe mgeni.

      Delete
  2. Nenda syria mujahidina wakakukate kichwa.

    ReplyDelete
  3. Nenda Nigeria ukajiunge na Boko Haram.

    ReplyDelete
  4. Nenda Afghanistan wakakufire

    ReplyDelete
  5. jaman wadau mna vituko.

    ReplyDelete

Top Post Ad