Nimegundua Wanaume Wengi Kwa Sasa Upendelea Kuao Wadada Wenye Tabia Hizi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika pitapita zangu, na kujionea maisha ya wanaume wenzangu, nimegundua kuwa wanaume wengi hupenda kuoa wanawake wapole ambaye akijadiliana nae jambo hapandi juu kama kifuu cha Nazi ya moto, vile vile mwenye uchumi mdogo asimzidi yeye na zaidi awe na hofu na Mungu na kumshauri mwanaume anapokosea pia Mwenye Mawazo ya Kimaisha.

Wale Wapenda Starehe Ambao ni Wengi kwa Kipindi Hichi Tunawapenda tu kwa Starehe za Muda ila Kuoa na Kuweka Ndani ni Nadra Sana..Je Utafiti wangu ni Sawa ?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zaidi ya sawa,hongera sana kwani umepatia kupita kiasi.

    ReplyDelete
  2. UKO SAWA KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  3. Ujakosea upo sawa ndomana wanaume wengi wanao taka kuoa wanaenda makanisani kwa mda kwenda kutafuta wanawake wakuwaowa ambao wanaofu ya mungu anaona akimtoa mtaani anaona atakama akizini anaona kawaida tu lakini yule mwenye ofu ya mungu anakua na uwoga kwasababu anamcha mungu.

    ReplyDelete
  4. Uko sawa kabisa,ila makanisani nako si salama sana pia.Kuna baadhi ni mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo

    ReplyDelete

Top Post Ad