Petit Man Adhibitisha Kuwa Mdogo wa Diamond ni Mchumba Wake na Muda si Mrefu Watafunga Ndoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Meneja wa msanii, Mirror na mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, Petit Man ambaye awali alidaiwa kuwa na uhusiano na Kajala, kisha kuwa na mdogo wake Vanessa Mdee, amethibitisha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na dada yake Diamond Platnumz, Esma na kwamba ana mipango ya kufunga naye ndoa.

“Ni kweli Esma ni mchumba wangu na Mungu akijalia soon tunafunga ndoa,” alisema Petit kwenye kipindi cha My Playlist cha Clouds TV. Alipoulizwa jinsi Diamond anavyouchukulia uhusiano wao, alisema: Unajua siwezi kumsea moyo wake lakini naona kawaida na hamna tatizo lolote.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WAANDISHI ULIZENI MASWALI YA MAANA,ETI DIAMOND ANACHUKULIAJE?YEYE NDO MZAZI?ASMA NDIO ANAJUA TAMU NA CHUNGU YA CHAGUO LAKE.

    ReplyDelete
  2. drama qeen and drama king

    ReplyDelete
  3. Yaan uo ni ujingA sijapata ona yaan ksma wanabafilishana. Halafu ndio domo kubwa amuoe bibi bomba

    ReplyDelete
    Replies
    1. utaendelea kutype behind the keyboard mwenzio ndo keshaolewa yake keshayajua mpaka sasa, mapenzi ya kweli hayatazami wapi, nani, na saa ngapi Mungu akipanga litakuwa tu! who thot yani just like that imehappen

      Delete
  4. Kazi ipo movie nyingine hiyoo inaenda kuanza nipe kahawa nipate joto mie msimu wa mvua huu nichek movie....wapi mama mkwe madam sepatunga umekuzaaa eeeh...

    ReplyDelete

Top Post Ad